King Kong III
JF-Expert Member
- Oct 15, 2010
- 56,205
- 79,515
Mkuu kijijini kwetu watu wamebakia wachache sana, nyumba nyingi kuliko watu, na nyingi zipo tupu
Umenikumbusha miaka ya 1983 kwenda 1990 mwishoni huko Makete watu wazima walikwisha kwa ngoma walibakia watoto tu.