TANZIA Bilionea Mathias Manga afariki dunia

TANZIA Bilionea Mathias Manga afariki dunia

Yaani Mwingululu na kile kizee Cha Ilala vinabaki wanakufa watu wenye msaada kwa jamii..kweli duniani uchawi upo
 
Dini zilitujaza upumbavu kupindukia.

Ingekuwa Ulaya familia ingetoa statement za kukomalia mhalifu akamatwe.

Afisa wa Ubalozi nchini Uingereza aligonga baiskeli ya mtoto na na kuua, akakimbilia kwao Marekani. Wazazi wamekomaa mpaka dunia inaenda kubadilisha Vienna Protocals ili kusudi balozi akamatwe arudishwe Uingereza kujibu mashtaka ya kuua kizembe zembe. Bahati mbaya lakini uzembe!

Huku kwetu jitu linachapa mwenzake risasi ya shingo, ndugu wa damu wa marehemu anakuja JF anasema Mungu aliamua.

Dini potofu na shule dhaifu.
Huyo afisa hawezi kukamatwa,sheria inafanya kazi prospectively na sio retrospectively,kitachotokea hapo Ni Kwamba baada ya sheria hio kupitishwa kuanzia muda huo na kuendelea watakaofanya kosa Hilo watakamatwa.
 
Mwaka jana mama alifariki, mwaka huu June Baba kafuata Na leo hii Kaka Matias kaenda. Mungu ni mwema.
Poleni sana alikuwa anasumbukiwa na nini? Maana bado ni mdogo haiwezi kuwa corona naamini hivyo.
 
Mbona uwa zinayayuka wanaanza kukopa kwa wanyonge

Unakuta mtu kweli alipata B 20 hata na zaidi lakini anapiga Simu umkope million tano au ni masharti ya kiganga
Wachimbaji wengi huwa wanarudisha hizo hela tena aridhini kuendelea kuchimba,yakibumba kutema ndo wanapofilikia hapo.
 
Huyo afisa hawezi kukamatwa,sheria inafanya kazi prospectively na sio retrospectively,kitachotokea hapo Ni Kwamba baada ya sheria hio kupitishwa kuanzia muda huo na kuendelea watakaofanya kosa Hilo watakamatwa.
Sio nyakati zote sheria inaenda mbele tu, kuna wakati inarudi nyuma.

Kamuulize profesa wako wa sheria we kijana.
 
Wachimbaji wengi huwa wanarudisha hizo hela tena aridhini kuendelea kuchimba,yakibumba kutema ndo wanapofilikia hapo.

True , kuacha kuchimba kwao ni dhambi wanaona wakiacha kuudumia mkodi wataonekana wamefilisika

na Wachimbaji wengi shule hawana wanapenda kusifiwa na kuonekana wana pesa
 
True , kuacha kuchimba kwao ni dhambi wanaona wakiacha kuudumia mkodi wataonekana wamefilisika

na Wachimbaji wengi shule hawana wanapenda kusifiwa na kuonekana wana pesa
Hao unaotoa mfano ni wachimbaji wa zamani ....cnc 2009 kuja 2021 wachimbaji wako njema sana kiuchumi,mifano iko mingi waliokaa na pesa mda mrefu bila kuyumba,istoshe jua bank zote hazikopeshi wachimbaji pesa.
Kwahiyo watu wanachimba na mitaji yao plus kutafuta mtu wa kuhudumia mgodi unampa % mawe yakitoka
 
Back
Top Bottom