Bill & Melinda Gates watalikiana

Bill & Melinda Gates watalikiana

Niliwahi kujiuliza siku moja,hivi huyu Billgate mbona ana mapesa mengi lakini ukimuangalia ni kama mtu asiye na furaha,inawezekana ndani ya nyumba yake kulikuwa kunawaka moto na akawa anashindwa kuuzima...
 
Hiyo nayo siyo basi tu hatuna platform ila kajamba nani wanaoa nankupigana chini daily nenda ofisi za serikali
hiyo hutokana na mmoja kati yao kutomtimizia mahitaji mwenzake. Ila hawa wenye pesa huoana wakijua ya kuwa wataachana tuu
 
Tatizo lilianzia hapa
IMG-20210504-WA0029.jpg
 
Ukiyasoma maelezo yao utagundua kuwa wawili hao hawajaachana kwa uadui ikiwemo mwingine kumtendea ubaya mwingine zaidi ya kila mmoja kujihisi ametamani kuanza kuishi maisha yake akiwa nje ya mwamvuli wa ndoa yao which is not bad na kwaku manisha hilo bado wametuhakikishia kuwa wataendelea kushafanya yote waliyokuwa wakishirikiana kuyafanya kasoro tu eneo la kimahusia kila mmoja atakuwa na eneo lake , you never know wenda mzeebaba alivyokuja Bongo that time alionekana anakula maharage kule Chuga wenda akapatishiwa ngoma [emoji12]na mamito akajua qwiqwiqwiqwiiiii

Unajua hii sheria ya kanisa inayosema HADI KIFO KIWATENGANISHE iliwekwa kwa sababu kadhaa kadhaa tu ikiwemo kila mmoja afeel ile ownership na hasa inawafaa wa a
Africa zaidi maana kwa Africa mwanamke ni kama kakifaa flani hivi ambacho jamii inakichukulia kama kikiachwa kitakuwa kimepotezewa ubora wake wa kutakiwa na wengine kitu ambacho kwa ulaya ni tofauti kabisa .

By then kuhusu hilo lakutarikiana to me is not a big deal kilichonistua ni vile jamaa kuwa tajiri No nne wakati ndiyo ilikuwa ikisemekana jamaa ndiyo tajiri No 1 Duniani ,au mimi ndiyo nilikuwa sijaelewa wakuu ?

Hii ni fursa .

Mwenye No ya Melinda tafadhali naomba ani- PM pls[emoji120]

[emoji1634]
Dah, ukiipata nami ni PM mkuu 🤣 🤣 🤣 🤣
 
Because more often than not wanaume ndo wanakuwaga breadwinners na wenye kuendesha familia.

We often wonder how we will survive without them but this is taken so negatively by some people.
Umenena vyema sana mamaa mpaka umenikosha. 😂😂😂

Ila hata dini zinachangia sana ktk hiyo negativity
 
Back
Top Bottom