Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kagame alimwambia JK ninaweza kuiendesha Tanzania kwa kutumia hiyo bandari peke yake. Samia amekuja na kutimiza maneno ya dhihaka ya Kagame kivitendo.Uongo mtupu eti ongezeko kutoka containers 7151 hadi 20151 kwa miezi mitatu? kwanza ni mapemakuona ufanisi kwa kipindi kifupi hivyo vinginevyo kama kuna ufanisi inaonesha tu hata bila uwekezaji huo bandia kungekua na ongezeko. Tatizo ni usimamizi wetu ambao umejaa upigaji na serikali haina nia kuondoa upigaji. Kuwapa wageni kuendesha bandari ni sehemu tu ya upigaji. Bandari wenyewe tumeshawekeza sana hela za umma . Hapo wageni wanakuja kula uwekezaji wa umma kwa kushirikiana na vigogo fisadi wabinafsi wasiokua na uchungu na nchi yao.
Sio wajibu wa DP World kushusha gharama za Usafirishaji.Na gharama za usafirishaji zimeshuka?
Kwani kutamka unalipia bei gani? Kwani Nchi zote zilizoendelea kushinda Rwanda zote Zina Bandari?Kagame alimwambia JK ninaweza kuiendesha Tanzania kwa kutumia hiyo bandari peke yake. Samia amekuja na kutimiza maneno ya dhihaka ya Kagame kivitendo.
Hakuna linalomea ghafla tu kama uyoga, lolote lenye tija pana hupewa muda na uhuru wa kufanya kazi.
Tumuuliza Kagame aliyemkejeli JK miaka ile alikuwa anamaanisha nini.Kwani kutamka unalipia bei gani? Kwani Nchi zote zilizoendelea kushinda Rwanda zote Zina Bandari?
Kusema kwamba IGA ipo kinyume na sheria ya rasilimali ya 2017 ni kulishwa matango pori kwani bandari sio sehemu ya rasilimali, ni uvumi ulianza kipindi kile kile wakati DPW wanataka kupewa tender ya kuendesha bandari.
Huwezi kulinganisha TPA na mbuga za wanyama, huwezi kulinganisha TPA na mlima Kilimanjaro au hifadhi ya Ngorongoro, bandari ni chombo cha kiuchumi tofauti kabisa na hizo rasilimali zinavyoendeshwa. Bandarini kuna meli na makontena yanayotoka nje ya nchi, kuna magari yanayoshushwa kutoka kwenye hayo makontena unaweza vipi kuviiita hivyo vitu rasilimali za Taifa?.
IGA haiathiri ufanisi wowote wa mwekezaji wowote pale bandarini, mimi na wewe tunaweza kuanzisha kampuni ya masuala ya shipping na tukawa na vigezo vya kupewa tender ya kusimamia bandari yoyote ya TZ na hiyo IGA haitakuwa na nguvu ya kisheria ya kutuzuia kufanya lolote, hili ndilo kina Mwabukusi na hao wanasheria wengine waliloshindwa kulitolea ufafanuzi.
Kwamba mkataba mzima una vifungu 21, wao wanaongelea IGA peke yake, vipi kuhusu vifungu vingine vya mkataba mbona hawaviongelei?. Mbina hawaongelei juu ya DPW kuwapa elimu wataalam wa bandari yetu ikiwa ni sehemu ya kifungu kimojawapo kati ya vingi vilivyomo kwenye huo mkataba?.
Hakuna suala la michakato ya tender za bandarini kuwekwa wazi, ni kwa sababu za unyeti wa mikataba na taratibu zake.
Adani kapewa mkataba wa kuendesha magati namba 8-11 umewahi kuona mahali popote pale karatasi yoyote yenye kifungu chochote cha mkataba kati yake na Serikali?. Huwezi kuona kwa sababu mikataba ya kimataifa ni siri ya serikali na mwekezaji ukiiweka wazi huyo mwekezaji ana haki ya kukushtaki.
IGA haina nguvu kwani hakuna la maana kiuchumi linalowekwa ndani yake na ndio maana DPW hakushtaki mahali popote, ule mkataba uliosainiwa mbele ya Samia kule Ikulu Dodoma ukija kuwekwa hadharani na kujadiliwa serikali yetu itashtakiwa na DPW.
Sio lazima kutangazwa Kwa sababu kina njia kadhaa za kupata Mkandarasi hata single source inakubalika kisheria..IGA inagusa bahari na mito ambayo inalindwa na sheria ya rasilimali ya 2017.
