Wewe usinione km sijui nilichokiandika najua nilichokiandika na nina ushahidi nacho subiria milio ianze kusikika ndio utakuja hapa tuzungumze vizuri utaambiwa sio bure na kifurushi hicho hakitoshi kutibu au kupima ugonjwa huo, hicho kifurushi ni kwa ajili ya kupima minyoo na kupewa Paracetamol tu basi, unajua hawa watu wanatuona sisi km viazi fulani hivi kumamakezaoMwananchi masikini anaumwa figo au moyo?Unaelewa maana ya Universal Health Insurance na universal health coverage?
Unafahamu ni wananchi wangapi wanaumwa homa za mapafu,malaria,UTI n.k ambao wanashindwa kupata huduma.
Hivi umesomea wapi?
wewe ndo mchawi na chawa mimi ninayo bima kubwa NHIF inayokava milion 8 matibabu yawatumishiPunguza uchawi wewe una bima ya afya? kama unayo ni ipi??inapokelewa vituo vipi?
Kuna sheria nyingi tumetunga lakini hazitekelezeki. Hii nayo haitatekelezekaSheria inakutaka uwe na bima ya Afya
Hiyo bima watajiandikisha ccm na machawa wao labda watumishi wa umma sababu wanabanwa moja kwa moja
Kuna bima duniani inayocover kila kitu?au unataka kujitoa ufahamu tu.Wewe usinione km sijui nilichokiandika najua nilichokiandika na nina ushahidi nacho subiria milio ianze kusikika ndio utakuja hapa tuzungumze vizuri utaambiwa sio bure na kifurushi hicho hakitoshi kutibu au kupima ugonjwa huo, hicho kifurushi ni kwa ajili ya kupima minyoo na kupewa Paracetamol tu basi, unajua hawa watu wanatuona sisi km viazi fulani hivi kumamakezao
Hayo hawayasemi sasa mijinga inajua hizo bima itatibiwa kila kitu mamaezao kumbe mwisho kutibiwa ni maralia na minyoo tu ukienda na complications zako za FIGO INI na MOYO unafurushwa, wawaambie ukweli mapema kabisa maana kuna wanaohisi wamefika peponi, jana nilimsikia bibi mmoja anachekelea sana nikasema huyu subiri akianza kutoa mlio ndio ataelewa,Kuna bima duniani inayocover kila kitu?au unataka kujitoa ufahamu tu.
Kila bima ina ukomo wake wa huduma.
Mbona hayo magonjwa yapo kwenye bimaHakuna kitu mjinga wewe umevalisha Mewani ya Mbao pumbavu chukua hio Bima kawaambie wakupime na kukutibu INI+FIGO+MOYO kwa kutumia Bima km haujaambiwa lazima ulipie na zile ulizozisikia kule ni siasa sio uhalisia wa mambo ulivyo, mpango mkakati ni mzuri ila utekelezaji ni Sifuri ooh tunataka mpaka 2030 kila mwananchi awe na bima ikipita January 2030 mwananchi ambae hakukata Bima atalipa faini atakapohitaji Bima ooh tunataka ifike hatua suala la kua na Bima liwe la lazima, oya nakata Bima nataka nitibiwe FIGO kwa kutumia hio hio Bima mnafanya hivyo au ndio mnaimba ngonjera za kiduanzi can you do that?
Population ikiongezeka ndio unashindwa kutoa matibabu bure? Mapato ya nchi hayajaongezeka?Kipindi hiko population ya Tanzania ilikuwa ngapi?
Tanzania sahani moja huingia mikono sita, maana yake wazalishaji wachache kuliko walaji, halafu nyerere alipewa misaada na kambi zote,wajamaa na mabepariPopulation ikiongezeka ndio unashindwa kutoa matibabu bure? Mapato ya nchi hayajaongezeka?
Kuna bima duniani inatumika kwenye Magonjwa yote kama ipo google uileye hapaHayo hawayasemi sasa mijinga inajua hizo bima itatibiwa kila kitu mamaezao kumbe mwisho kutibiwa ni maralia na minyoo tu ukienda na complications zako za FIGO INI na MOYO unafurushwa, wawaambie ukweli mapema kabisa maana kuna wanaohisi wamefika peponi, jana nilimsikia bibi mmoja anachekelea sana nikasema huyu subiri akianza kutoa mlio ndio ataelewa,
Kingine hawa waandishi wa Habari wetu ni Viazi karibu wote, hio kitu wanaipa promo ila hawaelezi ukweli au hawawaulizi maswali yanayowagusa wahusika aidha wanatungiwa maswali au wanaambiwa maswali hayo msiulize, hii nchi imejaa waandishi wa Habari viazi sana inakuaje hawaulizi maswali chokonozi maswali ya ndani zaidi wao wanauliza maswali ya juu juu tu, for what?
Uliza hivi: hii bima mwananchi aakiipata ataweza kutibiwa magonjwa yote bila kuambiwa walipie chochote? Uone wanaoiendesha watakavyotoa macho nje,
Ndio uiambie Serikali yako iseme ukweli hawa wajinga wanajua hizo bima wanatibiwa magonjwa yote bure baada ya kulipia kima walichoambiwa walipie, hilo hawalisemi waziwazi kwanini? Wanajua wakisema hivyo watu hawatokata wala nini sababu wanajua ni yaleyale tuKuna bima duniani inatumika kwenye Magonjwa yote kama ipo google uileye hapa
Kujiwekea bima ulioiita ni kubwa kuna ashiria afya yako ni mbovu na umejiweka kwenye risks kubwa za kiafya na sio jambo la kujisifu.wewe ndo mchawi na chawa mimi ninayo bima kubwa NHIF inayokava milion 8 matibabu yawatumishi
Unadhani kuna huduma ipi ya msingi itakayokosekana?Ndio uiambie Serikali yako iseme ukweli hawa wajinga wanajua hizo bima wanatibiwa magonjwa yote bure baada ya kulipia kima walichoambiwa walipie, hilo hawalisemi waziwazi kwanini? Wanajua wakisema hivyo watu hawatokata wala nini sababu wanajua ni yaleyale tu
Unajua ulichokiandika hapa?Kujiwekea bima ulioiita ni kubwa kuna ashiria afya yako ni mbovu na umejiweka kwenye risks kubwa za kiafya na sio jambo la kujisifu.
Waache wenye afya zao wajipatie bima zao "ndogo"
FIGO, INI, MOYO, MAPAFU, UTI WA MGONGO PINGILI ZIMEFANYA YAKE, MASUALA YA MIFUPA, BIBI CHEZA SIJUI KUFANYA NINI... hivyo vibima uchwara haviwezi kulipia hizo gharama za hayo matibabu, hawasemi ukweli huo wanaufichaUnadhani kuna huduma ipi ya msingi itakayokosekana?
mimi kuwa nayo ilikua ni otomatic nakatwa mshaharaKujiwekea bima ulioiita ni kubwa kuna ashiria afya yako ni mbovu na umejiweka kwenye risks kubwa za kiafya na sio jambo la kujisifu.
Waache wenye afya zao wajipatie bima zao "ndogo"