Gift mzalendo
JF-Expert Member
- Dec 13, 2019
- 4,675
- 6,428
Ungeanza kuwaliza kwanza wafanyakazi wa serikali na bima Yao NHIf ambayo wanakatwa Kila mwenzi inawasaidiajeHii ni historia na kumbumbu muhimu kwa Rais Samia kwa kujali afya ya watanzania hususani wa hali ya nchini.
Nimeshuhudia zoezi la kuwapatia wananchi bima ya afya likiendelea nchi nzima ikiashiria ule mkwamo wa miaka mingi wa kubishania kwenye podium au bungeni umeisha na sasa ni real deal.
Ungemuuliza kwanza Waziri wa Afya Ummy Mwalimu ilikuwaje wamiliki wakataa wa vituo wakataa mikataba ya NHif
Hizo danganya toto za kiccm ni upuuzi
Kitu PEKEE ambacho wamefanya ambacho hakijawhi kufanyiwa tangu nchi ipate uhuru ni kuuliwa Kwa mamia ya vijana tarehe 29