..Nilipozungumzia uwazi nilikuwa nazungumzia kutangazwa kwa zabuni ya uwekezaji bandarini ktk maeneo aliyopewa Dpw na Adani.
My Take
Wale wa Samia ameuza Mali zao za Urithi mnaitwa kuja kumwaga povu jingine.
Kwa taarifa yenu sio tuu shehena ya mzigo imeongezeka Bali muda wa kusubiria meli umetoka siku 14 Hadi siku 3.
Hongera sana Rais Samia Kwa Mageuzi haya yenye Tija Kwa Nchi na kuleta ushindani mzuri wa Bandari ya Dar.
Pia soma hapa DP World kuokoa Sh1.6 trilioni hadi Desemba
View: https://youtu.be/o3wT4BwqifA?si=TXvSwhowSbEj_FlY
Mamlaka ya Usimamizi wa Bandari nchini (TPA) imesema uwekezaji uliofanywa na Kampuni ya DP World katika bandari ya Dar es Salaam katika kipindi cha miezi mitatu umeonesha mafanikioa makubwa kwa shehena ya makasha kuongezeka kutoka 7,151 Aprili 2024 hadi kufikia 20,151 kufikia Julai 2024. Anaripoti Mwandishi Wetu, Dar es Salaam…(endelea).
Uwekezaji huo wenye thamani ya takriban dola milioni 250 (Sh bilioni 675) kwa ajili ya uendeshaji wa magati 0-7 bandarini hapo umeleta manufaa makubwa kwa ni ongezeko la shehena ya makasha hayo ni sawa na ongezeko la asilimia 182.
Hayo yamebainishwa jana jijini Dar es Salaam na Meneja wa Shughuli na Uratibu wa TPA, Josephat Lukindo wakati akiwasilisha ripoti fupi ya utendaji wa bandari hiyo baada ya uwekezaji huo kwa Katibu wa Itikadi na Uenezi wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Amos Makala aliyefanya ziara yake badarini hapo.
Alisema pesa hizo imetumika kuboresha utendaji wa bandari hiyo katika maeneo matatu baada ya kukabidhiwa na mamlaka ya bandari Aprili 15, 2024.
“Kwa uzoefu tulionao katika uendeshaji wa bandari, tuliamua kuanza na uboreshaji wa maeneo matatu muhimu ili kuongeza ufanisi zaidi,” alisema Lukindo.
Amesema sehemu ya kwanza kabla ya kufanya kitu chochote kampuni ya DP World kupitia kampuni tanzu ya DP World Dar es Salaam iliyoanzishwa kusimamia bandari hiyo ilifanya manunuzi ya mitambo ya kisasa yenye thamani ya takriban bilioni 215.
Alisema pili ilifanya ukarabati wa mitambo mibovu iliyokuwa ikitumika bandarini hapo na kufanya manunuzi ya vifaa vipya yakiwemo matrekta ya kubebea mizigo 20 pamoja na matela 31, jenerela saba zenye ukubwa wa Kv 10,000 kila moja kwa ajili ya kuendeshea mitambo ikitokea umeme umekatika na vifaa vya kubebea mizigo mizito (cranes).
“Tatu, DP World ilifanya usimikaji wa mifumo ya kisasa ya TEHAMA kwa ajili ya uendeshaji wa bandari hiyo. Hapo awali, tulikuta mifumo ambayo imepitwa na wakati na kuamua kuweka mifumo ya kisasa kuendana na maendeleo ya teknolojia,” alisema.
Hivyo, alisema uwekezaji huo umeleta manufaa makubwa ndani ya kipindi cha miezi mitatu iliyochangia ongezeko la shehena ya makasha ikiwa sawa na ongezeko la asilimia 182.
Mwanahalisi

Hajuli lolote Huyo Kuna Meli Inaitwa KOTA MEGAH imeimgia foleni Yakatombe tarehe 10/8 imefunga Tarehe 27.Guluguja Makala

Bandarini ni maji pekee yanayoweza kuwekwa kwenye kundi la rasilimali, huwezi ukaiweka mitambo na makasha yanayobeba bidhaa katika kundi la rasilimali...IGA inagusa bahari na mito ambayo inalindwa na sheria ya rasilimali ya 2017.
..Nilipozungumzia uwazi nilikuwa nazungumzia kutangazwa kwa zabuni ya uwekezaji bandarini ktk maeneo aliyopewa Dpw na Adani.
