Bill & Melinda Gates watalikiana

Bill & Melinda Gates watalikiana

Sindio mashauzi yanapoanziaga hapo always! Mara akunyime uchi, aone una pua kubwa, akuone kama mshamba hivi! Mwisho ataona kama kukuheshimu anakufanyia favours.

Its very common kwa wanawake wa kiafrika yani!
[emoji16][emoji16][emoji1787][emoji16][emoji16][emoji16][emoji1787][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji1787][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]

Toka nizaliwe sijawahi kucheka hivi Aseee[emoji16][emoji16][emoji1787][emoji1787]

Yaan nimeangua kicheko hapa, mpaka staff mates ofisini wamekuja mezani kwangu kuangalia kitu gani kinanichekesha nimewaonesha hii comment yako....mjadala unaendelea humu[emoji16]

Anyway una PHD ya wanawake mkuu, nimekupigia saluti[emoji119][emoji119]
 
[emoji16][emoji16][emoji1787][emoji16][emoji16][emoji16][emoji1787][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji1787][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]

Toka nizaliwe sijawahi kucheka hivi Aseee[emoji16][emoji16][emoji1787][emoji1787]

Yaan nimeangua kicheko mpaka ofisini wamekuja mezani kwangu kuangalia kitu gani kinanichekesha nimewaonesha hii comment yako....mjadala unaendelea humu[emoji16]

Anyway una PHD ya wanawake mkuu, nimekupigia saluti[emoji119][emoji119]
Hahahahah nimefurahi pia kuona nimekuwa chanzo cha furaha yako leo 🥰🥰😅😅😅😂😂 nikutakie kazi njema mama!
 
Hahahahah nimefurahi pia kuona nimekuwa chanzo cha furaha yako leo [emoji3059][emoji3059][emoji28][emoji28][emoji28][emoji23][emoji23] nikutakie kazi njema mama!
[emoji16][emoji16][emoji16][emoji1787][emoji1787][emoji28][emoji28][emoji28]we jamaa sikuwezi

Thanks[emoji120][emoji120]
 
Talaka imefanywa kuwa na faida kubwa sana dunia ya sasa. Hapo mwanamke anapewa nusu ya mali za mume bila kujali hata kama hakuchangia senti tano utaambiwa alichangia alikuwa akimsimamia house girl aliyekuwa akimpikia na kumfulia mumewe. Pia mke atalipwa hela za matunzo kama vile yeye ni mlemavu au taahira maisha yake yote.
 
Mwanamke akishashika hela ndefu anakuwa haoni haja ya kuwa na mwanaume tena
Hahahahahha....! Moneyphobia tu hizo wanaume..mnajikutaga sana mshike tu hela nyie.hahahaa...ubinafsi unawasumbua!
Nikuambia kitu ambacho ni serious vibaya sana! Ni heri mwanamke wako 100% akawa ana hela za kumtosha mahitaji.yKe kuliko akawa hanA!
Mwanamke akiwa hana hela anapata vishawishi vya kisengerema balaa..anaweza itiwa 5000! Ss huyy huyo mwanamke awe hata na 20000.hata umuite nadra sana kwenda...akikujibu hata sms zako shukuru...bora awe na hela..hata akifanya mambo.mengine ni yeye ameamua na nafsi yake!
● Namanisha wale wanawake wanaotosheka na maisha na hustle zao..sio wale wenye tamaa ya kumiliki mambo makubwa .mfano anaendesha ist anataka amiliki dualis kisa shogake analo ..na uwezo wake mdogo!
 
Mie nimejiweka kwa kundi la huyo wa 20,000 thus why mizinga sina wala stress sina 😂😂😂 kanafanya biashara zake tu!

Ila kimsingi pesa huwapa jeuri sana watoto wa kike!
 
Kwa wenzetu ndio kuna kutalikiana (Kupeana Talaka). Bongo hamnaga Talaka, ukiingia kwenye ndoa hakuna kutoka, na ukitoka basi hutoki salama.

Na ukitaka kutoka kwenye ndoa bongo basi jiandae kuna kutangaziana uadui, kurogana na mapambano ya vita kali (Kuanzia Mtaani, kwa waganga mpaka Instagram).

