Bila kufanya haya, tusahau suala la kuondokana na Mgao wa Umeme



Kama umeme wa maji ni mbaya. Mbona canada anajenga bwawa jipya lenye thamani kubwa sana , zaidi trilioni 40 ?

Mbona USA na yeye anaboresha mabwawa yake?

 

Pound milioni 196 zina ukubwa gani kuzidi dola bilioni 12 ?

Watu wanajenga mabwawa ya trilioni zaidi ya 40. Halafu unashindanishi na vimiradi vya umeme vya hela ndogo.

Kwenye mabwawa ya umeme wazungu wanaweka hela nyingi kuliko miradi ya umeme wa Nuclear.

Niambie ni mradi gani wa umeme wa Nuclear gani umewai kuwekewa hela nyingi za kufika dola bilioni 12 ?
 
Umeishia darasa la ngapi? Samahani sana?
 
Umeishia darasa la ngapi? Samahani sana?

Usihamishe mada.. jibu hoja mradi gani wa umeme wa nuclear umewekewa hela nyingi kuliko bwawa linalojengwa canada lenye thamani ya dola bilioni 12 ?

Jibu swali. Usihamishe mada

 
Usihamishe mada.. jibu hoja mradi gani wa umeme wa nuclear umewekewa hela nyingi kuliko bwawa linalojengwa canada lenye thamani ya dola bilioni 12 ?

Jibu swali. Usihamishe mada

View attachment 3153703
Una matatizo makubwa sana ya akili

Sasa kwa hizo figures za mradi wa maji ndo unataka tuufanye huku compared na nyuklia?
Kama umeenda shule kweli kwa hizo figures na kigezo cha reliability tunatakiwa ku invest kwenye umeme wa maji au umeme wa nyuklia?

Usiwe offended nimekuuliza swali kwa sababu unaonekana sio tu hujaelewa mada ila hata unachokiongelea hukijui
 

Kama wa nyuklia ni mzuri. Mbona Canada hawajawekeza mapesa mengi kama hiyo dola bilioni 12 kwenye nyuklia..

Ila kwenye umeme wa maji unaosema umepitwa na wakati.. ndio canada wanawekeza mapesa mengi dola bilioni 12 zama hizi.

Je wa Canada wa leo hii ni wajinga ? Hawajui kama nyuklia ndio muhimu ?
 
Ndo mana nakwambia nina mashaka na elimu yako!

Canada gani unawasema?

Angalia hii habari ya juzi imetolewa na BBC kuhusu hao Canada wanavyodhamilia kuwa super power wa nuclear energy.

 
Ndo mana nakwambia nina mashaka na elimu yako!

Canada gani unawasema?

Angalia hii habari ya juzi imetolewa na BBC kuhusu hao Canada wanavyodhamilia kuwa super power wa nuclear energy.

View attachment 3153796


Mbona taarifa zako za kugoogle unaficha ficha kuonesha wamewekeza pesa kiasi gani kwenye umeme wa Nuclear ?

Onesha wazi thamani walizowekeza kwenye umeme wa nyuklia kisha tulinganishe na thamani wanazojengea bwawa lao jipya la umeme wa maji.

Tazama taarifa niliyoattach mimi. Imetaja mpaka hela zinazojenga bwawa lao la umeme SIte C dam ni dola bilioni 12

Haya na wewe onesha thamani za hizo nyuklia walizojenga canada

 
Hali ikoje huko nyumbani December hii?
 
Kama Viongozi wa CCM hawapiti JF. Matatizo ya hii nchi hayatokuja kupata ufumbuzi wa uhakika. Hili tumeshaliongelea sana.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…