Bila kuleta udini na uhafidhina, kati ya Israel na Palestina nani aliyevamia eneo la mwingine?

Cecil J

JF-Expert Member
Joined
Oct 12, 2023
Posts
434
Reaction score
1,024
Japo katika kujibu swali hili kutahitaji historia, naomba tujitahidi tusilete udini bali chanzo halisi cha mgogoro huu wa Palestina na Israel.

Ninachokijua kime-base kwenye dini na ndio maana nashindwa kukiweka hapa, nawaomba wataalamu wa Historia ya Israel na Palestina watusaidie, pia mtu yoyote aliye na uelewe wa haya mambo anaombwa achangie.
 
Israel alivamia eneo la mwenzake , na Israel imeundwa mwaka 1948 , wakati Palestina ilikuepo muda mrefu sana
Uvamizi huu naona unapewa baraka na nchi nyingi za Magharibi, mfano Marekani ambaye yupo tayari hata kutuma ndege za kivita kupeleka huko Gaza.

Kweli ukikosa nguvu umekosa mengi, hautapata unachostahili bali kile kilichobakia, muda huu wa Palestina wanafukuzwa kwao na kufumuliwa makombora.

Maybe Heaven is asleep!
 
Mungu akisema amesema. There is no going back.

"The days are coming,’ declares the Lord, ‘when I will bring my people Israel and Judah back from captivity[a] and restore them to the land I gave their ancestors to possess,’ says the Lord.”
 
Tukianza kupitia vifungu kwenye vitabu vya Kidini hapo tunaenda kinyume na Uzi, ukiachana na mambo ya dini, nani aliyemvamia mwenzie kati ya Israel na Palestina?
 
Ukienda kwenye dini au bila dini Palestine ndio wenye haki, kwenye dini hio ardhi ilijulikana kama ya watu wenye asili ya Canaanites ambao ni watu wa pale ni Lebanon, Jordan, Palestine na part ya Syria wa Israel wala hawana hata asili ya Canaanites wanajaribu kufake kama walivyo fake kujiita waIsrael. Hata Qur'an inawatofautisha kati ya Wayahudi.na Watoto wa Yakobo. Qur'an ina waita Bani Israel lakini Wayahudi inawaita Yahudi.

Ukienda kwenye nje ya dini Wapalestine walikuwepo hapo kabla ya hao Wayahudi ambao wanajiita Waisrael walivyo kuwa wizi wa history hawa.
 
Japo katika kujibu swali hili kutahitaji historia, naomba tujitahidi tusilete udini bali chanzo halisi cha mgogoro huu wa Palestina na Israel.

Ninachokijua kime-base kwenye dini na ndio maana nashindwa kukiweka hapa, nawaomba wataalamu wa Historia ya Israel na Palestina watusaidie, pia mtu yoyote aliye na uelewe wa haya mambo anaombwa achangie.
Nini suluhisgo la mzozo huu??

Binafsi naona bora wangeungana ikawa nchi moja.

Wawe naserikali ya umoja
 
Uvamizi huu naona unapewa baraka na nchi nyingi za Magharibi, mfano Marekani ambaye yupo tayari hata kutuma ndege za kivita kupeleka huko Gaza.

Kweli ukikosa nguvu umekosa mengi, hautapata unachostahili bali kile kilichobakia, muda huu wa Palestina wanafukuzwa kwao na kufumuliwa makombora.

Maybe Heaven is asleep!
1920 hadi 1922 tayari muingereza alikua anaitawala Palestina kwa jina hilo hilo Palestina , baada ya wahamiaji wa kizungu kwa jina la kiyahudi kua wengi na wakaanzisha vurugu za kutaka watambuliwe na wao , muingereza na marekani wakaunda Taifa bandia kule ili kudhibiti eneo lile na maslahi yao , hivo mwaka 1948 ndio Israel inatangazwa nchi na umoja wa mataifa huku wapalestina wenye eneo lao wakinyimwa haki yao na kiti chao umoja wa mataifa wakakipiga pin, nini kilifanyika hadi waarabu wa eneo lile kunyanyaswa hadi Leo na kupata mateso miaka yote hiyo ndio unatakiwa ujifunze historia pale juu
 
Japo katika kujibu swali hili kutahitaji historia, naomba tujitahidi tusilete udini bali chanzo halisi cha mgogoro huu wa Palestina na Israel.

