Bila ya kumpa mumeo nafasi yake ya Ufalme, ndoa yako haitakuwa na furaha

Ukiona unanyimwa tendo la ndoa ujue hujawahi kumkuna yaani humsisimui unamboa.

Watu wanagombana na bado wanabanduana wakiwa kwenye hali ya makasiriko famchezo nini na ile kitu...
Yaani utamtaka tu mwenzako hata kama kakuboa labda liwe ni kosa kubwa sana.
Point
 
Nipe namba yako ya simu nikurushie ka kitu mkuu...au tupitishe kimchango tukujengee kamnara kako ka kumbukumbu hapo Chamwino.

Ulichosema ni siri kubwa sana hasa kama umepata mume anayeijua nafasi yake kama mkuu na kuhani wa familia.

Hayo mambo ya feminism yanawaharibia sana hawa mabinti wasomi mpaka wanapoteza sifa za kuwa mke.

Ubarikiwe sana!
Wadada wengi hawana maarifa, uzungu unawadanganya, ndoa ni taasisi na ina namna yake ya kuiishi
 
Ukiona unanyimwa tendo la ndoa ujue hujawahi kumkuna yaani humsisimui unamboa.

Watu wanagombana na bado wanabanduana wakiwa kwenye hali ya makasiriko famchezo nini na ile kitu...
Yaani utamtaka tu mwenzako hata kama kakuboa labda liwe ni kosa kubwa sana.
Balaaa
 
Kumbe wanaume wengi wanaolalamika ndoa ndoano ni kwamba hawajui kitomber🤣🤣🤣🤣🤣

Sasa mie wa 2min x 3 sii nisijaribu kabisa ndoa maana nitaombewer mke hadi na house girl🤣🤣🤣🤣🤣
 
dah!

eti famchezo.

kweli lakini, bila miujuza hukumbukwi.
 
Kumbe wanaume wengi wanaolalamika ndoa ndoano ni kwamba hawajui kitomber🤣🤣🤣🤣🤣

Sasa mie wa 2min x 3 sii nisijaribu kabisa ndoa maana nitaombewer mke hadi na house girl🤣🤣🤣🤣🤣

Utakuta hizo 2min x3 UMEPIGA tukio la kikatili kabisa....famchezo nini Demi
 
A lady in public a slut in the bedroom

Mwenye hofu ya Mungu unampata wapi miaka hii labda wanaoigiza wana hofu ya Mungu
Chumbani sio sehemu ya tabia njema, kule unakuwa kama Zumaridi mbinguni anadandia magari na magholofa.
Ishike, imung'unye, ikalie, ipe shida zilizojaa raha, ukiona anabadili mapigo ya moyo, ichomoe. Mtese hadi akikojoa akupe pin yake ya ATM
 
Back
Top Bottom