Uchaguzi 2020 Bilionea Nabii Shilla ajitosa kumkabili Lijualikali jimbo la Kilombero kupitia CHADEMA

Huyu shila sio wa kumwamini sana,niwashauri chadema kuwa makini,ccm inaweka mapandikizi ili baadae yajitoe uchaguzi kuvuruga chama,huyu shila ni rafiki mkubwa sana wa bashite.
 
He has guts
 
Kazi ipo. Atatafutiwa kashfa sasa hivi
 
Lijuakali hataki ubunge , anataka kazi ya kufanya usafi lumumba
 
Huyu Nabii bilionea sijawahi kumuelewa

Ova
 
Mwaka huu vituko vitakua vingi sana kuelekea Oktoba.

Hapo zamani nafasi ya ubunge ilikua ni ya kuheshimika sana ndio maana wakapewa jina la mheshimiwa.
 

Sometime ukisoma vitu vingine ni shida. Haya ngoja tunyamaze.
 
Dah nikikumbuka jinsi wakina Kubenea walivyokuwa wanahudhuria misa za Gwajima huwa nacheka sana...misa za Gwajima zilirushwa live kwenye mitandao ya CHADEMA.Waswahili wana msemo wao "dalili ya kifo cha Punda ni kurusha mateke ya nguvu...."
Hahaaa! Uzuri wa haya mambo yako pande zote, huyohuyo gwajima upande wa pili walimpa kesi ya madawa ya kulevya
 
Huyu hajachanganya dini na siasa wandugu? Mbona naona comment nyingi tofauti na alivyotangaza nia Gwajima? Tuache unafki kwenye nyeusi tuseme nyeusi haijalishi ni upande gan!
Kasema hata Yusufu alikua nabii na akaja kua Waziri Mkuu
 
Uzuri Gwajima amezoea kujitetea mwenyewe! Na Gwajima akipitishwa kugombea msithubutu kuqnzisha siasa za kupakana matope maana atawabutua hadi mjione hamfai. Mbowe mwenyewe anajua sana hilo.
Kuna kubutuliwa kama kuonyeshwa live unakula kondoo wako?
 
Chadema mnashangaza sana!
 
Huyu bora kachagua njia sahihi sio gwajima
 
Uzuri Gwajima amezoea kujitetea mwenyewe! Na Gwajima akipitishwa kugombea msithubutu kuqnzisha siasa za kupakana matope maana atawabutua hadi mjione hamfai. Mbowe mwenyewe anajua sana hilo.
Nipe mimi battle nae mchawi uyo kila siku anamtokea mama angu mdogo kisa kuhama kanisa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…