Ninachokijua kime-base kwenye dini na ndio maana nashindwa kukiweka hapa, nawaomba wataalamu wa Historia ya Israel na Palestina watusaidie, pia mtu yoyote aliye na uelewe wa haya mambo anaombwa achangie.
Hata kihistoria inategemea anayehadithia kaamua kuanzia wapi
 
Israel alivamia eneo la mwenzake , na Israel imeundwa mwaka 1948 , wakati Palestina ilikuepo muda mrefu sana
Kwa mara ya kwanza neno PALESTINA lilianza kuonekana kwenye kumbukumbu na official documents lini?

Similarly, when did the word ISRAEL appear for the first time in historical records and official communications?

Mahali pa kuanzia ni kwenye records za falme za Mesopotamia, Uajemi, Faraoh, Rumi, Ottoman, etc. the word ISRAEL imetokea mara nyingi mno. Tupatieni historical records za PALESTINE. Sizungumzii dini; mleta mada ametahadharisha!
 
Ukienda kwenye dini au bila dini Palestine ndio wenye haki, kwenye dini hio ardhi ilijulikana kama ya watu wenye asili ya Canaanites ambao ni watu wa pale ni Lebanon, Jordan, Palestine na part ya Syria wa Israel wala hawana hata asili ya Canaanites wanajaribu kufake kama walivyo fake kujiita waIsrael. Hata Qur'an inawatofautisha kati ya Wayahudi.na Watoto wa Yakobo. Qur'an ina waita Bani Israel lakini Wayahudi inawaita Yahudi.

Ukienda kwenye nje ya dini Wapalestine walikuwepo hapo kabla ya hao Wayahudi ambao wanajiita Waisrael walivyo kuwa wizi wa history hawa.
Hao Israel (halisi) wako wapi?
 
Sheria duniani, haki mbinguni
Menye nguvu ndo mwenye haki.. 🇵🇸 🇵🇸 🇵🇸
1000000201.jpg
 
Lile eneo ni la waarabu , hasa kwa sababu media , na nguvu duniani kashika marekani na kuna mikataba ya siri uingereza na marekani kuisapoti Israel kwa lolote ndio shida , baadae akaja misri akataka kuwatetea wapalestina akaishia njiani , ikatokea migawanyiko mikubwa middle east , akabakia Iran ndio anawatetea wale watu , hao houth, hezbollah, hamas sio magaidi hivo ni vyama vya kisiasa tena vilikua vinashiriki chaguzi huko na vina wabunge , kama ilivo ccm na greengaurd yao Leo waitwe magaidi , maana nao hupata mafunzo ya kijeshi kule ihemi ikiwapo kutumia silaha , hasa vile vyama kulinda maslahi ndio vikaunda vikosi vya kujilinda na kulinda watu wao , hao sio magaidi kama tunavyoaminishwa na dunia ishaingia mkenge na kupata dhambi ya bure kwa kuwachukia wasio na hatia na kuwapenda wenye hatia
 
Ukienda kwenye dini au bila dini Palestine ndio wenye haki, kwenye dini hio ardhi ilijulikana kama ya watu wenye asili ya Canaanites ambao ni watu wa pale ni Lebanon, Jordan, Palestine na part ya Syria wa Israel wala hawana hata asili ya Canaanites wanajaribu kufake kama walivyo fake kujiita waIsrael. Hata Qur'an inawatofautisha kati ya Wayahudi.na Watoto wa Yakobo. Qur'an ina waita Bani Israel lakini Wayahudi inawaita Yahudi.

Ukienda kwenye nje ya dini Wapalestine walikuwepo hapo kabla ya hao Wayahudi ambao wanajiita Waisrael walivyo kuwa wizi wa history hawa.
Kumbe mnyonge anayenyongwa kwa nguvu ni Palestina??
 
Back
Top Bottom