Malaika wa Misukosuko
JF-Expert Member
- Jul 16, 2021
- 2,470
- 7,376
Mkuu kwa dunia ya sasaivi hakuna mtu wa kkujengea kiwanja cha mpira cha watu 30,000 kwa gharama ya chini ya bilioni 200,Duuuh! aiseee inamaana unajua gharama ya ujenzi wa nyumba yenye vyumba vitatu pale London ni sawa na ujenzi wa nyumba aina hiyohiyo pale Arusha?
Aisee...
kama unabisha wew si una simu haya Google uone bei za viwanja vilivyotumika Afcon ukimaliza hapo Ka Google bei ya kiwanja kinachojengwa pale Rwanda ambacho nacho kinaingiza watu 30,000 alafu ukipata jibu kaa nalo na wewe utawaelimisha wengine.