Bila ya kumpa mumeo nafasi yake ya Ufalme, ndoa yako haitakuwa na furaha

Bila ya kumpa mumeo nafasi yake ya Ufalme, ndoa yako haitakuwa na furaha

Kumbe wanaume wengi wanaolalamika ndoa ndoano ni kwamba hawajui kitomber🤣🤣🤣🤣🤣

Sasa mie wa 2min x 3 sii nisijaribu kabisa ndoa maana nitaombewer mke hadi na house girl🤣🤣🤣🤣🤣
Sio lazima sababu iwe hiyo. Ila kumridhisha mwenzako ni jambo muhimu sana
 
Chumbani sio sehemu ya tabia njema, kule unakuwa kama Zumaridi mbinguni anadandia magari na magholofa.
Ishike, imung'unye, ikalie, ipe shida zilizojaa raha, ukiona anabadili mapigo ya moyo, ichomoe. Mtese hadi akikojoa akupe pin yake ya ATM
"Ipe shida zilizojaa raha" 😋

🤣🤣🤣 jemima inaonekana mtundu sana wewe. Chumbani manzi awe kama kahaba daadeki utamu kunoga. Napenda sana wenye pigo hizi

Nishakupenda tayari
 
"Ipe shida zilizojaa raha" 😋

🤣🤣🤣 jemima inaonekana mtundu sana wewe. Chumbani manzi awe kama kahaba daadeki utamu kunoga. Napenda sana wenye pigo hizi

Nishakupenda tayari
Jitihada za kumshawishi Jemima Mrembo aweke namba muamala usome zimegonga mwamba!

Maana sio kwa mautundu haya!

Mpaka kutunzwa anasusa. Kha!
 
Sahii kabisa,
Wake wenye utii tu ndo hudumu kwny ndoa
 
Hivyo mnataka mke slut at the same time awe na hofu ya Mungu, ama Mimi ndiyo sijaelewa..!!

Cc: Mac Alpho

Umeelewa vizuri kabisa, wasiwasi wako tu.

Kuwa na hofu ya Mungu hakumzuii mwanamke kuwa slut, kinacho- matter ni uslut anaufanya VS nani?

The right answer ni, awe hivyo to her Man, only him, sio kukitembeza.
 
Back
Top Bottom