Muuza Kangala
JF-Expert Member
- Jul 21, 2021
- 2,268
- 7,119
Hasira za mnyonge ni mbaya, usimkasirishe, usimuonee kwa uwezo wa kidola, chochote kilicho mbele yake atakitumia kufikisha ujumbe. Usipoelewa hii tulia, wenye akili wataelewaMi mshamba duniani hapa jamani, naomba nieleweshwe; hivi ni serikali ya nchi gani ingeachia majambazi kama Yale ya tarehe 29.10.25 yaharibu miundombinu ya serikali, yachome moto vituo vya mafuta, yaue askari na kuchoma moto vituo vya polisi, yajeruhi walioamua kupiga kura Huku wao walioamua kutokupiga kura wakiwa hawabughudhiwi na yeyote na yaharibu Mali za watu wasiokuwa wafuasi wa chama flani?!!!!! Naomba nifahamishwe tafadhali.