King Kong III
JF-Expert Member
- Oct 15, 2010
- 56,205
- 79,515
Mkuu kijijini kwetu watu wamebakia wachache sana, nyumba nyingi kuliko watu, na nyingi zipo tupu
Mkuu vijiji vya moshi watu wamebakia wachache sana, nyumba nyingi kuliko watu, na nyingi zipo tupuInasikitisha Sana!! Uviko19 imekuja kuleta maumivu duniani.
Makete nilikuwa pale 2012, yamebaki mapagale, hata watu ni wachache ndo mana ile wilaya ipo nyuma sanaUmenikumbusha miaka ya 1983 kwenda 1990 mwishoni huko Makete watu wazima walikwisha kwa ngoma walibakia watoto tu.
Apumzike kwa amani 🙏🏽
Habari nilizozipata muda huu ni kwamba Mathias Manga, bilionea wa jiji la Arusha amefariki dunia.
Kaa kwa tahadhari. Kama hakuna cha muhimu Moshi/Kijijini usiendeMkuu kijijini kwetu watu wamebakia wachache sana, nyumba nyingi kuliko watu, na nyingi zipo tupu
Majengo hayo Mali ya PSSSF yeye alikuwa mkodishaji tu
Makete nilikuwa pale 2012, yamebaki mapagale, hata watu ni wachache ndo mana ile wilaya ipo nyuma sana
Mwakani!!??..ldnMwaka jana mama alifariki, mwaka huu June Baba kafuata Na leo hii Kaka Matias kaenda. Mungu ni mwema.
Arusha kila anayeendesha Vx ni bilionea. Hata kama ana mikopo
Habari nilizozipata muda huu ni kwamba Mathias Manga, bilionea wa jiji la Arusha amefariki dunia.
Badooooo ...2015 - 2021 matajiri wengi na watu maarufu wengi na wastaafu mashuhuri wamepoteza sana maisha
Ulitaka harusi!??Huko Arusha Moshi mbona kama kuna vifo vingi sana.
Nilitoka kumzika bibi wiki iliyopita nae alikuwa anashindwa kupumua, alikuwa amegonga 100 yrs.Kaa kwa tahadhari. Kama hakuna cha muhimu Moshi/Kijijini usiende
Wanaotoa hela hizo mnazolipwa posho za unafiki hamuwajui ! ila wachumia tumbo akina Steve Nyerere ndio mnawashobokea !Ndio nani huyu bwashee?
RIP
Hichi siyo kitu cha kuficha, kufa hatufanyi siri kama mwendazake.Lazima unatatizo fulani mkuu.
Mshaanza kujadili urithi ajazikwa khaMkuu kuna mahali hujaelewa, Arusha kuna Snow Crest iliopo njia ya kuelekea Tengeru, pia Kuna Golden Crest ambayo kipindi cha nyuma ilikuwa inaitwa East Africa Hoteli ipo Jirani na Kibo Palace mtaa wa uzunguni.
Mmi shambalangu nimegawakabisa mamawadogo WAKUBWA walime wajenge woiiKaa kwa tahadhari. Kama hakuna cha muhimu Moshi/Kijijini usiende
Ni kweli kabisa, hata mimi nilihudhuria. Tujipe pole.Ndio huyo mkuu,Ni Kaka yao na mwenye Co. Ya HARSHO na Ni kaka pia wa mmiliki wa co. Ya maji HILL WATER.
Tumezika J'4 wiki iliyopita kijijini kimbushi, Machame mkuu.
Kwahiyo nyie chawa wa Jiwe ndio mmeelewa kwamba sasa kuna corona siyo ?Hichi siyo kitu cha kuficha, kufa hatufanyi siri kama mwendazake.
Kwa muda mfupi tarafa yetu ya Lyamungo tumezika watu zaidi ya 12 kwa muda mfupi sana, na jumamosi hii tunarudi tena. Rate ya vifo inatofautiana na siku za nyuma.
Pia ipo ya hapa Mwanza sijui nayo ilikuwa yake.. RIPHivi gold crest ni ile ipo mitaa ilipo kibo palace au ile ipo arusha moshi road??ambayo ipo kama imetelekezwa??majina yananichanganya