Uvamizi huu naona unapewa baraka na nchi nyingi za Magharibi, mfano Marekani ambaye yupo tayari hata kutuma ndege za kivita kupeleka huko Gaza.Israel alivamia eneo la mwenzake , na Israel imeundwa mwaka 1948 , wakati Palestina ilikuepo muda mrefu sana
Tukianza kupitia vifungu kwenye vitabu vya Kidini hapo tunaenda kinyume na Uzi, ukiachana na mambo ya dini, nani aliyemvamia mwenzie kati ya Israel na Palestina?"The days are coming,’ declares the Lord, ‘when I will bring my people Israel and Judah back from captivity[a] and restore them to the land I gave their ancestors to possess,’ says the Lord.”
Jeremiah 30:3 - The Restoration of Israel and Judah
For behold, the days are coming, declares the LORD, when I will restore from captivity My people Israel and Judah, declares the LORD. I will restore them to the land that I gave to their fathers, and they will possess it.'biblehub.com
Nini suluhisgo la mzozo huu??Japo katika kujibu swali hili kutahitaji historia, naomba tujitahidi tusilete udini bali chanzo halisi cha mgogoro huu wa Palestina na Israel.
Ninachokijua kime-base kwenye dini na ndio maana nashindwa kukiweka hapa, nawaomba wataalamu wa Historia ya Israel na Palestina watusaidie, pia mtu yoyote aliye na uelewe wa haya mambo anaombwa achangie.
1920 hadi 1922 tayari muingereza alikua anaitawala Palestina kwa jina hilo hilo Palestina , baada ya wahamiaji wa kizungu kwa jina la kiyahudi kua wengi na wakaanzisha vurugu za kutaka watambuliwe na wao , muingereza na marekani wakaunda Taifa bandia kule ili kudhibiti eneo lile na maslahi yao , hivo mwaka 1948 ndio Israel inatangazwa nchi na umoja wa mataifa huku wapalestina wenye eneo lao wakinyimwa haki yao na kiti chao umoja wa mataifa wakakipiga pin, nini kilifanyika hadi waarabu wa eneo lile kunyanyaswa hadi Leo na kupata mateso miaka yote hiyo ndio unatakiwa ujifunze historia pale juuUvamizi huu naona unapewa baraka na nchi nyingi za Magharibi, mfano Marekani ambaye yupo tayari hata kutuma ndege za kivita kupeleka huko Gaza.
Kweli ukikosa nguvu umekosa mengi, hautapata unachostahili bali kile kilichobakia, muda huu wa Palestina wanafukuzwa kwao na kufumuliwa makombora.
Maybe Heaven is asleep!
Hata kihistoria inategemea anayehadithia kaamua kuanzia wapiJapo katika kujibu swali hili kutahitaji historia, naomba tujitahidi tusilete udini bali chanzo halisi cha mgogoro huu wa Palestina na Israel.
Ninachokijua kime-base kwenye dini na ndio maana nashindwa kukiweka hapa, nawaomba wataalamu wa Historia ya Israel na Palestina watusaidie, pia mtu yoyote aliye na uelewe wa haya mambo anaombwa achangie.
Wote wabishi hawawezani bora nchi igawanywe kati kama North na south Korea kwa maandishiNini suluhisgo la mzozo huu??
Binafsi naona bora wangeungana ikawa nchi moja.
Wawe naserikali ya umoja
Kwa mara ya kwanza neno PALESTINA lilianza kuonekana kwenye kumbukumbu na official documents lini?Israel alivamia eneo la mwenzake , na Israel imeundwa mwaka 1948 , wakati Palestina ilikuepo muda mrefu sana
Hao Israel (halisi) wako wapi?Ukienda kwenye dini au bila dini Palestine ndio wenye haki, kwenye dini hio ardhi ilijulikana kama ya watu wenye asili ya Canaanites ambao ni watu wa pale ni Lebanon, Jordan, Palestine na part ya Syria wa Israel wala hawana hata asili ya Canaanites wanajaribu kufake kama walivyo fake kujiita waIsrael. Hata Qur'an inawatofautisha kati ya Wayahudi.na Watoto wa Yakobo. Qur'an ina waita Bani Israel lakini Wayahudi inawaita Yahudi.
Ukienda kwenye nje ya dini Wapalestine walikuwepo hapo kabla ya hao Wayahudi ambao wanajiita Waisrael walivyo kuwa wizi wa history hawa.
Kumbe mnyonge anayenyongwa kwa nguvu ni Palestina??Ukienda kwenye dini au bila dini Palestine ndio wenye haki, kwenye dini hio ardhi ilijulikana kama ya watu wenye asili ya Canaanites ambao ni watu wa pale ni Lebanon, Jordan, Palestine na part ya Syria wa Israel wala hawana hata asili ya Canaanites wanajaribu kufake kama walivyo fake kujiita waIsrael. Hata Qur'an inawatofautisha kati ya Wayahudi.na Watoto wa Yakobo. Qur'an ina waita Bani Israel lakini Wayahudi inawaita Yahudi.
Ukienda kwenye nje ya dini Wapalestine walikuwepo hapo kabla ya hao Wayahudi ambao wanajiita Waisrael walivyo kuwa wizi wa history hawa.
Kama palestina ilikuwepo muda mrefu ni kitu gani kilicho wazuia wapalestina kuwa na taifa lao kama nchi?.Israel alivamia eneo la mwenzake , na Israel imeundwa mwaka 1948 , wakati Palestina ilikuepo muda mrefu sana
We nawe elewa swaliIsrael alivamia eneo la mwenzake , na Israel imeundwa mwaka 1948 , wakati Palestina ilikuepo muda mrefu sana
Hahahaa! Dah! Umejibu kishamba sana, kama vile jinsi ulivyo!Israel alivamia eneo la mwenzake , na Israel imeundwa mwaka 1948 , wakati Palestina ilikuepo muda mrefu sana