Bila UMAFIA hujawa tajiri bado. Umafia ndio dira ya utajiri

Mark tatizo watu wanamfuatilia juu juu,mark yupo vizuri kwenye kuwanunua wapinzani wake na kuwa copy ,ndo maana ukichunguza vizuri Elon yupo vizuri kiakili na ata roho yake anapendwa kula na watu,ila mark ata wamarekani hawampendi ni ana roho mbaya vibaya na pesa nyingi anaingiza kimafia sana,anauza taarifa za watumiaji WA Facebook,tunatumia mitandao yake atulipi kama Elon anavyolipa sasa hivi kutumia X formerly known as Twitter
 
Kuna tajiri wa mabasi hapo Morogoro alinunua basi la kwanza akiwa under 20 tena akiwa anasoma. Baada ya miaka miwili akaongeza mengine.
Sasa jaribu wewe uone.
unamuongelea yule wa pembe za ndovu au?🤔🤔😂😂🙌
 
Mark janja janja hataki ushindani. Watu hapa wanasema kwamba hao wanaonunuliwa hawashikiwi bunduki. Ukweli ni kuwa Mark anatumia nguvu ya pesa kuua ushindani.
Ushahidi ni kujaribu kuiga X kupitia threads. Nadhani Elon angekuwa ananunulika angeshapandiwa dau.
 
Watu hawaelewi tu na Kuna muda wanasaidiwa na serikali zao kuwakandamiza watu wengine,Kuna kipindi US walivyoona tik tok inakuja speed kutaka kui overtake Facebook ilibidi waipige marufuku US na trump akawachana tik tok ili waingie US inabidi waiuze Kwa marekani na huo ulikuwa mtego😀😀wangejichanganya tu sasa hivi TikTok ingekuwa Mali ya jamaa mwenye roho mbaya Mark,namwita roho mbaya Kwa sababu watu wanatumia social media zake anapiga pesa ila ata kuwalipa hakuna
 
Anavyo lala kwake anavyo kula na kuzagamuana na kusali kutambika kwake vyote unapita nae kwenye hzo njia..? Usiwe shahidi wa binadamu yeyote ambaye sio wewe mwenyewe
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…