Mzee wa kupambania
JF-Expert Member
- Aug 14, 2022
- 21,111
- 53,092
China inaongoza kwenye hili. Sasa hivi wanazalisha 540 mln kw za umeme kupitia solar energyNa wanatengeneza solar farms za uhakika.
Imagine 540 mln kw!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
China inaongoza kwenye hili. Sasa hivi wanazalisha 540 mln kw za umeme kupitia solar energyNa wanatengeneza solar farms za uhakika.
Kwani gesi ilikwenda wapiHii ni fedhea. Haiwezekani karne hii ya 21 tuna wasomi na viongozi tunaoamini wana exposure ila wanaishia kuhubiri umeme wa maji tu. Ni kielelezo kuwa tuna shida kwenye bongo zetu
Mwulize kikwete kuwa gesi ipo au haipoSuluhisho kwa sasa ni umeme wa gesi tu
Umenisoma kuanzia Mwanzo lakini au ? Nadhani wewe ndio upo nyuma kwenye haya mambo.... Suala la Umeme kuingizwa kwenye grid sio issue hapo inatumika smart meter ile dc ya solar inakuwa converted kwenye AC na kuwekwa kwenye Grid (ni jambo la kuweka sawa mfumo tu na ungenisoma tangia mwanzo hio ndio suggestion yangu)Bado uko nyuma kuhusu teknolojia ya solar (UV tech)
Imeboreshwa sana mkuu
Nchi za wenzetu hadi umeme wa solar umeingizwa kwenye grid ya taifa
Huko wenzako walishapita ndio maana nikasema wewe bado uko nyuma kwenye UV techissue kubwa ya hizi solar na upepo ni battery technology / efficiency
Don't believe the hype..... Wind / Solar still ni unreliable without the use of storage of some kind umeongelea kwenda direct kwenye grid nimekwambia kwenye grid kama usipotumika wote kwa wakati huo utahitaji storage, ukitumika wote bado utahitaji energy from other place during night..., sasa unaongelea UV tech ? Kwamba hio ndio ita-store surplus efficiently au itafanya solar ku-capture energy 24/7 ?Huko wenzako walishapita ndio maana nikasema wewe bado uko nyuma kwenye UV tech
Shukrani sn mkuuheko sana kiongozi ama hakika ada za wazazi wako katika shule na chuo kikuu hazijaenda bure kwani umezitendea haki kwa maelezo yako haya yenye madini makubwa na elimu toshelezi kwa sisi wasomaji wako
Storage facilities zipo fanya utafiti. Kama ukizungumzia Tanzania utachelewa mkuuDon't believe the hype..... Wind / Solar still ni unreliable without the use of storage of some kind umeongelea kwenda direct kwenye grid nimekwambia kwenye grid kama usipotumika wote kwa wakati huo utahitaji storage, ukitumika wote bado utahitaji energy from other place during night..., sasa unaongelea UV tech ? Kwamba hio ndio ita-store surplus efficiently au itafanya solar ku-capture energy 24/7 ?
Narudia tena solar ni nzuri kwenye energy mix lakini efficient storage is still a bottleneck ndio maana kuna watu wanakesha kuangalia more efficient means za kuweza kuhifadhi hio Nishati, until then HEP Plants remain the most practical efficient Battery for Renewable energy especially in Tanzania
Storage facilities ni nini ?Storage facilities zipo fanya utafiti. Kama ukizungumzia Tanzania utachelewa mkuu
Kwa hiyo hoja yako ni nini hapa?Storage facilities ni nini ?
Nishati haiwezi kutengenezwa wala kuharibiwa lakini inaweza kubadilishwa kutoka state moja kwenda nyingine kubadilishwa huko eitheir kunatoa nishati ambayo inaweza kutumika kufanyia kazi au nishati inanyonywa (kutunzwa ili ifanye kazi baadae) na kila kubadilika kunavyofanyika ufanisi unapungua; kwahio ukiangalia kwa jicho hilo utaona kwamba kwa nishati kutumika moja kwa moja ni ufanisi zaidi kuliko kuitunza..
