Daah kwa wako vizuri kwenye kusimamia shoo vya vidole mkuu?? Wanasugua mpaka inatoa Moshi baada ya lubricant yote kukauka [emoji12][emoji12]Makete nilikuwa pale 2012, yamebaki mapagale, hata watu ni wachache ndo mana ile wilaya ipo nyuma sana
Punguzeni story za vijiweni kwenye issues za kisayansi...Wanasema chanjo poa inaleta thrombosis
Nitahakikisha matajiri wanaishi kama mashetani.... Aliwahi sikika akijiapiza...Alipishana nini na Mwendazake?
Serikali siku hizi ina mpaka hotels?? Sema majengo yanamilikiwa na serikali... Lakini hotels ni za watu, hata leseni ya biashara hutaona jina la serikali.Ila hawa matajiri wa Arusha na Kilimanjaro wanafahamiana wao tu!
Toka lini huyu jamaa amekuwa mmiliki halali wa Gold Crest na Snow Crest?
Hizi hoteli za Gold Crest na Snow Crest ni hoteli za SERIKALI zinazomilikiwa na PSSSF.
Huyo jamaa alikuwa amepanga tu humo! Yaani alikuwa ni kama MPANGAJI lakini BABA MWENYE NYUMBA yupo.
Si ndiyo hapo sasa [emoji1787][emoji1787]Sasa kama mtu alishauza mawe zaidi ya B 15
Atakosaje kuwa bilionea
Au washazoea wale wanajianika mtandaoni [emoji23][emoji23]
Ova
Acha wivu.Arusha mtu hata akiuza gesi kwa jumla anaitwa bilionea wakati ni distributor tu
Ikawaje??Hakuna zari la mentali! NDEGESELA na yeye ni mfanyakazi tu pale na anafanyika kama bosheni lakini mwenye mali yupo.
Mwenye mali ukifika pale kiwandani unaweza ukamuona kwenye upande wa mahesabu.
Yaani mwenye kampuni ya NDEGESELA alikuwa ni mfanyakazi wa TRA - SHINYANGA na alikuwa upande wa uhasibu.
Na ndio yule jamaa kipindi cha MAGUFULI alikutwa na shilingi BILIONI TANO kwenye PERSONAL ACCOUNT yake.
Duuuh funguka zaidi mkuu...Pole kwa wanafamiliya ofis zetu zinapakana na gold crest story zinazoendelea pale wanasema wamemuua so sad, afu bado mdogo jamani.
Nyingine iko mkoa/jiji gani mkuu..!?Hata ya mwanza pia ni yake.
Hivi kansa ya damu ikiwahiwa si huwa wanaflash damu??Hizo redio mbao za hapo serengeti road,alikua na kansa ya damu
Wewe utakuwa ni pepo..sio burePole kwa wanafamiliya ofis zetu zinapakana na gold crest story zinazoendelea pale wanasema wamemuua so sad, afu bado mdogo jamani.
Arusha boss.Nyingine iko mkoa/jiji gani mkuu..!?
Ndio! SERIKALI huwa ina miliki mpaka hoteli na mikoa ambayo SERIKALI ina hoteli nyingi ni mikoa ya ARUSHA na KILIMANJARO.Serikali siku hizi ina mpaka hotels??
SERIKALI inafanya BIASHARA HALALI yoyote ile inayofanyika nchini, sema huwa kuna utaratibu wake wa kufanya BIASHARA.Sema majengo yanamilikiwa na serikali...
Ndio! Baadhi ya HOTELI zinakuwa zinamilikiwa na watu [ na sio kumilikiwa, zinakuwa zimepangishwa ] lakini GOLD CREST ilikuwepo hata kabla ya huyu jamaa hajapangisha. GOLD CREST ni ya siku nyingi sana.Lakini hotels ni za watu, hata leseni ya biashara hutaona jina la serikali.
Hivi nauliza tuu matajiri kama hawa kwa nini hawakuchangamkia chanjo pale huko Ulaya na Marekani?
Eti ikawaje 😂😂! Wewe ni POLISI nini! Mbona unauliza maswali mengi! Mambo mengine ni ya kifamilia, sio vyema kusema hadharani lakini walimalizana vizuri na HAYATI MAGUFULI.Ikawaje??
MIMI nilishachoma kamanda wanguPunguzeni story za vijiweni kwenye issues za kisayansi...
Hata mimi nahisi tiba au vipimo alichelewa kupata,angeenda nje mapema angetibiwaHivi kansa ya damu ikiwahiwa si huwa wanaflash damu??
Yeye ndio mtu wa kwanza kuichukua na kuifungua,hakuna alieweza hilo...goldcrest ni kampuni n brand yake yeye marehemu,ndio tumemaliza kumzikaNdio! SERIKALI huwa ina miliki mpaka hoteli na mikoa ambayo SERIKALI ina hoteli nyingi ni mikoa ya ARUSHA na KILIMANJARO.
SERIKALI inajishughulisha na kila aina ya BIASHARA HALALI inayofanyika nchini na nje ya nchi. Ndio maana ikaitwa SERIKALI.
SERIKALI inafanya BIASHARA HALALI yoyote ile inayofanyika nchini, sema huwa kuna utaratibu wake wa kufanya BIASHARA.
Hauwezi kuona AFISA MASOKO WA SERIKALI au AFISA UGAVI WA SERIKALI ndio utambue kuwa sehemu fulani ni sehemu ya kibiashara ya SERIKALI.
Ndio! Baadhi ya HOTELI zinakuwa zinamilikiwa na watu [ na sio kumilikiwa, zinakuwa zimepangishwa ] lakini GOLD CREST ilikuwepo hata kabla ya huyu jamaa hajapangisha. GOLD CREST ni ya siku nyingi sana.
Kwa mfano, HOTELI YA KEMPINSKI ilikuwa ni hoteli inayomilikiwa na SERIKALI na hata ilipokuja kuuzwa kwa mtu binafsi mwaka 2000 ilitangazwa hadi kwenye VYOMBO VYA HABARI kama REDIO na MAGAZETI YA SERIKALI na hata BUNGENI ilishawahi kujadiliwa hii.
Hii HOTELI YA KEMPINSKI ilivyouzwa kwa mtu binafsi ndio ikaitwa HOTELI YA KILIMANJARO yaani THE KILIMANJARO na aliyeinunua akaipangisha kwa wamiliki wa hoteli za HYATT REGENCY.
Hii HOTELI YA KILIMANJARO [ HYATT REGENCY ] alivyoingia RAIS MAGUFULI madarakani alitaka kuirudisha SERIKALINI lakini thamani yake ilikuwa ni kubwa mara tano ya bei waliyoiuza mwaka 2000.
Hii HOTELI YA KILIMANJARO [ HYATT REGENCY ] ilikuwa ina thamani ya shilingi USD 200,000,000 za kimarekani ambazo ni sawa na shilingi TSH 520,000,000,000 za kitanzania. Kwahiyo SERIKALI ikashindwa kuirejesha hoteli iliyokuwa inamiliki kwa kipindi cha miaka ya nyuma.