Bandarini ni maji pekee yanayoweza kuwekwa kwenye kundi la rasilimali, huwezi ukaiweka mitambo na makasha yanayobeba bidhaa katika kundi la rasilimali.
Hivyo ni kosa kuiweka bandari katika rasilimali kwani ni sehemu ndogo tu yenye kujumuishwa kwenye kundi hilo.
Bandari ni kitegauchumi cha nchi, haiingii kwenye kundi la hiyo sheria ya 2017.
Zabuni iliyompa Adani tenda ya kuendesha magati namba 8-11 umewahi kuisikia?.
Hiyo IGA ya DPW ilivuja kimakosa tu.
Huwezi kuiweka bandari katika kundi la rasilimali kwa kigezo cha maji peke yake, vipi kuhusu meli na makontena?, vipi kuhusu zile machine za kupakia na kushusha mizigo?. Hoja kwamba bandari ni rasilimali ni upuuzi mtupu ndio maana hata mahakama iliitupilia mbali...tuko pamoja kwamba bahari na mito ni moja ya rasilimali zinazolindwa na sheria ya mwaka 2017.
..sasa ile IGA ilikuwa inakwenda kinyume na hiyo sheria na kama sijakosea serikali baada ya kupitisha IGA walitaka kuifanyia marekebisho sheria ya mwaka 2017.
..sijasikia zabuni ya gati alizopewa Adani, wala zabuni ya Dp W. Ndio maana nasema hakuna UWAZI, na hilo ni kosa kisheria. Na waliokiuka sheria bila shaka walisukumwa na IFISADI.
..mambo yetu hatufanyi kwa uwazi na hiyo italeta shida ktk kupima ikiwa tunapata, au tunapigwa ktk uwekezaji unaofanyika.
..Dpw na Adani wako kutengeneza faida, hawajakuja kutufadhili, tunapaswa kuwachukulia kwa tahadhari.
Huwezi kuiweka bandari katika kundi la rasilimali kwa kigezo cha maji peke yake, vipi kuhusu meli na makontena?, vipi kuhusu zile machine za kupakia na kushusha mizigo?. Hoja kwamba bandari ni rasilimali ni upuuzi mtupu ndio maana hata mahakama iliitupilia mbali.
Hatutakiwi kusikia suala la zabuni za Adan wala DPW kwa mujibu wa sheria ni makosa hata kufahamu kinachoandikwa kwenye mikataba na kujadiliwa, kibiashara DP World anaweza kuwa katupendelea katika masharti fulani ya kibiashara tofauti na alivyoingia makubaliano na mataifa mengine ndio maana ya usiri wa mikataba.
Uelewa wetu kuhusu mikataba ni ule wa kisiasa, wa jumla jumla tu. Tofauti na sheria za kimataifa zinavyofanya kazi.
Unaposaini mikataba maana yake pande mbili zinafikia makubaliano ya pamoja kimaandishi na ukiwa ndio muongozo rasmi wa kibiashara, kunakuwa na kujishusha ili muafaka ufikiwe na kila kitu kunakuwepo kwenye hiyo mikataba.
DPW au Adani anaweza kuwa kajishusha katika kutoa huduma fulani na hataki habari hizo zimfikie mdau mwingine wa biashara ya shipping zaidi ya Tanzania. Unapoweka wazi na kuanza kujadili yanayoandikwa ni kosa kwa mujibu wa sheria za kimataifa zinazotawala biashara.
Hakuna suala la uwazi lkwenye kusaini mikataba ya kimataifa, hizo ni siasa zetu zenye kuongozwa na fikra kwamba tunaibiwa au tunanyonywa, it is a stupid socialistic mentality.
Umeshajiuliza kwanini wanasheria wetu wanashindwa kesi na tunalipa mabilioni ya pesa huko nje?...unasema uongo.
..zabuni kwamba TPA wanakodisha gati # 8 - 11, pamoja na gati nyingine, ilipaswa kutangazwa ili makampuni mbalimbali yaweze kuomba na kushindanishwa.
My Take
Wale wa Samia ameuza Mali zao za Urithi mnaitwa kuja kumwaga povu jingine.
Kwa taarifa yenu sio tuu shehena ya mzigo imeongezeka Bali muda wa kusubiria meli umetoka siku 14 Hadi siku 3.
Hongera sana Rais Samia Kwa Mageuzi haya yenye Tija Kwa Nchi na kuleta ushindani mzuri wa Bandari ya Dar.
