Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
What a superb analysis! Tungekua na watanzania wengi wenye akili kama yako tungekua mbali. Ni mjinga tu ndio atasema eneo lile ni la wapalestina. Israel imekuepo kabla hata ya kuzaliwa kwa yesu!Kwa mara ya kwanza neno PALESTINA lilianza kuonekana kwenye kumbukumbu na official documents lini?
Similarly, when did the word ISRAEL appear for the first time in historical records and official communications?
Mahali pa kuanzia ni kwenye records za falme za Mesopotamia, Uajemi, Faraoh, Rumi, Ottoman, etc. the word ISRAEL imetokea mara nyingi mno. Tupatieni historical records za PALESTINE. Sizungumzii dini; mleta mada ametahadharisha!
Taifa limeundwa kwenye eneo lao la asiliIsrael alivamia eneo la mwenzake , na Israel imeundwa mwaka 1948 , wakati Palestina ilikuepo muda mrefu sana
Eswatini ndo mwenye hakiJapo katika kujibu swali hili kutahitaji historia, naomba tujitahidi tusilete udini bali chanzo halisi cha mgogoro huu wa Palestina na Israel.
Ninachokijua kime-base kwenye dini na ndio maana nashindwa kukiweka hapa, nawaomba wataalamu wa Historia ya Israel na Palestina watusaidie, pia mtu yoyote aliye na uelewe wa haya mambo anaombwa achangie.
Walivamia kutoka wapi? Kwa nini wasiwepo walipokuwa na kuja PalestinaIsrael alivamia eneo la mwenzake , na Israel imeundwa mwaka 1948 , wakati Palestina ilikuepo muda mrefu sana
Tupate historia kidogo maana wengine wana mahaba ya kidini ambayo tulipigwa na kitu kizito kichwani na Wazungu na Waharabu
View: https://youtu.be/uuCyN8MHBn8?si=e_N-udxVIY5bs7sy
Ushaambiwa usilete ujinga wa madras hapa kwaio wakati linaundwa lilitokea wapi mbinguni auIsrael alivamia eneo la mwenzake , na Israel imeundwa mwaka 1948 , wakati Palestina ilikuepo muda mrefu sana
Tupate historia kidogo maana wengine wana mahaba ya kidini ambayo tulipigwa na kitu kizito kichwani na Wazungu na Waharabu
View: https://youtu.be/uuCyN8MHBn8?si=e_N-udxVIY5bs7sy
Tupate historia kidogo maana wengine wana mahaba ya kidini ambayo tulipigwa na kitu kizito kichwani na Wazungu na Waharabu
View: https://youtu.be/uuCyN8MHBn8?si=e_N-udxVIY5bs7sy
Waarabu ndiyo wavamizi. Hakuna wakati wowote uko Nyuma Palestine iliwai kuwa Nchi ama Utaifa wa mtu,bali ilikuwa ni colonial entity.Nani aliyevamia ardhi ya mwenzie kati ya Israel na Palestina? Swali lipo hapo, kuhusu ukorofi wa wa Palestina wa eneo la Gaza kuliko wa Palestina wa Ramallah (*kama eneo hili lipo) ni issue subjective kulingana na sababu ulizozitumia.
Acha kuvuta unachovuta,utakuja nishukuru.Mimi ni mkristo lakini Siwaungi mkono hao mamluki Wanaojiita israel
Waparestina wako aggressive coz wanajua hao watu sio wa waesrael wa kweli ni wazungu kutoka Uturuki
Kiufupi Waparestina Wanafahamu pale sio ardhi yao kiasili lakini tunahitaji waisrael halisi ambao wako Ethiopia na yemen ambao ndio hao Tunaowasoma kwenye biblia sema hawana sauti
kwa hiyo mwisho wa dunia ukifika kundi la watu ambalo Litachomwa moto kuliko watu wote ni hawa wa Israeli kwa dhulma wanayoifanya
Nakubaliana nawewe, swali. Hivi hawa wenyeji wa Palestina ya sasa ndo wale wa kipindi kile au nao ni wavamizi kama Israel?Kwasababu Jerusalem ni sehemu ya palestina (Zamani Philistia) tokea Abraham bado hajabalehe!!
Wote wavamizi tu, maana original palestinians walishakua sucked na makabila mengine tokea uvamizi wa Persians na babyloniaH
Nakubaliana nawewe, swali. Hivi hawa wenyeji wa Palestina ya sasa ndo wale wa kipindi kile au nao ni wavamizi kama Israel?
Lini Tanzania iliwahi kuwa taifa kabla ya Ukoloni wa uingereza.Waarabu ndiyo wavamizi. Hakuna wakati wowote uko Nyuma Palestine iliwai kuwa Nchi ama Utaifa wa mtu,bali ilikuwa ni colonial entity.
Kwani kabla mwaka 1947 kuna Inchi au mahala pakiitwa Israel pakiwa na mipaka yake hapa Duniani?Waarabu ndiyo wavamizi. Hakuna wakati wowote uko Nyuma Palestine iliwai kuwa Nchi ama Utaifa wa mtu,bali ilikuwa ni colonial entity.
ngoja niiweka katika lugha Rahisi.Lini Tanzania iliwahi kuwa taifa kabla ya Ukoloni wa uingereza.