Bila shaka tumepata picha kamili, uvunjifu wa haki huzalisha chuki ya kudumu

Tatizo watu wanalazimisha kupendwa wakati hali haiko hivyo mtu haja chaguliwa na anajua hawezi chaguliwa anakulia kwanini manataka niongoze mitano tu wakati wenzangu wamepiga 10 10 kwanini nataka mi 5 tena

kisha kutumia vyombo vya dola kupora ushindi wa vyama vingine mjue hata muumba wa mbingu na nchi hapendi ila basi tu.
 
Asubuhi hii kuna mtu nimemsikia akisema hajawahi kunywa pombe ila ikitangazwa jamaa ka RIP atakunywa pombe hadi alale bar. Hapa ndipo awamu ya tano ilipowafikisha Watanzania.
Utanielekeza baa aliyopo huyo mtu, nione kama naweza kumsaidia sehemu ya kulala.
 
Watu gani hao wa mitaani?
 
magufuli kachafua sana.nchi hii na kujenga chuki kubwa miongoni wa watanzania ndo maana watu wanafurahi afe kwa faida ya walio wengi
Usisemee watu, jisemee wewe na wenzio katika uchache wa wingi wenu,
Kwa ground majority wanamkubali sana JPM.
 
Huko mitaani watu ama wametitikiwa ufahamu, au wanakosa taarifa. Baadhi wa walioko mitaani ni wanafiki tu.
Wewe unajuaje kama ni wanafiki, au wewe ni Mungu kwamba unaona yaliyo ndani ya mioyo ya watu, usilazimishe mawazo yako yawe ni mawazo ya wote.
 
Yaani Wewe peke yako ndio maelfu?
Nope, tupo wengi sana sababu the dude is doing great job for this country.. nyie wenye chuki nae bila hata sababu za msingi mpo wengi pia katika uchache wenu.
 
Waliokatisha maisha ya Dr mvungi, walitafutwa na sasa wanasubiri kifo, vip hapo Dr mvungi ndiye aliyewafuatilia hao wauaji wake?
 
Asubuhi hii kuna mtu nimemsikia akisema hajawahi kunywa pombe ila ikitangazwa jamaa ka RIP atakunywa pombe hadi alale bar. Hapa ndipo awamu ya tano ilipowafikisha Watanzania.
Nadhani siyo vzr kumuombea binadamu mwezio mabaya. Biblia inasema Hakuna mamlaka iliyo jiweka yenyewe, hata kama ni katili kiasi gani, mungu ameiridhia. Na anamakusudi nayo. Naomba kutoa mfano laisi, hivi yesu hakujua kuwa Yuda atamsaliti, pia pale msalabani wakati akiteswa, aliumizwa sana, lakini alikuwa na uwezo wa kulipiza kisasi,LAKINI ALISEMA, BABA UWASAMEHE KWANI HAWAJUI WALITENDALO.
Warumi 12:18-21
[18]Kama yamkini, kwa upande wenu, mkae katika amani na watu wote.
[19]Wapenzi, msijilipize kisasi, bali ipisheni ghadhabu ya Mungu; maana imeandikwa, Kisasi ni juu yangu mimi; mimi nitalipa, anena Bwana.
[20]Lakini, Adui yako akiwa na njaa, mlishe; akiwa na kiu, mnyweshe; maana ufanyapo hivyo, utampalia makaa ya moto kichwani pake.
[21]Usishindwe na ubaya, bali uushinde ubaya kwa wema.
 
Chuki imo humu mitandaoni mitaani kuko safi mno hakuna chuki
Hapa mtandaoni ni kama bungeni hatuwezi kuingia wote kulisemea taifa,hata unapofanya research sample ni sehemu ya kitu kizima ila mwisho wa siku hutoa picha jumuishi, Unachokiona hapa mtandaoni ndio taswira ya huko mtaani.
Kwani tunaotoa mawazo hapa mtandaoni tunaishi google?
 
Yangu macho, kwani nilishasema hadi sasa Nacheka tu
 
Anayemchukia magufuli ni mtu aliyenyimwa uwezo wa kupambanua mambo,asiyeona mbali
tena mwenye akili za kujua kuchamba tu
Si lazima utukane, unaweza kuwaelekeza watu umuhimu wa JPM kwa taifa wanaweza kuondoa chuki zao! Waelimishe tu usiwatukane!
 
Hakika mkara mshamba! Biblia kuisoma kama mwasoma udaku. Wakamkamata. Wakamvisha taji la miiba. Wakamcharaza mijeledi 39. Wakamwangika juu ya mti. Wakamdhihaki na kumtemea mate. Hawakujua walifanyalo?
Tafuta maana ya "hawajui walitendalo" aliyosema Yesu. Ushamba wa kikara hausaidii hapa. Kuhusu Yuda Iskarioti ilikuwa andiko litimie. Hujajiuliza swali ni nani alikuwa hamfahamu Yesu. Kuhani mkuu? Sanhedrin? Nani hakumfahamu aliyemfufua Lazaro hadi aonyeshwe na Yuda? Hata ingekuwa usiku wa giza totoro Yesu ungempata tu. Aliwauliza wanamtafuta nani. Akawajibu ni Yeye. Akili za mkara tena mshamba haziwezi elewa hili fumbo!
 
Naona Unaagenda ya chuki..

Hakuna kipindi haki inaendelea kutendeka kama kipindi hiki... Narudia hakuna.

Kitu ambacho wengi tunakosea na huenda hapo awali tulikosea kama Taifa.. ni kuwadekeza Watanzania.

Watanzania wanalilia haki tuu bila kutekeleza wajibu. Katika scenario nyingi sisi tunaojiita wazalendo tumejikuta tunaupotosha umma kwa stori za kuunga unga..

Hakuna mtu anatachukia serikali kwa kufanya wajibu wake.. tunatakiwa kuilinda nchi against Maadui wa nje na wandani.. kama itathibitika umekuwa adui serikali itakushughulikia maana ndio wajibu wake.

Siwezi kuongelea swala la Biko.. lakini kwa Tanzania naona faraja kubwa.. kwenye ardhi watu walikuwa wanavamia maeneo kisha wanasiasa wanakwenda kuwagawia ardhi ya watu ambayo imemilikishwa bila huruma...

Hiyo yote ni kwasababu uongozi ulikuwa unajikomba kwa watu.. mpaka Wananchi wameanza kuamini wao ndio Sheria.. ni aibu kwa taifa lolote lile kuishi kwa misingi ya hivyo kama hii.

Leo hayo yanakemewa na kilio ni kikubwa.. lakini hapo awali kilio kilikuwa kwa walionyanyaswa na kuonewa. Lazima ujue huwezi kutwist the fabric of reality without it snapping back... Unachokiona leo ndio.njia ya kuitudia reality yetu.. tmeitwist for too long... Now it's snapping back..
 
Kuna kitabu cha form one au two kiliandikwa kwa kinge,, sasa mimi ntanukuu kwa lugha yetu mama.
Kuwa;
" Maovu yote hupita na kufikia mwisho halafu Amani na Utulivu hubakia na kudumu."

Sent from my SM-A207F using JamiiForums mobile app
 
Ukipanda chuki lazima utavuna chuki hakuna namna
 
Kuna mijitu inajidanganya eti taarifa za kifo cha mtu katili zikitolewa italeta taharuki. Watu wanasubiria kwa haaamu sana kusikia hivyo tunywe bia mpka asubuhi. Baada ya dhiki sasa faraja.
Pamoja na kwenda kutoa sadaka
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…