Bima ya Afya Tanzania: Kampuni bora na zenye changamoto katika kuhudumia wateja wake

AAR

Nilitaka Recomend AAR, sababu ndo bima nayotumia muda mrefu, na so far so good, ila kwa rate hizi na yanayosemwa kuwa NHIF wamekuwa bora zaid, nadhani wajaribu, na ulete mrejesho.

AAR gharama zao zikoje? Na huduma zao
 
Hizo gharama ni kila mwaka si ndio?
Mfano ..
Mtu mmoja hicho kiasi kila mwaka ntalipia hvo kwenye kipengele Cha kwanza?(najali Afya)
 
NHIF ni bima nzuri endapo hutakua na ugonjwa wa kudumu kama kidney failure, cancer, diabetes, etc. Once ukipata hayo maradhi ndo utawatambua vizuri. Kama ni kwenda tu hospitali kumuona daktari kutibu malaria typhoid ipo njema sana.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mkuu si kweli Nina rafiki yangu baba yake ana kidney failure na anapata huduma zooote kwa Nhif ... Huwa anafanyiwa mabadiliko ya damu mwaka mzima kwa hiyo hiyo kadi mpaka sasa Hali Yake imetengemaa.... Mara ya mwisho kafanyiwa hayo matibabu mwaka Jana mwezi wa 11....

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mbona tokea December 01 mambo yamebadilika
Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…