Lakini sababu matumizi ya nishati hayapo constant inabidi wakati mwingine kutunza ili kutumia inapohitajika (sasa kama ni gas turbine unaweza kuzizima, maji ambayo yanatiririka hata usipoyatumia yataendelea kutiririka lakini unaweza kuamua wakati mahitaji ni machache ukatumia nishati ya ziada yale maji kuyatunza katika reservoir ya juu ili yatumike baadae (hio ni type ya mechnical battery)
Kwa ufupi aina za Storage ya Electricty ni kama ifuatavyo:-
- Pumped hydroelectric. Electricity is used to pump water up to a reservoir. When water is released from the reservoir, it flows down through a turbine to generate electricity.
- Compressed air. Electricity is used to compress air at up to 1,000 pounds per square inch and store it, often in underground caverns. When electricity demand is high, the pressurized air is released to generate electricity through an expansion turbine generator.
- Flywheels. Electricity is used to accelerate a flywheel (a type of rotor) through which the energy is conserved as kinetic rotational energy. When the energy is needed, the spinning force of the flywheel is used to turn a generator. Some flywheels use magnetic bearings, operate in a vacuum to reduce drag, and can attain rotational speeds up to 60,000 revolutions per minute.
- Batteries. Similar to common rechargeable batteries, very large batteries can store electricity until it is needed. These systems can use lithium ion, lead acid, lithium iron or other battery technologies.
- Thermal energy storage. Electricity can be used to produce thermal energy, which can be stored until it is needed. For example, electricity can be used to produce chilled water or ice during times of low demand and later used for cooling during periods of peak electricity consumption.
Now katika hizo zote utaona kwamba the most practical ni Pumped Hydro sababu infrastructure ipo hizo battery zinafaa kwa small storages lakini sio Grid Worth of electricity
Kwa ufupi tu as of 2018 in USA storage percentage ya umeme wao ilikuwa kama ifuatavyo:-
View attachment 2827052
Hoja yake nibkuwa efficiency ya solar energy ni less than 35% na wind ni less than 15%.Bado sijapata hoja yako vizuri ndugu ingawa unaonekana unayo.
Hiyo storage concern issue yake ni nini hasa? Umeme wa Solar si unazalishwa kila siku?
Hizo nchi za Uarabuni mbona hatusikii iyo unayosema storage concern?
Aisee hivi mbona najirudia kama santuri mbovu ?Kwa hiyo hoja yako ni nini hapa?
Actually the way forward ni kwa wananchi kuweka panels kwenye mapaa yao (rather than kutumia ardhi ya mambo mengine kuweka panels) na kwa kuwa na smart meters kuweza kuwauzia Tanesco Umeme huo kwenye Grid (na wao kupata credit) na hio Surplus Tanesco ina uwezo wa kutumia kitu kama Bwawa kama a Battery storage.... Actually in a nutshell that's what I see as a best case scenario (kutumia vyanzo vyote vilivyopo ila kwa kusaidiwa na Bwawa)Hoja yake nibkuwa efficiency ya solar energy ni less than 35% na wind ni less than 15%.
Utazalisha ila kikwazo kwa dunia bado ni storage ya battery bank...battery bank inachukua gharama kubwa lakini still bado efficiency ni ndogo.
Upande wangu mimi naona kwa Tanzania ni umasikini ndiyo inatuumiza, ila kama tungekuwa na maisha ya kati...wananchi wangetumia umeme wa jua na wind kwenye domestic use alafu TANESCO wangebaki na mzigo wao kwa kusumbuana na maviwanda huko make wameshaonesha kushindwa kuhudumia wananchi wa chini.
Huu ulioandika ni ujinga ambao unafaunyia 'rationalization' ya kijinga ukiamini na wewe un akili zaidi ya wengine!!!Kuna watu wanaamini kabisa kuwa Bwawa la Umeme la Rufiji likianza kazi basi suala la Mgao wa umeme litakuwa historia kwenye nchi hii.
