Bila Rais Samia Suluhu, Freeman Mbowe angeozea jela. Upinzani fuateni sheria

Kwa hiyo si alikuwa ana haki ya kukataa kutoka ndani, si ungemshauri abaki ndani mpaka kesi iishe.
 
Nyie ndo umezaliwa wakwanza katika familia kisa njaa yamama ako au kisa dagaa mchele
 
Muulize jaji aliyetoa hukumu kuwa walikuwa na kesi ya kujibu. Halafu, sasa si Mbowe yupo huru, ana haki ya kufungua mashitaka ya kuonewa. Au hana?

Allah amzidishie Mama Samia Suluhu kila la kheri.
Uzuri mwamba sii mtu wa visasi, uwezo wa kuwasamehe watesi wake Bure na kwa maslahi ya taifa anaweza, ila upande mwingine manyanyaso aloyopitia katika vipindi tofauti, pamoja na kuwakumbusha waonevu kuwa zipo gharama za kufanya uonevu anaweza kuwasilisha mashutaka dhini ya wote waliomnyanyasa yeye na wenzake pamoja na wanachama wa chama chake.
 
Watu wameliona jiwe likipukutika itakuwa mwamba.
 
TBC!
 
Mke wa mwenyekiti mbowe leo anakazi [emoji91] [emoji91] [emoji91]
 
Ni sheria ipi iliyovunjwa itaje?

Usijikweze kwa kubuni kumpa mtu matatizo halafu unatafuta njia ya kuyafuta matatizo ili uonekane mwema.

Mmejitia aibu kubwa kama serikali.

Policcm wenu hawajui hata sheria za pgo zinasemaje.

Mgeiacha tu halafu sirro akaelezee habar za pgo ili uangalie manyanga yake yatavyokuwa.
 
Serikali ya ajabu sana inamwachiaje gaidi? Alisikika kibajaji akiwa uvunguni mwa meza
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…