Apeche alolo
JF-Expert Member
- Apr 14, 2023
- 2,517
- 5,533
aisee umanisanua jambo ngoja nitafute namna na mimi sio siri itakuwa ni balaa.Na
Itabidi niwahi mahali pa kuuza nyama aisee
Mwaka huo zile mbuzi zinazowakera zitapukutika kama mchanga๐๐๐ถ๐ฝโโ๏ธ
wateja wa kutosha
Au hata Serengeti Stadium au Kilimanjaro StadiumKwanini usiitwe Tazanite Stadium ili kutangaza Tazanite yetu kimataifa?!
Aisee kumbe gharama ni kubwa hivyo Billion 286 duh!!
Huu unavutia. Hasa hizo ngao za njeWajuzi wa mambo kati ya uwanja huu na ule uwanja wa Kenya una ojengwa upi mzuri kimchoro ?!
Japo wa kenya ni mkubwa utabeba watu elfu 60 wamesema.View attachment 2938903
Jina la uwanja halina mvuto. Hiyo a.k.a ya dr haikuwa na maana wala kuweka majina matatu ya huyo mtu. Basi tu ni kujipendekeza kwa machawaSerikali imeingia mkataba wa kuanza Ujenzi wa uwanja Mpya Jijini Arusha Maarufu kama Samia Suluhu Hassan Stadium ambao ni Mahsusi Kwa Ajili ya Maandalizi ya AFCON 2027.
Uwanja huo utagharimu zaidi ya Shilingi Bilioni 286.
Kazi iendelee ๐๐
View: https://youtu.be/q05ytnyfpa0?si=jLrsYa4X_7tKcjKO
============
Serikali kupitia wizara ya Sanaa ,Utamaduni na Michezo leo Machi 19, 2024 imesaini mkabata wa ujenzi wa Uwanja wa Dokta Samia Suluhu Hassani wenyewe thamani ya shilingi bilioni mia mbili na themanini na Sita ambao utatumika katika michuano ya mataifa Afrika AFCON 2027 inayoandaliwa na nchi za Tanzania, Kenya na Uganda
Akizungumza na waandishi wa habari Waziri wa Michezo Dokta Damasi Ndumbaro amesema Lengo la uwanja huo kujengwa mkoani Arusha ni kuchochea maendeleo ya sekta utalii kupitia michezo.
View attachment 2938864View attachment 2938865View attachment 2938866View attachment 2938989View attachment 2938990
Jina lako Lina mvuto tuliweke? ๐คฃ๐คฃ๐คฃ๐คฃJina la uwanja halina mvuto. Hiyo a.k.a ya dr haikuwa na maana wala kuweka majina matatu ya huyo mtu. Basi tu ni kujipendekeza kwa machawa
Subiri ukikamilika ndio utajionea maajabu ya nchi hii. Unachokiona kwenye picha na kitakachojengwa ni mbingu na ardhiHuu unavutia. Hasa hizo ngao za nje
Matejoo hapana machalii wa huko wataiba building materials na uwanja hautajengwa kabisa.Utajengwa Matejoo
ChoiceVariable , Leo umekuwa kama mwanamke mwenye nyege!Serikali imeingia mkataba wa kuanza Ujenzi wa uwanja Mpya Jijini Arusha Maarufu kama Samia Suluhu Hassan Stadium ambao ni Mahsusi Kwa Ajili ya Maandalizi ya AFCON 2027.
Uwanja huo utagharimu zaidi ya Shilingi Bilioni 286.
Kazi iendelee ๐๐
View: https://youtu.be/q05ytnyfpa0?si=jLrsYa4X_7tKcjKO
============
Serikali kupitia wizara ya Sanaa ,Utamaduni na Michezo leo Machi 19, 2024 imesaini mkabata wa ujenzi wa Uwanja wa Dokta Samia Suluhu Hassani wenyewe thamani ya shilingi bilioni mia mbili na themanini na Sita ambao utatumika katika michuano ya mataifa Afrika AFCON 2027 inayoandaliwa na nchi za Tanzania, Kenya na Uganda
Akizungumza na waandishi wa habari Waziri wa Michezo Dokta Damasi Ndumbaro amesema Lengo la uwanja huo kujengwa mkoani Arusha ni kuchochea maendeleo ya sekta utalii kupitia michezo.
View attachment 2938864View attachment 2938865View attachment 2938866View attachment 2938989View attachment 2938990
Ha ha h ha ha oya....siyo poa....Kwa gharama hii Yanga watamudu kweli?!
Noma sanaaaa ...mpaka hospitali humo ndani una ambiwaHuu unavutia. Hasa hizo ngao za nje
kabisa hili la kupewa viongozi liondolewe wao washaweka alama kwa kuwa viongozi wetu wa taifa hilo halifutiki tutawakumbuka wavipe thamani vitu vya maeneo husika.Au hata Serengeti Stadium au Kilimanjaro Stadium
Mkuu ungetupa kwanza Gharama za huo wa Kenya tulinganishe na huu wetu,unaweza kuta wetu ni ghali zaidi japo unachukua wato 30k tuuWajuzi wa mambo kati ya uwanja huu na ule uwanja wa Kenya una ojengwa upi mzuri kimchoro ?!
Japo wa kenya ni mkubwa utabeba watu elfu 60 wamesema.View attachment 2938903
Nani asiejua inatoka tanzaniqKwanini usiitwe Tazanite Stadium ili kutangaza Tazanite yetu kimataifa?!
Sema wataiba uwanja wenyewe bob๐๐Matejoo hapana machalii wa huko wataiba building materials na uwanja hautajengwa kabisa.
Na wafanya uwe uwanja wa kuvutia bangi ๐๐Sema wataiba uwanja wenyewe bob๐๐
HaichekeshiHuu mtindo wa kuita majengo, barabara na viwanja kwa majina ya watu, atatokea rais chizi kama jiwe atakuja kujimilikisha na kudai kuwa ni mali yake.