Pia soma hapa DP World kuokoa Sh1.6 trilioni hadi Desemba
View: https://youtu.be/o3wT4BwqifA?si=TXvSwhowSbEj_FlY
Mamlaka ya Usimamizi wa Bandari nchini (TPA) imesema uwekezaji uliofanywa na Kampuni ya DP World katika bandari ya Dar es Salaam katika kipindi cha miezi mitatu umeonesha mafanikioa makubwa kwa shehena ya makasha kuongezeka kutoka 7,151 Aprili 2024 hadi kufikia 20,151 kufikia Julai 2024. Anaripoti Mwandishi Wetu, Dar es Salaam…(endelea).
Uwekezaji huo wenye thamani ya takriban dola milioni 250 (Sh bilioni 675) kwa ajili ya uendeshaji wa magati 0-7 bandarini hapo umeleta manufaa makubwa kwa ni ongezeko la shehena ya makasha hayo ni sawa na ongezeko la asilimia 182.
Hayo yamebainishwa jana jijini Dar es Salaam na Meneja wa Shughuli na Uratibu wa TPA, Josephat Lukindo wakati akiwasilisha ripoti fupi ya utendaji wa bandari hiyo baada ya uwekezaji huo kwa Katibu wa Itikadi na Uenezi wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Amos Makala aliyefanya ziara yake badarini hapo.
Alisema pesa hizo imetumika kuboresha utendaji wa bandari hiyo katika maeneo matatu baada ya kukabidhiwa na mamlaka ya bandari Aprili 15, 2024.
“Kwa uzoefu tulionao katika uendeshaji wa bandari, tuliamua kuanza na uboreshaji wa maeneo matatu muhimu ili kuongeza ufanisi zaidi,” alisema Lukindo.
Amesema sehemu ya kwanza kabla ya kufanya kitu chochote kampuni ya DP World kupitia kampuni tanzu ya DP World Dar es Salaam iliyoanzishwa kusimamia bandari hiyo ilifanya manunuzi ya mitambo ya kisasa yenye thamani ya takriban bilioni 215.
Alisema pili ilifanya ukarabati wa mitambo mibovu iliyokuwa ikitumika bandarini hapo na kufanya manunuzi ya vifaa vipya yakiwemo matrekta ya kubebea mizigo 20 pamoja na matela 31, jenerela saba zenye ukubwa wa Kv 10,000 kila moja kwa ajili ya kuendeshea mitambo ikitokea umeme umekatika na vifaa vya kubebea mizigo mizito (cranes).
“Tatu, DP World ilifanya usimikaji wa mifumo ya kisasa ya TEHAMA kwa ajili ya uendeshaji wa bandari hiyo. Hapo awali, tulikuta mifumo ambayo imepitwa na wakati na kuamua kuweka mifumo ya kisasa kuendana na maendeleo ya teknolojia,” alisema.
Hivyo, alisema uwekezaji huo umeleta manufaa makubwa ndani ya kipindi cha miezi mitatu iliyochangia ongezeko la shehena ya makasha ikiwa sawa na ongezeko la asilimia 182.
Mwanahalisi
Umeshajiuliza kwanini wanasheria wetu wanashindwa kesi na tunalipa mabilioni ya pesa huko nje?.
Sababu ni kuingiza siasa kwenye masuala ya kisomi yenye taratibu nyingi ambazo hatuzifahamu lakini tunajidai kujua kila kitu.
Mkataba wa kibiashara kati ya DPW na Tanzania huwezi kuuanika kama habari za mechi za simba na yanga. Kuna favors nyingi za kibiashara ambazo pande mbili zinazoingia kwenye mkataba zinapeana na huwezi kuziandika magazetini.
Sio masuala mepesi kama tunavyodanganyana humu JF, IGA iliweza kusambaa kwa sababu mle hakuna masuala nyeti ya kibiashara ni miongozo ya kawaida tu.
Ila huu mkataba uliosainiwa pale ikulu mbele ya Samia na yule mwakilishi wa DPW huwezi kuusambaza mitandaoni bila ya kushtakiwa.
Hapakuwa na haja ya kutangaza zabuni kulingana na mazingira ya uwekezaji mzima ulivyo. DPW anafanya biashara nzima ya logistic kwa maana ya kuufuata mzigo unaotoka huko DRC kuja bandarini na kwenda huko nje...ZABUNI ni kitu tofauti na mkataba.
..Zabuni lazima iwe wazi, na mchakato wake uwe wa ushindani.
..Mkataba ndio baadhi ya maudhui yake yanakuwa ya siri. Sio mkataba wote unakuwa wa siri.