Lord denning
JF-Expert Member
- Jun 3, 2015
- 15,819
- 33,255
- Thread starter
- #61
Maelezo mengi logic sifuri.Huu ulioandika ni ujinga ambao unafaunyia 'rationalization' ya kijinga ukiamini na wewe un akili zaidi ya wengine!!!
Hapo ilipo Israel ilikuta nchi ni yenye jangwa mpaka mto jordani ulokuwa unatiririsha maji kwenye bahari nyekendu na Judea ulianza kukauka lakini Waisrael wamebadilisha jangwa kuwa kijani kwa kutumia umande, maji ya bahari yanaondolewa chumvi (desalination) na mchankato huuo ambao unatiririsha maji kupitia mifereji kwa kasi ambapo mitambo inawekwa kwenye mfumo unazalisha umeme pia.
Wewe unaota uharibifu wa mazingira yanahusikaje ujazaji maji kwenye bwawa kupitia mito mitatu mikuu inayomwaga maji kwenye mto Rufiji ambayo ni 1. Kilombero ukitokea maeneo oevu ya Ulanga na Malinyi; 2. Ruaha mkuu kutokea maneo oevu ya Mbarali Mbeya kupitia Iringa na 3. Luwegu kutokea Njombe.
Swali dogo kwako wewe mtoa taarifa uliyefilisika je kuna upungufu wa mvua maeneo hayo ambako hiyo mito inatokea kiasi ambacho hakuna maji yanayotiririshwa kuingia mto Rufiji hadi mtu mmoja wa TANESCO anathubutu kudanganya wananchi kwamba pamoja na mvua inayoendelea kunyesha eti hakuna maji yanayoingia kwenda mto Rufiji na kuingia bwawa la Nyerere huko Rufiji!!!
Kama umetumwa na huyo mwizi aliyekuwepo kwenye wizara kujaribu kumsafisha kwa mtindo huo umekwama.
Eneo la Selous lina misitu ya asili na hakuna shughuli zozote za kibinadamu zaidi ya utalii, uvuvi kwenye mto na ujenzi wa bwawa upande wa mashariki kijiji cha mwisho kabla hujaingia ndani ya hifadhi ya Selous kiko umbali wa Kilomita 115 (Mloka) kupitia geti la Mtemere; kwa upande wa magharibi kijiji cha msho kabla hujaingia kwenye hifadhi mpaka kwenye bwawa la Nyerere kiko umbali wa kilomita 75 (Kisaki) na upande wa kasikazini ni mbuga ya Nyerere kilomita 65 kutoka kwenye bwawa shughuli zao ni utalii sasa hapo mazingira kuzuia maji kuingia kwenye mto yametokea wapi?
This battle opposing the construction of the hydropower generation at Rufiji should stop with you and your allies.
Kama una akili vizuri ulipaswa kufahamu kuwa mito inayomwaga maji kwenye mabwawa ya kihansi, mtera na kidatu ndo hiyo hiyo inapeleka maji Rufiji.
Ungeweza kujijibu mwenyewe tu kuwa kama Mtera, kidatu na Kihansi zinapata upungufu wa maji kipi kitazuia Bwawa la Rufiji kupata upungufu huko mbeleni?