Wewe chawa kilaza kama ndio mfano wa GT mmojawapo wa wenye akili nchi hii basi nchi imelaanika.Mada hii imeanza kabla hujajiunga JF kaa pembeni kama huna kumbukumbu za mada.Mada hii ni kwa ajili ya GTs only akili za nusu kijiko hazitakiwi
Hii ni historia na kumbumbu muhimu kwa Rais Samia kwa kujali afya ya watanzania hususani wa hali ya nchini.
Nimeshuhudia zoezi la kuwapatia wananchi bima ya afya likiendelea nchi nzima ikiashiria ule mkwamo wa miaka mingi wa kubishania kwenye podium au bungeni umeisha na sasa ni real deal.
Kipindi hiko population ya Tanzania ilikuwa ngapi?Hakika utakuwa na uelewa mdogo sana wa mambo. Hivi unafahamu kuwa kuna wakati atibabu kwa wananvhi wote yalikuwa bure? Ilikuwa ni bure kabisa, hutoi chochote, na ilikuwa kwa wananchi wote.
Kwenye hili siyo rahisi kihivyo. Universal health insurance for all siyo kwa kutamka mdomoni.Hii ni historia na kumbumbu muhimu kwa Rais Samia kwa kujali afya ya watanzania hususani wa hali ya nchini.
Nimeshuhudia zoezi la kuwapatia wananchi bima ya afya likiendelea nchi nzima ikiashiria ule mkwamo wa miaka mingi wa kubishania kwenye podium au bungeni umeisha na sasa ni real deal.
Kwa ili jambo Samia apewe tena kipindi kingine cha miaka Mitano.....japo wakristo wanamchukia Mama yetu.Hii ni historia na kumbumbu muhimu kwa Rais Samia kwa kujali afya ya watanzania hususani wa hali ya nchini.
Nimeshuhudia zoezi la kuwapatia wananchi bima ya afya likiendelea nchi nzima ikiashiria ule mkwamo wa miaka mingi wa kubishania kwenye podium au bungeni umeisha na sasa ni real deal.
Usilinganishe elimu na matibabu bure ya kipindi cha JKN na Bima ya Afya kwa wote. Bima ya Afya kwa wote siyo kwamba utapewa kadi bure bali utalipia na kiwango cha chini ni Tsh 150,000 kwa kaya kwa mwaka.Matibabu na elimu, wakati wa utawala wa Mwlimu Nyerere, na kilindi chote cha utawala wa Mwinyi ilikuwa bure kwa 100% kwa kila mtu.
Huyu mama kitu pekee ambacho amefanya ambacho hakijawahi kufanywa na mtangulizi wake yeyote, ambacho sote tunakubaliana, ni ule ushetani wa kuwaua Watanganyika kwa maelfu. Hiyo ndiyo alama pekee aliyoiacha na ndiyo atakayotembea nayo, na atatambulishwa kwa hiyo.
We umekuwa shekhe Yahya sasae?! Bima haijaanza kufanya kazi tayari ushatabiri bibieUkienda hospital na bima yako unaambiwa dawa zimekwisha kanunue dawa duka la nje? Hapo bima itakuwa imekusaidiaje?
Kwa nini unaanza kuwaza kila ukiumwa unataka ukatibiwe Muhimbili?Je hyo 150000 siku mtu atakapolazwa muhimbili itagharamia kila kitu? Hili swali hamtaki kuliweka wazi.
Binafsi naona ni janja janja tu ya kutaka kukusanya hela za wananchi wazipige.
NHIF mmeiharibu wenyewe
Si utaenda na bima yako kwenye hospitali yenye dawa!Ukienda hospital na bima yako unaambiwa dawa zimekwisha kanunue dawa duka la nje? Hapo bima itakuwa imekusaidiaje?
Yaani watu walipe 150,000 halafu useme ni mfupa mgumu. Utakuwa unachekesha dogo.Hii ni historia na kumbumbu muhimu kwa Rais Samia kwa kujali afya ya watanzania hususani wa hali ya nchini.
Nimeshuhudia zoezi la kuwapatia wananchi bima ya afya likiendelea nchi nzima ikiashiria ule mkwamo wa miaka mingi wa kubishania kwenye podium au bungeni umeisha na sasa ni real deal.
Population iliendana na mapato.Kipindi hiko population ya Tanzania ilikuwa ngapi?