Bill & Melinda Gates watalikiana

Unaweza sikia jamaa anataka kuolewa na mwanaume mwenzake, hawa jamaa hamnazo kweli kweli.
 
Ukichunguza vizuri utagundua pesa ndio chanzo cha yote.wakati maskini anakosa ela za kumtuliza mpenzi wake tajiri yeye anakua na ela ila hana muda.na kumbuka mara nyingi wanawake wengi wakishajiona wana pesa yakujitosheleza wanaanzaga kiburi na jeuri yakujiona hana cha kupoteza sasa dharau zao ndio zinazopelekea wanaume wanaona isiwe shida.kwahiyo pesa ina athari pande zote.sasa mara nyingi wanawake wengi wanakuaga wajanja,anahakikisha kiburi chake kinakukera kiasi ambacho utakua wakwanza kutaka mtengane ukishindwa hapo unaenda kutafuta mchepuko ambao pia mwanamke wako atatumia gia hiyo hiyo mtengane ili anufaike kwajinsi anavyotaka na jamii itamwona mwanaume kama ndio chanzo cha tatizo.kwahiyo uwe tajiri au maskini kuishi na mwanamke kunahitaji akili nyingi.
 
Jamani!! Kama wanaume matajiri duniani wameshindwa kuwapa furaha wake zao sisi je, what hope do we have?
 
Hapo haiitajiki akili nyingi sababu determinant ni pesa fukuza huyo ingiza mwengine!
 
Mh! Kama mabilionea wanapata changamoto hizi sembuse sisi hapa!

Na inaonekana kwa muda mrefu basi mambo hayakuwa shwari! Rafiki yake Warren Buffet sijui atalionaje hili maana yule mzee ni wa kipekee sana!
 
Ongea na Cousin anipe link ya Melinda hapa logic hazitatumika zaidi ya hisia tu za kumpeti peti 🤣🤣🤣
 
Hapo haiitajiki akili nyingi sababu determinant ni pesa fukuza huyo ingiza mwengine!
ila sasa kwa watu kama Bill, mzigo huwa una gawanywa kwa vishindo sana.

Ni kama yaliyomkuta Jeff Bezos (wa Amazon)!

mama Gates naye atakua kabilionea!
 
Yani watu wameishi pamoja katika ndoa mpaka wanaanza kufananana, halafu talaka!

Yani kila watu maarufu walivyokuwa wanafikia talaka, nilikuwa naiona hii couple ngangali sana. Ya kupigiwa mfano.

Nayo imekumbwa na talaka.
Kuta zanyuma zinaheshima yake ,acha tu
 
Mwanamke akiwa na hekima, mchapakazi, na cares humuwezi chokana ndani
On top of that she being your friend always! Hamnaga kuchokana katika mahusiano ya namna hio! You both do crazy stuff together kila mmoja company ya mwenziwe basi raha tu!
 
Lazma apewe haki yake
labda mama aliona mipango ya urithi wa Gates kwa watoto haujakaa vizuri akaona isiwe tabu!

huenda sasa wakarithi kile cha mama maana baba aliweka masharti makali...

anyway, ngoja tuone yatakayojiri kotini.
 
Imebainishwa kuwa kabla Bill Gate hajamuoa Melinda alikuwa na uhusiano na mwanamke mwingine aliyeitwa Ann Winblad. Kabla ya kugunga ndoa Bill Gate aliomba kibali Ann Winblad na akamkubalia. Ndani ya ndoa Melinda naye alitoa ruhusa kwa Bill Gate na Ann Winblad kukutana walau mara moja kwa mwaka. Hii imekuwa ikitokea ndani ya mika 27 ya ndoa yao

 
Ivi anajua kuwa mnapoteza bundle for him.Maana mmemng'ang'ania huyu jamaa
 
Pesa ni noma.
Mpaka mzungu anakubali kuwa mchepuko
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…