Bila kufanya haya, tusahau suala la kuondokana na Mgao wa Umeme

Mpaka hivi sasa Elon ameweza kuwa na storage capacity ya solar energy ya kuweza kutumika kwenye makazi ya Watu. In fact ameweza kuwapa umeme wa solar kwa matumizi ya mji mzima Kama majaribio huko Australia!!
Haya mambo usisome kwa haraka haraka na kwa jicho la what is possible lakini what is practical... Huko Australia ana MW ngapi za Storage na hio storage inaweza ikapower nyumba ngapi kwa muda gani....

The Neoen-owned Hornsdale Power Reserve is literally a facility full of Tesla PowerPacks that receives and stores energy from nearby wind and solar farms. By storing power up to its capacity of 100 MW, this “battery” can absorb brief blips in the grid surrounding it, reducing outages for residents and easing the burden on businesses or facilities that lose money, product, and more during those outages. It could also reduce the amount of fossil fuel burned to power backup generators.

The dedicated battery farm can power 30,000 homes for up to an hour, which relieves the burden on the grid during hot summer days when failure is most likely. “Hornsdale and other grid-scale batteries offer a way to tackle the variability of wind and solar power, and South Australia is seen as a global testbed in the transition away from fossil fuels, with the state getting more than half its power from renewable sources last year,” Bloomberg reports.
Sisi hapa tungeanza na kuweza kuwapatia households umeme wa solar wa uhakika na baadae when technology will scale up storage then we shall scale up too!!
Aisee nadhani ungenisoma kuanzia mwanzo wala tusingeongelea haya....; Ni kwamba the cheapest practical storage mpaka sasa Ni Bwawa (Hydro Storage) ambayo tunayo..., hizo battery bank cha maana na rahisi ni kila mtu labda awe na battery yake, sababu ukikusanya huu umeme ukawa mwingi bado utahitaji storage sasa kuanza kutumia mapesa kununua battery banks ambazo life span yake na yenyewe sio ndefu kivile ni upuuzi sababu kuna njia nyingine nyepesi..., narudia ukinisoma hapa wala huku tusingefika...

1. Kuna teknolojia mpya salama zaidi ya kutengeneza plant ndogo za nyuklia. Serikali ialike wataalam kutoka nchi za Ujerumani au Scandinavia wajenge hata plant moja ya namna hiyo kwenye moja ya mikoa yenye bahari/ maziwa hapa Tanzania. Tukipata megawat hata 10,000 au 20,000 sio mbaya. Uzuri madini ya uranium tunayo kinachotakiwa ni teknolojia tu.
Rosatom ndo wataalam wa hii kazi nao washirikishwe kama serikali itafikia maamuzi ya kuzalisha umeme kwa teknolojia husika. Ila pia Mantra Tanzania Ltd kampuni subsidiary ya hii ndo wana Mkuju River Project. Rosatom hua pia wana option ya wao kujenga plant wanai run wao then wanakuuzia umeme, hii inaweza kufaa maana kujenga kinu cha nuclear si chini ya USD 20B ambayo huenda tusiwe nayo kama taifa
 
Kama Kagame anaweza kujenga kinu cha Nuclear. sisi tunashindwa wapi?
 
Kuna siku wajukuu wetu wataifufua hii post na kuona ni jinsi gani nchi hii iliwahi kuwa na viongozi wa hovyo ambao waliwahi kuambiwa hatua sahihi za kuchukua ila hawazichukua. Muda ni mwalimu mzuri
 
Kuna watu wanaamini kabisa kuwa Bwawa la Umeme la Rufiji likianza kazi basi suala la Mgao wa umeme litakuwa historia kwenye nchi hii.

Kwa namna ninavyosoma taarifa mbalimbali za kiutafiti zinazohusu masuala ya Mazingira napenda kuwaambia hawa watu wakiwemo viongozi wetu kuwa inawezekana wakawa sahihi kwa muda fulani ila kwa muda mrefu hawatakuwa sahihi

Kwa hali ya mabadiliko ya hali ya hewa ilivyo inasemwa kuwa huko mbeleni suala la ukame litakuwa jambo la kawaida sana duniani na inawezekana hata uzalishaji wa chakula ukapungua sana.

Kwa haya ni sahihi kusema kuwa hata Bwawa la Nyerere inawezekana lisiwe efficient kwa miaka mingi ijayo kutokana na changamoto hizi.