Kwa namna ninavyosoma taarifa mbalimbali za kiutafiti zinazohusu masuala ya Mazingira napenda kuwaambia hawa watu wakiwemo viongozi wetu kuwa inawezekana wakawa sahihi kwa muda fulani ila kwa muda mrefu hawatakuwa sahihi
Kwa hali ya mabadiliko ya hali ya hewa ilivyo inasemwa kuwa huko mbeleni suala la ukame litakuwa jambo la kawaida sana duniani na inawezekana hata uzalishaji wa chakula ukapungua sana.
Kwa haya ni sahihi kusema kuwa hata Bwawa la Nyerere inawezekana lisiwe efficient kwa miaka mingi ijayo kutokana na changamoto hizi.
Kwa upande mwingine kuna vyanzo ya umeme vinavyoonekana kuwa vya uhakika zaidi katika miaka mingi ijayo. Vyanzo hivyo ni pamoja na Nyuklia na Jua ambavyo kwa bahati nzuri sana vyote kwa hapa Tanzania tunavyo.
Ushauri wangu.
1. Kuna teknolojia mpya salama zaidi ya kutengeneza plant ndogo za nyuklia. Serikali ialike wataalam kutoka nchi za Ujerumani au Scandinavia wajenge hata plant moja ya namna hiyo kwenye moja ya mikoa yenye bahari/ maziwa hapa Tanzania. Tukipata megawat hata 10,000 au 20,000 sio mbaya. Uzuri madini ya uranium tunayo kinachotakiwa ni teknolojia tu.
2. Kuna mikoa/ sehemu hapa nchini ambayo Jua linawaka kwa uhakika kwa miezi si chini ya 10 au 11. Serikali iwekeze haraka uzalishaji wa Umeme Jua kwenye mikoa hii hata megawat 3000 - 5000
Inawezekana watu wakasema tuna gesi ila kiuhalisia gesi tuliyonayo ni ya matumizi ya miaka 30- 50 kama sikosei hivyo inawezekana huko mbeleni nayo ikaisha.
Naomba kuwasilisha.
Kwa future use sio lazima iwe pumped storage hydropower pekee mkuu kuna compressed air na flywheel storage as wellAisee hivi mbona najirudia kama santuri mbovu ?
Moja nilianza mwanzo kabisa kusema kwamba Solar na Wind na renewables nyingine bottleneck ni storage; wewe ukasema ooh siku hizi nchi za watu wanaweka straight kwenye Grid; Nikakwambia kuweka kwenye Grid sio tatizo sababu hata ikienda huko isipotumika bado inahitaji storage..., Ukasema ooh sijui sifahamu tech ya UV..., Nikakwambia UV has nothing to do with storage hata efficiency ya panels ikiongezeka maradufu bado kwenye giza hakuna production..., ukasema storage facilities zipo..., ndio hapo nimerudi nilipoanzia Kwa kufanikisha solar vizuri a practical and only way ya kuweza kutunza huo umeme surplus wakati wa mchana for future use ni kutumia Hydro.....
Sasa labda nikuulize wewe uliyeniambia sielewi haya mambo hoja yako ni nini hasa.....
.battery bank inachukua gharama kubwa lakini still bado efficiency ni ndogo.
Compressed air kwa facility zipi ambazo tunazo sasa na kwa efficiency ipi ? Flywheel unajua kwamba inafaa kwa storage na matumizi ya muda mfupi ? Unajua storage ya kitu under high pressure ni more risky kuliko kitu kama maji ambayo ni kuyaweka tu hapo juu kusubiri yashuke baadae ?Kwa future use sio lazima iwe pumped storage hydropower pekee mkuu kuna compressed air na flywheel storage as well
Hapo nilimaanisha PV (Photovoltaic)
tech sio UV
Hizo projects ziangalie with a pinch of salt hapo kuna mambo yafuatayo:-View attachment 2827075
The Chinese-built world's largest single-site solar power plant Al Dhafra PV2 has fully completed construction in the #UAE, covering an area of 20 square kilometers with an installed capacity of 2.1 GW. The project has contributed 3.6 bln kWh of green energy to the country as of mid-Nov 2023.
Hawa watu sijui huwa wanawaza nini?