Billnass adai kushuhudia mkewe akijifungua, asema ni nusu ya kifo

Members mnaomcheka bilnas mnanishangaza sana hivi mnadhani kushuhudia uzazi ni mchezo mchezo kuna aliyewahi kati yenu [emoji2372]
Na hapo labda kajifungua kwa kisu.. je ingekua njia ya asili.. kijana si angezimia

Hiv skuhiz kuna mwanamke anazaa kwa njia ya asili kwel?
 

All in all, hands up to all ladies (hata wanyama jinsia ya kike)

Ile process ya kutoa mtoto si mchezo...
 
Na ndio maana tunashauri kuoa mwanamke anayekuhusudu zaidi. Mwanamke mwenye love na wewe ile ya kudata na wewe hawezi kukusaliti kizembe hata siku moja mbaya zaidi ukiwa companion wake.

Everytime she wanna be around you, travel with you, you laugh alot and make endless conversations with alot of charm. Bro thats the woman you gotta marry, provided hana tabia za hovyo kama uchoyo,ubinafsi na kiburi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