Death after life
JF-Expert Member
- May 22, 2021
- 379
- 422
R.i.p
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Huyo afisa hawezi kukamatwa,sheria inafanya kazi prospectively na sio retrospectively,kitachotokea hapo Ni Kwamba baada ya sheria hio kupitishwa kuanzia muda huo na kuendelea watakaofanya kosa Hilo watakamatwa.Dini zilitujaza upumbavu kupindukia.
Ingekuwa Ulaya familia ingetoa statement za kukomalia mhalifu akamatwe.
Afisa wa Ubalozi nchini Uingereza aligonga baiskeli ya mtoto na na kuua, akakimbilia kwao Marekani. Wazazi wamekomaa mpaka dunia inaenda kubadilisha Vienna Protocals ili kusudi balozi akamatwe arudishwe Uingereza kujibu mashtaka ya kuua kizembe zembe. Bahati mbaya lakini uzembe!
Huku kwetu jitu linachapa mwenzake risasi ya shingo, ndugu wa damu wa marehemu anakuja JF anasema Mungu aliamua.
Dini potofu na shule dhaifu.
Poleni sana alikuwa anasumbukiwa na nini? Maana bado ni mdogo haiwezi kuwa corona naamini hivyo.Mwaka jana mama alifariki, mwaka huu June Baba kafuata Na leo hii Kaka Matias kaenda. Mungu ni mwema.
Mkuu ni wapi kijiji,usikute we ni Jirani yangu.Mkuu kijijini kwetu watu wamebakia wachache sana, nyumba nyingi kuliko watu, na nyingi zipo tupu
Maskini walimpiga risasi?
Wachimbaji wengi huwa wanarudisha hizo hela tena aridhini kuendelea kuchimba,yakibumba kutema ndo wanapofilikia hapo.Mbona uwa zinayayuka wanaanza kukopa kwa wanyonge
Unakuta mtu kweli alipata B 20 hata na zaidi lakini anapiga Simu umkope million tano au ni masharti ya kiganga
Papaa kinyii,kwa kimasai ni baba Mdogo,ndo jina halisi la Huyo njeree.Papaa King
Not covidPoleni sana alikuwa anasumbukiwa na nini? Maana bado ni mdogo haiwezi kuwa corona naamini hivyo.
Pole kwa wanafamiliya ofis zetu zinapakana na gold crest story zinazoendelea pale wanasema wamemuua so sad, afu bado mdogo jamani.Not covid
Hizo redio mbao za hapo serengeti road,alikua na kansa ya damuPole kwa wanafamiliya ofis zetu zinapakana na gold crest story zinazoendelea pale wanasema wamemuua so sad, afu bado mdogo jamani.
Sambeke?Papa king sambeke
Kweli wabongo tuna Viwanda vya kuchakata uongo.Pole kwa wanafamiliya ofis zetu zinapakana na gold crest story zinazoendelea pale wanasema wamemuua so sad, afu bado mdogo jamani.
JamaniHizo redio mbao za hapo serengeti road,alikua na kansa ya damu
Sio nyakati zote sheria inaenda mbele tu, kuna wakati inarudi nyuma.Huyo afisa hawezi kukamatwa,sheria inafanya kazi prospectively na sio retrospectively,kitachotokea hapo Ni Kwamba baada ya sheria hio kupitishwa kuanzia muda huo na kuendelea watakaofanya kosa Hilo watakamatwa.
Prof wangu akitoka kanisani kwa Gwajima nitamuuliza.Sio nyakati zote sheria inaenda mbele tu, kuna wakati inarudi nyuma.
Kamuulize profesa wako wa sheria we kijana.
Wachimbaji wengi huwa wanarudisha hizo hela tena aridhini kuendelea kuchimba,yakibumba kutema ndo wanapofilikia hapo.
Hao unaotoa mfano ni wachimbaji wa zamani ....cnc 2009 kuja 2021 wachimbaji wako njema sana kiuchumi,mifano iko mingi waliokaa na pesa mda mrefu bila kuyumba,istoshe jua bank zote hazikopeshi wachimbaji pesa.True , kuacha kuchimba kwao ni dhambi wanaona wakiacha kuudumia mkodi wataonekana wamefilisika
na Wachimbaji wengi shule hawana wanapenda kusifiwa na kuonekana wana pesa
Alichelewa kupata matibabu,mana alikua n shida ya ini kabla haya mengine kugundulikaJamani
Hivi nauliza tuu matajiri kama hawa kwa nini hawakuchangamkia chanjo pale huko Ulaya na Marekani?Inasikitisha Sana!! Uviko19 imekuja kuleta maumivu duniani.