Kwa upande mwingine kuna vyanzo ya umeme vinavyoonekana kuwa vya uhakika zaidi katika miaka mingi ijayo. Vyanzo hivyo ni pamoja na Nyuklia na Jua ambavyo kwa bahati nzuri sana vyote kwa hapa Tanzania tunavyo.

Ushauri wangu.
1. Kuna teknolojia mpya salama zaidi ya kutengeneza plant ndogo za nyuklia. Serikali ialike wataalam kutoka nchi za Ujerumani au Scandinavia wajenge hata plant moja ya namna hiyo kwenye moja ya mikoa yenye bahari/ maziwa hapa Tanzania. Tukipata megawat hata 10,000 au 20,000 sio mbaya. Uzuri madini ya uranium tunayo kinachotakiwa ni teknolojia tu.

2. Kuna mikoa/ sehemu hapa nchini ambayo Jua linawaka kwa uhakika kwa miezi si chini ya 10 au 11. Serikali iwekeze haraka uzalishaji wa Umeme Jua kwenye mikoa hii hata megawat 3000 - 5000

Inawezekana watu wakasema tuna gesi ila kiuhalisia gesi tuliyonayo ni ya matumizi ya miaka 30- 50 kama sikosei hivyo inawezekana huko mbeleni nayo ikaisha.

Naomba kuwasilisha.
Wenye akili kubwa ya nishati watakuelewa
 
Mgao umebaki historia.
Nowadays umeme upo full time.
 
Mgao umebaki historia.
Nowadays umeme upo full time.
Wenzako wameanza kulalamika mgao wa umeme.

Mgao wa umeme nchi hii unapotea only pale tunapokuwa na mvua za kutosha na mabwawa yetu kujaa. Ukitokea ukame au uhaba wa mvua tu tunarudi kuanza upya.

Hizi sio akili ni matope. Viongozi wetu wanatakiwa kufikiri mbali zaidi. Umeme reliable duniani ni wa nyuklia ndo mana mataifa makubwa saivi kila siku wanazidi kuwekeza kwenye umeme wa nyuklia.

Jirani yetu Kenya tu ameanza kuwekeza kwenye umeme wa nyuklia na hana hata madini ya Uranium.

Sie tuna uranium imejaaa hapo Bahi, Songea na Lindi ila tunalia mgao wa umeme kila kipindi cha ukame. Huu kama sio ujuha ni nini sasa?
 
Comment yako na thread vinashusha hadhi ya JF
Nchi kama Tanzania haiwezi kumudu umeme wa nuclear kwa kiwango unachotaka.

Pia ni hatari nchi Kama Tanzania kkutegemea umeme wa nuclear sababu ni non renewable

Kwa sasa tuna uzalishaji mkubwa wa umeme kuliko mahitaji. Tunazalisha zaidi ya megawatt 3000, mahitaji ni nchini ya megawatt 2000. Tatizo letu kubwa ni miundombinu ya usafirishaji na si uzalishaji
 
Kwa hiyo Kenya wamudu umeme wa nyuklia sie tushindwe? Kwa sababu gani?

Una akili kweli wewe?

Alafu uliza upewe elimu maana unaonekana unaishi kwa kukariri sana. Saivi kuna teknolojia mpya ya nyuklia ambayo imeondoa iyo concept ya umeme wa nyuklia kuwa non renewable.

Huo ushamba na ujinga wenu ndo unatugharimu na kutufanya kila siku tuzidi kuwa nyuma kimaendeleo. Kama mmeshindwa ondokeni kwenye hizo nafasi waingie watu wenye uwezo waipeleke hii nchi mbele kimaendeleo kwa speed inayotakiwa.
 
Mkuu naomba kukuuliza, Kenya wanazalisha megawatt ngapi kutumia nuclear?

Teknojia imeondoa nuclear kuwa non renewable? Unaelewa maana ya non renewable? Ni sawa useme teknojia imeondoa solar kuwa renewable. Mfano teknolojia inawezaje kufanya jua lisiwake?
 
Kenya waliomba kibali cha kuanza kuzalisha umeme wa nyuklia. Kibali hicho wamepewa mwaka jana au mwaka huu kwa hiyo saivi wameanza maandalizi ya kuanza ujenzi wa plant
 
Kuna watu wanaamini kabisa kuwa Bwawa la Umeme la Rufiji likianza kazi basi suala la Mgao wa umeme litakuwa historia kwenye nchi hii.

