Bilioni 11 za Rais Samia zamtetemesha RC Shinyanga, afanya maamuzi magumu

Hii kanuni zote lazimaziabide na muda wa mradi, Mengine ni usaliti tu
 
Huyu mama Sophia Mjema ni kiongozi nzuri sana, na anajielewa, nina uhakika atasimamia hilo zoezi kwa weledi mkubwa
Fact, Mama huyu nimemuona anavyotetemeka, Anayo ownership 😍😍
 
Porojo zako hazieleweki, Rais ni taasisi fahamu hili
 
Hakuna usmart hapo taratibu za manunuzi ni za kisheria na hana Mamlaka ya kumtoa hapo kaongea tu hakuna mtendaji watakeyeandika barua kumsimamisha huyo mtumishi, wanasiasa wanapenda kuhemka tuu wakiona kamera
Endelea kujifariji tu mkuu ila ndio hivyo tunataka shule watoto wetu waende shule,
 
Mkuu laid down procedures za uendeshaji nchi ni pamoja na kugawa kazi kwa haki, na kulipa kwa haki, n bado kusudi lililo tazamiwa litekelezwe.
Hapo ni project planning na execution.
Soyo kwenda tu kununua sementi kwa Mangi.
Tatizo muda mkuu wangu, Tunataka madarasa sio procedures
 
Urasimu unaufahamu mkuu?
 
Huu pia ni ujinga, yaani jengo kama linatakiwa lijengwe miezi miwili nyie mtalazimisha eti kwa sababu ya deadline ya shule? Kama issue ni deadline ya kufungua shule je hilo mlikuwa hamlijui?
Hoja imezeeka sana hii hana mkongojo haiwezi kushika
 
Aseme ss walipakodi tumetoa pesa sio mtu mwingine na hakikishe taratibu zinafuaatwa ktk matumizi ya hz kodi zetu cku CAG akikagua na akabaini upotevu wa kodi zetu tutazidai sana kama tunavyodai katiba mpya na tume huru ya uchaguz
Hizi taratibu ni zipi? Hebu taja mbili
 
Pesa zimetolewa na JMT,
Sio mfukoni kwa rais muache hiyo tabia.
Ye kaidhinisha tu.
 
😍😍Ushauri wa kitoto
 
Zito punguza nye ge...
Huyo afisa kaambiwa akae pembeni kwa uzembee...

Atawekwa mwingine.

Ila sijamuelewa kwanini mkurugenzi abaki salama.

Mizengwe ipo kwa wakurugenzi.

Anyway hizi pesa zitachomoka na wengi.
😍😍
 
Wewe akili zako ni za kubumba mno.

Hapo nimeongelea taasisi na siyo mtu personal uwe unatumia angalau robo ya akili zako badala ya kurohoja tu kama mpiga zumari.😍😍
😍😍
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…