Tindo
Platinum Member
- Sep 28, 2011
- 72,020
- 129,293
Aliua watanzania kwa maagizo ya waisilamu?Kwa ili jambo Samia apewe tena kipindi kingine cha miaka Mitano.....japo wakristo wanamchukia Mama yetu.
Aliua watanzania kwa maagizo ya waisilamu?Kwa ili jambo Samia apewe tena kipindi kingine cha miaka Mitano.....japo wakristo wanamchukia Mama yetu.
Hiyo bima ya afya umeiona wapi? Ina tofauti gani na NHIF?Kwa ili jambo Samia apewe tena kipindi kingine cha miaka Mitano.....japo wakristo wanamchukia Mama yetu.
Bongo hii kuna program gani iliwahi kufanikiwa??We umekuwa shekhe Yahya sasae?! Bima haijaanza kufanya kazi tayari ushatabiri bibie
Hakuna kitu hapo ni Siasa za ******* tu, waulize hio Bima mtu anaeugua Complications za MOYO, MAPAFU, INI, FIGO, UTI WA MGONGO, KONGOSHO, UBONGO, NGOZI, sasa fanya combination hapo FIGO + MOYO vina shida au MOYO + INI vina shida au MAPAFU + FIGO vina shida, waulize je kwa hio BIMA unayoisifia kuna anaetibiwa kwa hizo Complications, kuna Mzee juzi kaenda na Bima kaomba kupimwa FIGO kwa kutumia Bima kaambiwa lipia 15,000/- kipimo cha FIGO na Matibabu ya FIGO hayatoki kwenye BIMA unalipa Cash, mnafurahia UJINGA wa muda mfupiNimeshuhudia zoezi la kuwapatia wananchi bima ya afya likiendelea nchi nzima ikiashiria ule mkwamo wa miaka mingi wa kubishania kwenye podium au bungeni umeisha na sasa ni real deal.
SishangaiSi utaenda na bima yako kwenye hospitali yenye dawa!
By the way matibabu sio dawa tu hivi kwa nini huoni thamani ya kupewa,vipimo, ushauri au kufanyiwa upasuaji au hata kupewa oxygen yaani iweje uilalamikie 1 ya 10 ukaacha huduma 9 ulizopewa kwa ufanisi??
Hakuna kitu mjinga wewe umevalisha Mewani ya Mbao pumbavu chukua hio Bima kawaambie wakupime na kukutibu INI+FIGO+MOYO kwa kutumia Bima km haujaambiwa lazima ulipie na zile ulizozisikia kule ni siasa sio uhalisia wa mambo ulivyo, mpango mkakati ni mzuri ila utekelezaji ni Sifuri ooh tunataka mpaka 2030 kila mwananchi awe na bima ikipita January 2030 mwananchi ambae hakukata Bima atalipa faini atakapohitaji Bima ooh tunataka ifike hatua suala la kua na Bima liwe la lazima, oya nakata Bima nataka nitibiwe FIGO kwa kutumia hio hio Bima mnafanya hivyo au ndio mnaimba ngonjera za kiduanzi can you do that?We umekuwa shekhe Yahya sasae?! Bima haijaanza kufanya kazi tayari ushatabiri bibie
Umetumwa na Padre Kitima? Kawaambia mpinge Kila kituHakuna kitu mjinga wewe umevalisha Mewani ya Mbao pumbavu chukua hio Bima kawaambie wakupime na kukutibu INI+FIGO+MOYO kwa kutumia Bima km haujaambiwa lazima ulipie na zile ulizozisikia kule ni siasa sio uhalisia wa mambo ulivyo, mpango mkakati ni mzuri ila utekelezaji ni Sifuri ooh tunataka mpaka 2030 kila mwananchi awe na bima ikipita January 2030 mwananchi ambae hakukata Bima atalipa faini atakapohitaji Bima ooh tunataka ifike hatua suala la kua na Bima liwe la lazima, oya nakata Bima nataka nitibiwe FIGO kwa kutumia hio hio Bima mnafanya hivyo au ndio mnaimba ngonjera za kiduanzi can you do that?
Acha kunywa visungura unusuru figo zakoHakuna kitu mjinga wewe umevalisha Mewani ya Mbao pumbavu chukua hio Bima kawaambie wakupime na kukutibu INI+FIGO+MOYO kwa kutumia Bima km haujaambiwa lazima ulipie na zile ulizozisikia kule ni siasa sio uhalisia wa mambo ulivyo, mpango mkakati ni mzuri ila utekelezaji ni Sifuri ooh tunataka mpaka 2030 kila mwananchi awe na bima ikipita January 2030 mwananchi ambae hakukata Bima atalipa faini atakapohitaji Bima ooh tunataka ifike hatua suala la kua na Bima liwe la lazima, oya nakata Bima nataka nitibiwe FIGO kwa kutumia hio hio Bima mnafanya hivyo au ndio mnaimba ngonjera za kiduanzi can you do that?
Ukweli ushakufikia na ushaelewa ulichoambiwa fanya ulivyoambiwa kata bima nenda kawaambie wakupime complications za FIGO, MOYO na INI na upewe matibabu kwa kutumia hio Bima na huna hata 100 mfukoni km haujatimuliwa kupimwa hupimwi na kutibiwa hautibiwi vilevile unataka kufa nenda kafeUmetumwa na Padre Kitima? Kawaambia mpinge Kila kitu
Hapo kadanganya nini?Ondoa utapeli wako wa kiCCM, zama za kuwadanganya na kuwadaha watu kijinga hivyo zimepitwa na wakati.
Huyo kitima ndio aliwatuma mawaziri wa serikali yako waende kupiga magoti kwa papa ili nchi iombewe?Umetumwa na Padre Kitima? Kawaambia mpinge Kila kitu
Papa ana maombi gani ya kumfikia Mungu? walienda kumsanifu tu ili nyie mazuzu mfurahie!Huyo kitima ndio aliwatuma mawaziri wa serikali yako waende kupiga magoti kwa papa ili nchi iombewe?
Hayo ulipaswa uwaulize hao mawaziri walioenda huko. Sisi tufurahi tuna uhusiano gani?Papa ana maombi gani ya kumfikia Mungu? walienda kumsanifu tu ili nyie mazuzu mfurahie!
PRAISE AND WORSHIP TEAM.Hii ni historia na kumbumbu muhimu kwa Rais Samia kwa kujali afya ya watanzania hususani wa hali ya nchini.
Nimeshuhudia zoezi la kuwapatia wananchi bima ya afya likiendelea nchi nzima ikiashiria ule mkwamo wa miaka mingi wa kubishania kwenye podium au bungeni umeisha na sasa ni real deal.
Mwananchi masikini anaumwa figo au moyo?Unaelewa maana ya Universal Health Insurance na universal health coverage?Ukweli ushakufikia na ushaelewa ulichoambiwa fanya ulivyoambiwa kata bima nenda kawaambie wakupime complications za FIGO, MOYO na INI na upewe matibabu kwa kutumia hio Bima na huna hata 100 mfukoni km haujatimuliwa kupimwa hupimwi na kutibiwa hautibiwi vilevile unataka kufa nenda kafe