Binadamu anauwezo wakujiua mwenywe bila kutumia zana yoyote ionekayo!


Mkuu huyu Yericko ni mwanasiasa tu, anaweka mastori ambayo hawezi kuyatolea ufafanuzi! Anajaribu kuzugazuga kama yupo siasani vile!
 
Last edited by a moderator:

Yericko, Yericko, Yericko! Kwanini unashindwa kufafanua?
Kwanini utupe masource yaliyojaa mambo mengi?
...
Ivi umesahau "He Who Asserts Must Proof"?
...
Mimi nataka nijue, naitumia vipi akili yangu ili nife bila ya ajali, sumu, kujinyima kula na mengineo kama hayo?
...
Nimeelewa uliposema akili inaweza, swali langu ni 'Inaweza vipi?'
...
Naomba jibu tafadhali!
 
Mkuu huyu Yericko ni mwanasiasa tu, anaweka mastori ambayo hawezi kuyatolea ufafanuzi! Anajaribu kuzugazuga kama yupo siasani vile!

mimi nilitaka tuu mumkaribishe manake kachoshwa na siasa za "maji taka" kule siasani akaamua aje kupumzisha kichwa huku jamii intelligence,tatizo kaanza na mada ngumu sana ambayo wakijaa wenye jukwaa lao hapa hapakaliki kama unavyoona mwenyewe.Hili suala la "kifo" Yericko utaweza kuliendeleza hapa kweli bwana "ghalasha"?
 
ukikaa njaa siku nyingi, bila kujinyonga ama kula sumu ama kujipiga risasi, au kuanguka kwenye gorofa, unaweza kuondoka..If that is the Case.Yericko tupo yako.

Hahahahahahaaaa!
 
Sijafahamu Mkuu Yerico anataka kutuambia nini kwahiyo ngoja nione mada inavyoenda then tutaendelea na michango ya hoja![/QUOTE]


Mkuu Ntuzu...nimejaribu kufuatilia huu mnakasha takriban bayana kadhaa...lazim nikubali yakua nimevunjika mbavu mno kwa kucheka! Daaah! Teeeh! Teeeh! Teeeh!

Hata hivyo,ningefurahika zaidi kama ningaliona mchango wako japo kiduchu,au!?

Shukran Mkuu na tuko pamoja!

Ahsanta.
 
MPUMBA.VU amesema moyoni mwake hakuna Mungu~Holy Bible

naam!hebu mtajie na kifungu asije kusema ni maneno yako tu!Yericko,sorry bwana,jamaa kabeba fungu kama lilivyo,usije kulalamikia lugha kali iliyotumika ukasema hana adabu!jamaa wanaendelea kuja tu,mie nakushauri uombe poo kabla haujalazimika kuwa "guest" kwenye uzi wako mwenyewe!
 
Mwanangu juve2012 mi nipo sn Mkuu!

Sijafahamu Mkuu Yerico anataka kutuambia nini kwahiyo ngoja nione mada inavyoenda then tutaendelea na michango ya hoja!

mkuu,Yericko keshatekwa na "hakuna Mungu".Au hujaona hapo juu anasema Mungu ni dhana tu?msiposimama mkapambana na hili wimbi watu wa Mungu mapadre kwa masheikh,kimaskhara hivi hivi imani hii ya "hakuna Mungu" itasambaa!halafu sijui "hakuna Mungu" ni imani au?
 
Last edited by a moderator:

ha, we vipi? kalale na mumeo huko! mada iko vingine we unarukia mambo mengine, umeachiwa sahivi nn!
 

Yericko unaamini /unaelewa kitabu kiitwacho Biblia?
 
Sijafahamu Mkuu Yerico anataka kutuambia nini kwahiyo ngoja nione mada inavyoenda then tutaendelea na michango ya hoja!


Mkuu Ntuzu...nimejaribu kufuatilia huu mnakasha takriban bayana kadhaa...lazim nikubali yakua nimevunjika mbavu mno kwa kucheka! Daaah! Teeeh! Teeeh! Teeeh!

Hata hivyo,ningefurahika zaidi kama ningaliona mchango wako japo kiduchu,au!?

Shukran Mkuu na tuko pamoja!

Ahsanta.[/QUOTE]


Rafiki yng gombesugu habari za masiku?

Kwa kweli bado mpk Muda huu sina hoja na sijui nianzie wapi ktk bandiko!

Nimebaki nasoma tu!
 
Last edited by a moderator:

Nimeona hicho kipengele lkn ndio nikauliza anataka kutuambia nini? Maana Sijafahamu kabisa dhumuni la hoja yake!
 
Nje ya msaada wa Mungu, mada hii nisawa na kujilisha upepo au kuanguka kwenye bottomless pit .
 


Rafiki yng gombesugu habari za masiku?

Kwa kweli bado mpk Muda huu sina hoja na sijui nianzie wapi ktk bandiko!

Nimebaki nasoma tu![/QUOTE]

ndugu yangu nipo,shughuli za hapa kibaruani zimenikinza tu kiduchu!

Huu mnakasha ni kweli...yaani uko very interesting! Nakhis kila mmoja wetu tunajaribu kumsoma huyu Yeriko na mantik au fumbo la hii mada yake!?

lakini kwa jinsi pattern ya majibu yake kwa baadhi ya Wanajamvi...binafsi nakhis labda hafahamu kiundani makusudio ya argument yake!? Au labda hii approach alotumia ndo inamfanza isiwe wepesi kwake ku-articulate more effectively!? Daah!

nafikiri labda tuendelee kuvuta sabra!? Teeeh! Teeeh!

Shukran na nakutakia jioni njema.

Ahsanta.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…