Kwa namna ninavyosoma taarifa mbalimbali za kiutafiti zinazohusu masuala ya Mazingira napenda kuwaambia hawa watu wakiwemo viongozi wetu kuwa inawezekana wakawa sahihi kwa muda fulani ila kwa muda mrefu hawatakuwa sahihi

Kwa hali ya mabadiliko ya hali ya hewa ilivyo inasemwa kuwa huko mbeleni suala la ukame litakuwa jambo la kawaida sana duniani na inawezekana hata uzalishaji wa chakula ukapungua sana.

Kwa haya ni sahihi kusema kuwa hata Bwawa la Nyerere inawezekana lisiwe efficient kwa miaka mingi ijayo kutokana na changamoto hizi.

Kwa upande mwingine kuna vyanzo ya umeme vinavyoonekana kuwa vya uhakika zaidi katika miaka mingi ijayo. Vyanzo hivyo ni pamoja na Nyuklia na Jua ambavyo kwa bahati nzuri sana vyote kwa hapa Tanzania tunavyo.

Ushauri wangu.
1. Kuna teknolojia mpya salama zaidi ya kutengeneza plant ndogo za nyuklia. Serikali ialike wataalam kutoka nchi za Ujerumani au Scandinavia wajenge hata plant moja ya namna hiyo kwenye moja ya mikoa yenye bahari/ maziwa hapa Tanzania. Tukipata megawat hata 10,000 au 20,000 sio mbaya. Uzuri madini ya uranium tunayo kinachotakiwa ni teknolojia tu.

2. Kuna mikoa/ sehemu hapa nchini ambayo Jua linawaka kwa uhakika kwa miezi si chini ya 10 au 11. Serikali iwekeze haraka uzalishaji wa Umeme Jua kwenye mikoa hii hata megawat 3000 - 5000

Inawezekana watu wakasema tuna gesi ila kiuhalisia gesi tuliyonayo ni ya matumizi ya miaka 30- 50 kama sikosei hivyo inawezekana huko mbeleni nayo ikaisha.

Naomba kuwasilisha.
Miezi ya kuuza majenereta imefika. Kila biashara ina high season yake 🤣🤣🤣
 
Kenya waliomba kibali cha kuanza kuzalisha umeme wa nyuklia. Kibali hicho wamepewa mwaka jana au mwaka huu kwa hiyo saivi wameanza maandalizi ya kuanza ujenzi wa plant
Hujaelewa, swali. Nauliza Kenya watazalisha umeme kiasi gani kutumia nuclear na gharama zipo vipi
 
Kwa taarifa zao wamepanga kuanza na megawatt 1000 by 2030.
Megawatt 1000 kwa gharama ya zaidi ya trillion 10, wakati kwenye hydro kwa megawatt 1000 ingetumika robo tu ya pesa . Hapo bado gharama kubwa za maintenance ya hizo nuclear reactors

Pili kama nilivyosema ni nuclear energy ni non renewable. Hata hivyo Kenya ni nchi ambayo haina vyanzo vingi vya maji hawana gesi ya kutosha ndio maana unaona wanaingia kwenye miradi ya gharama kubwa
 
Nani kakwambia watatumia trilion 10?

Alafu kama wao wanazalisha megawat 1000 kwa nyuklia ni lazima na sie tuzalishe magawat hizo 1000?

Mbona walijenga treni ya SGR ya Diesel sie tukajenga ya Umeme? Tena kwa bei nafuu kuliko waliyojenga wao?

Hatuwezi kuzalisha hata megawat 10000?
 
Nani kaniambia? Kwani gharama ya mradi ni Siri? Au wewe unajua gharama ya huo mradi ni kiasi gani?

Tuzalishe megawatt 10000 kwa nuclear? Ambayo gharama ya mradi itakua zaidi ya trillion 100.
Hapo lengo linakua ni lipo ikiwa una gesi na una vyanzo vya maji
 
Hizo gharama zimeandikwa wapi kuwa ndo ziko hivo?

Na nani kamwambia gharama watakazotumia Kenya ndizo tutakazotumia Tanzania?

Gharama walizotumia kujenga SGR yao ndizo tulizotumia kujenga SGR yetu?
 
Wewe hebu sema gharama za huo mradi Kenya ni kiasi gani mbona rahisi tu

Pia usiende mbali sana, weka gharama za miradi Kama hiyo kwa nchi zingine ili ujue kwa Tanzania ittakuwaje. Mbona rahisi
Unafikiri

Kuhusu gharama za SGR kenya na Tanzania hazipishani sana
 
Back
Top Bottom