Logikos
JF-Expert Member
- Feb 26, 2014
- 15,460
- 24,233
Haya mambo usisome kwa haraka haraka na kwa jicho la what is possible lakini what is practical... Huko Australia ana MW ngapi za Storage na hio storage inaweza ikapower nyumba ngapi kwa muda gani....Mpaka hivi sasa Elon ameweza kuwa na storage capacity ya solar energy ya kuweza kutumika kwenye makazi ya Watu. In fact ameweza kuwapa umeme wa solar kwa matumizi ya mji mzima Kama majaribio huko Australia!!
The Neoen-owned Hornsdale Power Reserve is literally a facility full of Tesla PowerPacks that receives and stores energy from nearby wind and solar farms. By storing power up to its capacity of 100 MW, this “battery” can absorb brief blips in the grid surrounding it, reducing outages for residents and easing the burden on businesses or facilities that lose money, product, and more during those outages. It could also reduce the amount of fossil fuel burned to power backup generators.
The dedicated battery farm can power 30,000 homes for up to an hour, which relieves the burden on the grid during hot summer days when failure is most likely. “Hornsdale and other grid-scale batteries offer a way to tackle the variability of wind and solar power, and South Australia is seen as a global testbed in the transition away from fossil fuels, with the state getting more than half its power from renewable sources last year,” Bloomberg reports.
Aisee nadhani ungenisoma kuanzia mwanzo wala tusingeongelea haya....; Ni kwamba the cheapest practical storage mpaka sasa Ni Bwawa (Hydro Storage) ambayo tunayo..., hizo battery bank cha maana na rahisi ni kila mtu labda awe na battery yake, sababu ukikusanya huu umeme ukawa mwingi bado utahitaji storage sasa kuanza kutumia mapesa kununua battery banks ambazo life span yake na yenyewe sio ndefu kivile ni upuuzi sababu kuna njia nyingine nyepesi..., narudia ukinisoma hapa wala huku tusingefika...Sisi hapa tungeanza na kuweza kuwapatia households umeme wa solar wa uhakika na baadae when technology will scale up storage then we shall scale up too!!
Jinsi ya kuifanya Kampuni ya Tanesco kuwa Kampuni Bora na ya Kujivunia Tanzania na Afrika kwa Ujumla
Tanzania tumebarikiwa vyanzo vingi vya nishati, Na Tanesco ni kati ya Makampuni mama ya Tanzania ambayo yanaweza yakaitangaza nchi yetu Africa na Pote Duniani (Yaani mfano wa kuigwa) Sio tu kutupatia nishati hapa bali tuweze kuwapa hata majirani zetu na kutuingizia fedha badala ya sasa kutumia...