TANZIA Bilionea Mathias Manga afariki dunia

Makete nilikuwa pale 2012, yamebaki mapagale, hata watu ni wachache ndo mana ile wilaya ipo nyuma sana
Daah kwa wako vizuri kwenye kusimamia shoo vya vidole mkuu?? Wanasugua mpaka inatoa Moshi baada ya lubricant yote kukauka [emoji12][emoji12]
 
Ila hawa matajiri wa Arusha na Kilimanjaro wanafahamiana wao tu!

Toka lini huyu jamaa amekuwa mmiliki halali wa Gold Crest na Snow Crest?

Hizi hoteli za Gold Crest na Snow Crest ni hoteli za SERIKALI zinazomilikiwa na PSSSF.

Huyo jamaa alikuwa amepanga tu humo! Yaani alikuwa ni kama MPANGAJI lakini BABA MWENYE NYUMBA yupo.
Serikali siku hizi ina mpaka hotels?? Sema majengo yanamilikiwa na serikali... Lakini hotels ni za watu, hata leseni ya biashara hutaona jina la serikali.
 
Hakuna zari la mentali! NDEGESELA na yeye ni mfanyakazi tu pale na anafanyika kama bosheni lakini mwenye mali yupo.

Mwenye mali ukifika pale kiwandani unaweza ukamuona kwenye upande wa mahesabu.

Yaani mwenye kampuni ya NDEGESELA alikuwa ni mfanyakazi wa TRA - SHINYANGA na alikuwa upande wa uhasibu.

Na ndio yule jamaa kipindi cha MAGUFULI alikutwa na shilingi BILIONI TANO kwenye PERSONAL ACCOUNT yake.
Ikawaje??
 
Arusha mtu hata akiuza gesi kwa jumla anaitwa bilionea wakati ni distributor tu!
 
Serikali siku hizi ina mpaka hotels??
Ndio! SERIKALI huwa ina miliki mpaka hoteli na mikoa ambayo SERIKALI ina hoteli nyingi ni mikoa ya ARUSHA na KILIMANJARO.

SERIKALI inajishughulisha na kila aina ya BIASHARA HALALI inayofanyika nchini na nje ya nchi. Ndio maana ikaitwa SERIKALI.
Sema majengo yanamilikiwa na serikali...
SERIKALI inafanya BIASHARA HALALI yoyote ile inayofanyika nchini, sema huwa kuna utaratibu wake wa kufanya BIASHARA.

Hauwezi kuona AFISA MASOKO WA SERIKALI au AFISA UGAVI WA SERIKALI ndio utambue kuwa sehemu fulani ni sehemu ya kibiashara ya SERIKALI.
Lakini hotels ni za watu, hata leseni ya biashara hutaona jina la serikali.
Ndio! Baadhi ya HOTELI zinakuwa zinamilikiwa na watu [ na sio kumilikiwa, zinakuwa zimepangishwa ] lakini GOLD CREST ilikuwepo hata kabla ya huyu jamaa hajapangisha. GOLD CREST ni ya siku nyingi sana.

Kwa mfano, HOTELI YA KEMPINSKI ilikuwa ni hoteli inayomilikiwa na SERIKALI na hata ilipokuja kuuzwa kwa mtu binafsi mwaka 2000 ilitangazwa hadi kwenye VYOMBO VYA HABARI kama REDIO na MAGAZETI YA SERIKALI na hata BUNGENI ilishawahi kujadiliwa hii.

Hii HOTELI YA KEMPINSKI ilivyouzwa kwa mtu binafsi ndio ikaitwa HOTELI YA KILIMANJARO yaani THE KILIMANJARO na aliyeinunua akaipangisha kwa wamiliki wa hoteli za HYATT REGENCY.

9972b873984df91711065c6a4572f48c.png

Hii HOTELI YA KILIMANJARO [ HYATT REGENCY ] alivyoingia RAIS MAGUFULI madarakani alitaka kuirudisha SERIKALINI lakini thamani yake ilikuwa ni kubwa mara tano ya bei waliyoiuza mwaka 2000.

Hii HOTELI YA KILIMANJARO [ HYATT REGENCY ] ilikuwa ina thamani ya shilingi USD 200,000,000 za kimarekani ambazo ni sawa na shilingi TSH 520,000,000,000 za kitanzania. Kwahiyo SERIKALI ikashindwa kuirejesha hoteli iliyokuwa inamiliki kwa kipindi cha miaka ya nyuma.
 
Yeye ndio mtu wa kwanza kuichukua na kuifungua,hakuna alieweza hilo...goldcrest ni kampuni n brand yake yeye marehemu,ndio tumemaliza kumzika
 
Back
Top Bottom