Gift mzalendo
JF-Expert Member
- Dec 13, 2019
- 4,675
- 6,428
Ungeanza kuwaliza kwanza wafanyakazi wa serikali na bima Yao NHIf ambayo wanakatwa Kila mwenzi inawasaidiajeHii ni historia na kumbumbu muhimu kwa Rais Samia kwa kujali afya ya watanzania hususani wa hali ya nchini.
Nimeshuhudia zoezi la kuwapatia wananchi bima ya afya likiendelea nchi nzima ikiashiria ule mkwamo wa miaka mingi wa kubishania kwenye podium au bungeni umeisha na sasa ni real deal.
Umeandika nini wewe mburulaTanzania sahani moja huingia mikono sita, maana yake wazalishaji wachache kuliko walaji, halafu nyerere alipewa misaada na kambi zote,wajamaa na mabepari
1992 tulianza kuchangia huduma za afya,lipia daftari etc,tulilalamika lakini tumezowea
Huna akili umejaza makamasi na mavi kichwani kwako.Kuna nchi inatoa matibabu bure?
Nitajie
Acha kudanganya Umma...wamiliki wa Vituo binafsi wanaishi kwa kuitegemea bima ya Afya.Ungeanza kuwaliza kwanza wafanyakazi wa serikali na bima Yao NHIf ambayo wanakatwa Kila mwenzi inawasaidiaje
Ungemuuliza kwanza Waziri wa Afya Ummy Mwalimu ilikuwaje wamiliki wakataa wa vituo wakataa mikataba ya NHif
Hizo danganya toto za kiccm ni upuuzi
Kitu PEKEE ambacho wamefanya ambacho hakijawhi kufanyiwa tangu nchi ipate uhuru ni kuuliwa Kwa mamia ya vijana tarehe 29
Sasa wewe una akili au una mavi kichwanihuu mjadala haujaanza leo umeanza kabla ya vilaza wengi kama wewe hawajajiunga JF
Mimi ni mdau wa hiyo sekta siongei BLA bala wewe chawaAcha kudanganya Umma...wamiliki wa Vituo binafsi wanaishi kwa kuitegemea bima ya Afya.
Hiyo sekta ni mpya sana hapa nakaribisha wanayojua issues hata kabla ya kuundwa kwa NHIFMimi ni mdau wa hiyo sekta siongei BLA bala wewe chawa
Vituo vingi vinaumizwa sana na NHIF
Kwa bahati mbaya tarehe 29 tuliwatoa vijana Risasi ndani ya kituo ndo maana Nina hasira na wahuni wa ccm mpaka leo
Hata huelewekiHiyo sekta ni mpya sana hapa nakaribisha wanayojua issues hata kabla ya kuundwa kwa NHIF
Mada hii imeanza kabla hujajiunga JF kaa pembeni kama huna kumbukumbu za mada.Mada hii ni kwa ajili ya GTs only akili za nusu kijiko hazitakiwi