Bila kuleta udini na uhafidhina, kati ya Israel na Palestina nani aliyevamia eneo la mwingine?

Bila kuleta udini na uhafidhina, kati ya Israel na Palestina nani aliyevamia eneo la mwingine?

Nchi ilishagawanywa miaka mingi na mipaka ilishawekwa ugomvi unaoendelea ni kutokana na upande mmoja kuvuka mipaka na kukalia ardhi ya mwenzie kimabavu
Ni nani, kati ya Israel na Palestina anayekalia ardhi ya mwenzie kimabavu?
 
Nini suluhisgo la mzozo huu??

Binafsi naona bora wangeungana ikawa nchi moja.

Wawe naserikali ya umoja
Hapo ndio watakua kama wahutu na watutsi kwetu Rwanda. Watareta genocide na kibaya zaidi wanazidiana nguvu na maarifa.
 
Back
Top Bottom