Bila ya kumpa mumeo nafasi yake ya Ufalme, ndoa yako haitakuwa na furaha

Bila ya kumpa mumeo nafasi yake ya Ufalme, ndoa yako haitakuwa na furaha

Malkia Kazi yake ni kukaa mlangoni kudai chenji na kuhakikisha abiria wapo comfortable.
Hili la kuacha Kazi yake na kugombea usukani na dereva lazima bus lianguke.
Malkia wa wapi analinda mlango?
 
Hivi na Zumaradi ana mfalme wake anayemheshimu😅🏃
 
Labda mimi nipo tofauti.
Naweza nisimtake siku ya kwanza nimenuna kesho yake nitamtaka tu, na usingizi unakosekana kabisa. Na show ikipigwa hapo raha yake tofauti kabisa na siku nyingine.
Halafu mnuno unaendelea...
Nitumie video ya show
 
Back
Top Bottom