Bila kupatikana kwa katiba mpya ya wananchi tume huru ya uchaguzi Nchi haitakuja kutawalika tena

Bila kupatikana kwa katiba mpya ya wananchi tume huru ya uchaguzi Nchi haitakuja kutawalika tena

gentleman,
Tanzania itaendelea kua nchi ya kidemokrasia na iliyojengwa katika misingi imara ya kishria whether kuna katiba mpya au hakuna.

katiba iliyoko inajitosheleza vya kutosha licha yakwamba kuna mabadiliko machache ya kimazingira na yele yaliyo katika siasa za kimataifa.

Ni vema kujiepusha na upotoshaji, porojo na uzushi dhidi ya uhuru, uwazi na haki ya Tume Huru ya Taifa ya uchaguzi iliyopo kwasasa, kwasababu itaendelea kufanya kazi zake kwa uwazi na uhuru bila kujali mashinikizo au mihemko ya mamaluki na vibaraka wa mabwenyenye ya magharibi.

Kwa wakati muafaka CCM itafanya mabadiliko ya katiba ikiwa inaona inafaa, na hakuna kubabaika juu ya hilo.

Sawa nimepokea maoni yako Tlaatlaah nyie ndio mnayo hati miliki ya kuitawala Nchi milemile. Mtatuwekea viraka hiyo katiba yenu mpaka pale mtakapoona inafaa iapendeza zaidi.


View attachment 3561241
Juma Homera alimuua huyu dogo Shadrack Chaula akazawadiwa Uwaziri wa Katiba na Sheria, inasikitisha sana.

Umaskini ni laana mbaya sana inafikaje Mtu au Kiongozi unafanya uovu kwa kumdhulumu kwa kuutoa Binadamu uhai wake wa kuishi hapa duniani. Ili umfurahishe kiongozi wako akuteue ili wewe uliyefanya uuaji huo upate ajira,upate cheo ama promotion ya kazi.





Yes,
hilo liko wazi kwa waTanzania wote na dunia nzima inafahamu kwamba CCM ndio chama pekee Tanzania chenye ridhaa ya wananchi wa Tanzania, na ndicho chenye dhamana ya kushika dola, kuunda serikali, kuongoza nchi, kuwatumikia waTanzania na kuwaletea maendeleo endelevu kijamii, kisiasa na kiuchumi.

CCM itatawala Tanzania kwa miaka mingi mno ijayo gentleman
 
Sawa nimepokea maoni yako Tlaatlaah nyie ndio mnayo hati miliki ya kuitawala Nchi milemile. Mtatuwekea viraka hiyo katiba yenu mpaka pale mtakapoona inafaa iapendeza zaidi.


View attachment 3561241


Umaskini ni laana mbaya sana inafikaje Mtu au Kiongozi unafanya uovu kwa kumdhulumu kwa kuutoa Binadamu uhai wake wa kuishi hapa duniani. Ili umfurahishe kiongozi wako akuteue ili wewe uliyefanya uuaji huo upate ajira,upate cheo ama promotion ya kazi.

Mr Tlaatlaah
Binadamu wanaoishi Tanzania sio wajinga kama mifumo unavyofikirisha
 
Back
Top Bottom