TANZIA Bilionea Mathias Manga afariki dunia

TANZIA Bilionea Mathias Manga afariki dunia

DUNIA INAUMIZA SANA
MTU KAMA HUYU AMEKYWA SAADA SANA KWA WATU WA ARUSHA ANAONDOKA YANABAKI MASHENZI DUNIAN DOH
RIP BR RAHA YA MILELE AKUPEE EE BWANA
 
Lazima unatatizo fulani mkuu.
Hichi siyo kitu cha kuficha, kufa hatufanyi siri kama mwendazake.

Kwa muda mfupi tarafa yetu ya Lyamungo tumezika watu zaidi ya 12 kwa muda mfupi sana, na jumamosi hii tunarudi tena. Rate ya vifo inatofautiana na siku za nyuma.
 
Msh
Mkuu kuna mahali hujaelewa, Arusha kuna Snow Crest iliopo njia ya kuelekea Tengeru, pia Kuna Golden Crest ambayo kipindi cha nyuma ilikuwa inaitwa East Africa Hoteli ipo Jirani na Kibo Palace mtaa wa uzunguni.
Mshaanza kujadili urithi ajazikwa kha
 
Back
Top Bottom