Halafu, kuna wanawake ni ving'ang'anizi hakuna mfano, hawaachiki hata umpige, umcheat, umtukane, umlaze stoo ya kuku au mbwa, hata ufanye nini hawaachiki. Tena anakuambia usoni baba we fanya ufanyayo mimi siachiki ng'o.!!!

Bill Gate angekua ameoa mtanzania basi;

1) Angefungiwa safari kwa waganga wote Tanzania Bara na Visiwani, picha isingeishia hapo, angefungiwa safari mpaka Nigeria na Congo.

2) Angeandaliwa Vikao Vya Send Off na Kamati Za Michambo & Matusi kuanzia kwenye Magazeti, Mtaani mpaka Instagram.

Angefurahi na roho yake.

@Alexander The Great [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]we jamaa bwana
 
Divorce zingine shavu dodo unachukua kaserengeti boy unazunguka nako dunia nzima full bata (unless kulikuwa na pre-nuptials)

Sasa za huku kwetu aisee. Mtagawana hadi generational curses [emoji2960][emoji2960][emoji1787][emoji1787]
Didn't expect this from you....

Umewaza kitamaa sana [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Baada ya miaka 27 ya ndoa, wawili hao wenye ukwasi wa kutosha na ambao wamekuwa wakisaidia miradi mbalimbali ya kijamii duniani kupitia foundation yao wameweka pete chini.

=====

Bill and Melinda Gates have announced their divorce after 27 years of marriage, saying "we no longer believe we can grow together as a couple".

"After a great deal of thought and a lot of work on our relationship, we have made the decision to end our marriage," the pair tweeted.

They first met in the 1980s when Melinda joined Bill's Microsoft firm.

The billionaire couple have three children and jointly run the Bill & Melinda Gates Foundation.

The organisation has spent billions fighting causes such as infectious diseases and encouraging vaccinations in children.

The Gates - along with investor Warren Buffett - are behind the Giving Pledge, which calls on billionaires to commit to giving away the majority of their wealth to good causes.

Bill Gates is the fourth wealthiest person in the world, according to Forbes, and is worth $124bn (£89bn).

He made his money through the firm he co-founded in the 1970s, Microsoft, the world's biggest software company.

The pair both posted the statement announcing their divorce on Twitter.

"Over the last 27 years, we have raised three incredible children and built a foundation that works all over the world to enable all people to lead healthy, productive lives," it read.

"We continue to share a belief in that mission and will continue our work together at the foundation, but we no longer believe we can grow together as a couple in the next phase of our lives.

"We ask for space and privacy for our family as we begin to navigate this new life."

How did they get together?

Melinda joined Microsoft as a product manager in 1987, and the two sat together at a business dinner that year in New York.

They began dating, but as Bill told a Netflix documentary: "We cared a lot for each other and there were only two possibilities: either, we were going to break up or we were going to get married."

Melinda said she found Bill - methodical it seems even in matters of the heart - writing a list on a whiteboard with the "pros and the cons of getting married".

They got married in 1994 on the Hawaiian island of Lanai, reportedly hiring up all the local helicopters to stop unwanted guests flying over.

Bill Gates stepped down from Microsoft's board last year to focus on his philanthropic activities.

Source: BBC
Kipi Cha ajabu?
 
Naona Bi mkubwa bado anang'aa, lazima atapata muhuni atakayempelekea moto vizuri tu.
 
Alianza jeff bezzos now billget, sasa nyie endeleeni kujidanganya kua ukiwa na pesa itamfanya mwanamke asisumbue
 
I never cease to amaze eeh?

Ndoa sio mchezo acha Melinda akapelekewe moto.

[emoji848][emoji848] Hivi melinda ana miaka mingapi!? I dont think anawaza unavyowaza[emoji851]
 
[emoji848][emoji848] Hivi melinda ana miaka mingapi!? I dont think anawaza unavyowaza[emoji851]
Atakuwa anawaza mle mleeee ama zaidi na fetish zote kaziorodhesha.

Lol sijui miaka yake 😉😉
 
"hatuamini tena kama sisi tunaweza kukua pamoja kama wenzi katika awamu hii inayofuata ya maisha yetu"
Maneno mazuri yenye busara

Sent from my TECNO Camon CX using JamiiForums mobile app
 
Back
Top Bottom