Jaji Mfawidhi
JF-Expert Member
- Feb 20, 2016
- 15,835
- 23,776
- Thread starter
-
- #81
WArithi wa hao watu wapo busy na biashara na hawana muda kama baba zao.Utajiri kwa warithi umwzidi na ulioachwa na hao ila huwezi wasikia.Sema kaskazini siku hz imepwaya sana aiseee kuna era ya kina Mengi, Msuya, Ndesamburo(ndesamapesa)na wengn wengi ambao majina yao hayakua makubwa Sana
Kwenye siasa alikuepo Mrema, Mbowe, Lema, Lowasa na wengn
Hao ombaomba ni kabila gani, huwa wamevaa beji kuonesha makabila yao. Wachaga kwa kujipiga promo za kipuuzi, sifa za kijinga tu wakati wengi ni maskini tena sana, ni wapiga debe,
Ndugu Msanii ,hakuna uhusiano kati ya kuwa muadilifu na kuwa masikini.Uadilifu wake umetugharimu familia
Ndo huyohuyo kampuni ni ya binti yake.Sio huyu ? Kampuni inayotengeneza banana inaitwaje ?
Hizo tuzo za kodi zipo kimkoa, na anapewa mmoja, Dar kapewa NMB, Dar kuna giants wengi sana, kupata tuzo ya mlipa kodi bora Dar sio kitoto,Sasa huyu ndo tajiri sasa.
Akina Azam, Mo na wengine ni majizi tu. Wana utajiri mkubwa sana lakini hawalipi kodi
Leodiga Tenga, Christopher Alex Massawe na currently huyu wa Namungo Jacob Massawe,,, nadhani unamfahamu vizuri,,, to mention just few of them.Kila kona utawakuta,,,salute kwa Chagga people.WAchaga na mpira na 0-0.
Alex Massawe alicheza Mbeya siku hizi sijui yu wapi, hawana mambo ya michezo .
Kumbe ndo maaaanaaa?!?!?!Mwika Day?wow!
Kale katoto Privadino[shayo] najua ni mchaga wa Marangu hapo Ashira mitaa ya Babylon .
na yeye ni tajiri? wachaga tuache gongo bora mbege.Mwika Day?wow!
Kale katoto Privadino[shayo] najua ni mchaga wa Marangu hapo Ashira mitaa ya Babylon .
Umechokonolewa kidogo basi povu kama lote😀vijana wachache sana ukilinganisha wa watu wanaoangamia kwa kukosa nguvu za kiume kwa kula kuku wa kisasa[sitaji kampuni], kwa kula ice cream,[sitaji kampuni], viriba tumbo kwa kula tambi za yule tajiri namba moja tanganyika,.kwa kukosa hamu ya tendo kutokana na wanawake wacheza muziki kukaa uchi hivyo libido za kiume kushuka , etc.
Vijana wangapi wanaangamia kwa ukimwi kwa kumuiga diamond kupiga kila demu anayekata kiuno kwenye shoo zake? umewahi kukemea hilo ama Diamond ni rol mode wa dada zako?
Kupanga ni kuchagua, dont drink and drive na bado kuna parking baa , hizo parking ni za magari ya wanywa juisi?
Sa mbona kuna kamanda hapa anabisha? Daaah wajuaji wengi sanaNdo huyohuyo kampuni ni ya binti yake.
Baba yangu huyo?😅Hakuwa mwadilifu bali boya, inakuwaje aajiriwe maisha yake yote?
Wezi tu haoHizo tuzo za kodi zipo kimkoa, na anapewa mmoja, Dar kapewa NMB, Dar kuna giants wengi sana, kupata tuzo ya mlipa kodi bora Dar sio kitoto,
Imagine una TBL, Bank zote, bado kina METL, AZAM nk
Au ameingia mkataba na kampuni hiyo ya kofia, maana kama sivyo basi atakuwa amewapaisha bila malipo yoyote, fala sanaYaani msanii ambaye anaongelea kuibiwa kufia ya boston celtics tumlinganishe na mfanyabiashara kama huyu😂
Siwezi kumlaumu sababu kanirithisha akili ya kuwa tajiri bila kurithiMlaumu Baba yako kutokuachia urithi au kutokuwa na pesa
Huyu jamaa atakuwa hajawahi fika Dar. Anaongelea akiwa huko mkoani. Eti hakuna mchaga Buza! 😂😂 Alafu thamani ya nyumba ya Buza ni mara tatu zaidi ukilinganisha na nyumba au ardhi ya mkoani. Nahisi wa mikoani hili hamlijui.
House girls wa kichaga Dar ni wa kumwaga mfano mzuri ni j.kiria. Pia bar maid wa kichaga ni kama mvuaKwakweli.
Hatupendi ukweli ila ndio hivyo.
Sijawahi kuona mchaga omba-omba hapa Dar es salaam kwenye makutano ya barabara.
Sijaona mchaga anakaa buza na ni housegirl kwenye nyumba za ma-don huko Masaki .
Kuna mambo yao flani, na hatupaswi kufanana.
Ukitaka housegirl unaagiza Iringa, Mwanza au Tabora.
kila mkoa na kazi zake.
Ni Jambo zuri kulipa kodi....wachaga wengine wa Kilimanjaro na sehemu nyingine waige mfano