Bill & Melinda Gates watalikiana

Bill & Melinda Gates watalikiana

tsup!! life is so fast
alianza Jeff Bezzos na sasa ni Bill Gate nahsi Mark zuberg is next
 
Ndoa zina changamoto nyingi sana, nawapa mkono wa pole
20210504_090150.jpg
 
Yani watu wameishi pamoja katika ndoa mpaka wanaanza kufananana, halafu talaka!

Yani kila watu maarufu walivyokuwa wanafikia talaka, nilikuwa naiona hii couple ngangali sana. Ya kupigiwa mfano.

Nayo imekumbwa na talaka.
 
Kuna scandal ya Jeffrey Epstein Huyu alikuwa billionaire kazi yake ni kuwa tafutia powerful men watoto under age .Watoto wakike walikuwa wanakamatwa na kupeleka kwenye Island ya mapenzi .List ya watu wenye pesa waliokuwa wanaenda huko Imetolewa .Bill gates ,Trump ,prince Andrew ,king wa Saudi Arabia .wa Jordan ,Bill Clinton na list ni kubwa .
Ndo vizuri ukiwa na cash ni kula chuchu konzi tu
 
I never cease to amaze eeh?

Ndoa sio mchezo acha Melinda akapelekewe moto.
Halafu Ukute Kuna Kichalii Kidogo Tu Kwenye Hyo Foundation Yao Ndio Kinampelekea m-[emoji91] Aiseeeeh [emoji3][emoji3][emoji3]
 
Ni ujinga na upumbavu wa kiwango cha SGR kukaa katika ndoa kwa miaka 27 halafu mnatalikiana mkiwa mmeshazeeka.
That is stupidity at its best. Bill Gates and Melinda should have known better. Wameniboa sana hawa watu. Mnaachana uzeeni ili iweje? Melinda is 50+ na Bill Gates is 60+, why divorce one another now?
 
Yani watu wameishi pamoja katika ndoa mpaka wanaanza kufananana, halafu talaka!

Yani kila watu maarufu walivyokuwa wanafikia talaka, nilikuwa naiona hii couple ngangali sana. Ya kupigiwa mfano.

Nayo imekumbwa na talaka.

Jinamizi la talaka halijawaacha mkuu.
Ila wamekua waungwana kuweka wazi vinginevyo ingeacha speculations na tafran

Tuwape mkono wa pole japo njia waliyoichagua huenda ikawapa amani na furaha zaidi.

Hapa ndio utaelewa kuna wakati mambo yanavyoonekana kwa nje, ni tofauti na uhalisia.
 
Unaweza kukuta bill Bill Gates anataka ku come out kwamba amegundua yeye pia ni mama na anahitaji baba hawa wazungu wa siku za mwisho hawaelewekagi kabisa
 
Back
Top Bottom