Bill & Melinda Gates watalikiana

Bill & Melinda Gates watalikiana

Hii inaweza kuwa ishu ya Covid tu, maza anaona watu wanazid kuteketea huku kinga ya mzee baba aliyomwambia mkewe itafanya kaz asilimia zote imefeli... Maza kaogopa Dhambi za mauaji.
 
Jinamizi la talaka halijawaacha mkuu.
Ila wamekua waungwana kuweka wazi vinginevyo ingeacha speculations na tafran

Tuwape mkono wa pole japo njia waliyoichagua huenda ikawapa amani na furaha zaidi.

Hapa ndio utaelewa kuna wakati mambo yanavyoonekana kwa nje, ni tofauti na uhalisia.
Jamii zinavyozidi kuongeza personal freedom ndivyo talaka zinavyozidi.

Nishawahi kueleza masikitiko kuhusu talaka za watu, halafu wao wakawa wananishangaa kwa nini nasikitikia uamuzi wao walioona ndio uliofaa kabisa.

Kwao, kitu cha kusikitika ni watu kulazimisha kukaa katika ndoa wakati hawaendani.
 
Haya mambo mengine magumu sana wakati mwingine.

Naamini huku kwetu wapo wengi tu, tena wengi sana wanaishi kwa mbinde na shuruba ila inabidi wavumilie kubaki kwenye ndoa kwa kuogopa jamii itawachukuliaje wakitalikiana.
 
Kuna Mzee mmoja mtata sana nilikuwa naongea naye habari za haki za wanawake, ndoa za mitala etc.

Akasema, watu wa magharibi wanawalaumu Waafrika kuoa wake wengi.

Lakini na wao wanaoa wake wengi.

Tofauti huku Afrika unaweza kukuta mtu ana wake wanne kwa wakati mmoja, huko magharibi utakuta mtu kaoa kaacha mara nne.
 
Jamii zinavyozidi kuongeza personal freedom ndivyo talaka zinavyozidi.

Nishawahi kueleza masikitiko kuhusu talaka za watu, halafu wao wakawa wananishangaa kwa nini nasikitikia uamuzi wao walioona ndio uliofaa kabisa.

Kwao, kitu cha kusikitika ni watu kulazimisha kukaa katika ndoa wakati hawaendani.
Mimi naona ni sawa tu na wanafanya vyema kutalikiana.

Kama watu mmechokana, mapenzi yenu yashachuja, hampeani furaha tena, mnachepuka, hamlali chumba kimoja, na kadhalika, kwa nini muendelee kuwa pamoja kwenye ndoa?

Ni bora na kheri kuachana/ kutalikiana kuliko kulazimisha na kung’ang’ania kuendelea kuwa pamoja.

Hivyo ndivyo busara yangu ya darasa la saba inavyoniambia.

NB: Variety is the spice of life.
 
Ndoa hii kuna jambo limewashinda kuvumiliana wakaona enough is enough, maana wamevumiliana kwa miaka yote hiyo 27 ya ndoani, leo tu wamekata tamaa shetani naona kaja na nguvu mpya, maana divorce ni mpango wa shetani ibilisi na sio Mungu
Kuna cousin ana move kwenye hizo circles anasema Bill Gates ni mtu arrogant sana miaka mingi amekuwa akishangaa Melinda anaishi naye vipi.

Yani wale watu fulani wa kutumia logic za computer kila sehemu mpaka kwenye maamuzi ya ndani, halafu ubishi kama chakula.
 
Back
Top Bottom