Bima ya Afya kwa wote UHIF: Hatimaye Rais Samia atekeleza mfupa mgumu uliowashinda Marais waliopita

Bima zenu uchwara hizo mnadanganya watu vijijini huko eti kifurushi 170k unatibiwa hadi hosp ya taifa
Punguza uchawi wewe una bima ya afya? kama unayo ni ipi??inapokelewa vituo vipi?
 
Mwananchi masikini anaumwa figo au moyo?Unaelewa maana ya Universal Health Insurance na universal health coverage?
Unafahamu ni wananchi wangapi wanaumwa homa za mapafu,malaria,UTI n.k ambao wanashindwa kupata huduma.
Hivi umesomea wapi?
Wewe usinione km sijui nilichokiandika najua nilichokiandika na nina ushahidi nacho subiria milio ianze kusikika ndio utakuja hapa tuzungumze vizuri utaambiwa sio bure na kifurushi hicho hakitoshi kutibu au kupima ugonjwa huo, hicho kifurushi ni kwa ajili ya kupima minyoo na kupewa Paracetamol tu basi, unajua hawa watu wanatuona sisi km viazi fulani hivi kumamakezao
 
Jinga lao katika ubora wake, ule mfuko wa kwanza tu mmeufilisi kwa mafisadi kujipokesha uko taabani , huu mpya mtauweza??

Mmeua mfuko wa awali ambao watu walikua wakichangia mnataka kutudanganya mtaweza huu mpya wa kusema mnawalipia watibiwe bure.

Wajinga waliisha!
 
Hiyo bima watajiandikisha ccm na machawa wao labda watumishi wa umma sababu wanabanwa moja kwa moja

Kuna bima duniani inayocover kila kitu?au unataka kujitoa ufahamu tu.
Kila bima ina ukomo wake wa huduma.
 
Kuna bima duniani inayocover kila kitu?au unataka kujitoa ufahamu tu.
Kila bima ina ukomo wake wa huduma.
Hayo hawayasemi sasa mijinga inajua hizo bima itatibiwa kila kitu mamaezao kumbe mwisho kutibiwa ni maralia na minyoo tu ukienda na complications zako za FIGO INI na MOYO unafurushwa, wawaambie ukweli mapema kabisa maana kuna wanaohisi wamefika peponi, jana nilimsikia bibi mmoja anachekelea sana nikasema huyu subiri akianza kutoa mlio ndio ataelewa,

Kingine hawa waandishi wa Habari wetu ni Viazi karibu wote, hio kitu wanaipa promo ila hawaelezi ukweli au hawawaulizi maswali yanayowagusa wahusika aidha wanatungiwa maswali au wanaambiwa maswali hayo msiulize, hii nchi imejaa waandishi wa Habari viazi sana inakuaje hawaulizi maswali chokonozi maswali ya ndani zaidi wao wanauliza maswali ya juu juu tu, for what?

Uliza hivi: hii bima mwananchi aakiipata ataweza kutibiwa magonjwa yote bila kuambiwa walipie chochote? Uone wanaoiendesha watakavyotoa macho nje,
 
Mbona hayo magonjwa yapo kwenye bima
 
Population ikiongezeka ndio unashindwa kutoa matibabu bure? Mapato ya nchi hayajaongezeka?
Tanzania sahani moja huingia mikono sita, maana yake wazalishaji wachache kuliko walaji, halafu nyerere alipewa misaada na kambi zote,wajamaa na mabepari
1992 tulianza kuchangia huduma za afya,lipia daftari etc,tulilalamika lakini tumezowea
 
Aisee hospitali za bongo haya bana. Kuwepo kwa bima, uende taslimu utakoma. Haya mambo ya mfumo haya, hawana habari wewe muuguzaji utahangaishwa nenda pale, invoice, sijui panga foleni , huku mgonjwa yupo taabani, wamebaki vijana wadogo tuu madaktari wabobezi wanazurura kutoa mada semina na midahalo. vijana wanatamka tuu
 
Kuna bima duniani inatumika kwenye Magonjwa yote kama ipo google uileye hapa
 
Kuna bima duniani inatumika kwenye Magonjwa yote kama ipo google uileye hapa
Ndio uiambie Serikali yako iseme ukweli hawa wajinga wanajua hizo bima wanatibiwa magonjwa yote bure baada ya kulipia kima walichoambiwa walipie, hilo hawalisemi waziwazi kwanini? Wanajua wakisema hivyo watu hawatokata wala nini sababu wanajua ni yaleyale tu
 
wewe ndo mchawi na chawa mimi ninayo bima kubwa NHIF inayokava milion 8 matibabu yawatumishi
Kujiwekea bima ulioiita ni kubwa kuna ashiria afya yako ni mbovu na umejiweka kwenye risks kubwa za kiafya na sio jambo la kujisifu.
Waache wenye afya zao wajipatie bima zao "ndogo"
 
Unadhani kuna huduma ipi ya msingi itakayokosekana?
 
Kujiwekea bima ulioiita ni kubwa kuna ashiria afya yako ni mbovu na umejiweka kwenye risks kubwa za kiafya na sio jambo la kujisifu.
Waache wenye afya zao wajipatie bima zao "ndogo"
Unajua ulichokiandika hapa?
 
Unadhani kuna huduma ipi ya msingi itakayokosekana?
FIGO, INI, MOYO, MAPAFU, UTI WA MGONGO PINGILI ZIMEFANYA YAKE, MASUALA YA MIFUPA, BIBI CHEZA SIJUI KUFANYA NINI... hivyo vibima uchwara haviwezi kulipia hizo gharama za hayo matibabu, hawasemi ukweli huo wanauficha
 
Kujiwekea bima ulioiita ni kubwa kuna ashiria afya yako ni mbovu na umejiweka kwenye risks kubwa za kiafya na sio jambo la kujisifu.
Waache wenye afya zao wajipatie bima zao "ndogo"
mimi kuwa nayo ilikua ni otomatic nakatwa mshahara

nasio bima UHIF hizo za kitP nakua na bima kubwa sio ugonjwa matrako
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…