Mashaxizo
JF-Expert Member
- Jun 13, 2013
- 6,707
- 3,346
mwanadamu ana uungu wa kuumba kitu kipitia kinywa chake
anaumba na anaharibu pia
Kivipi?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
mwanadamu ana uungu wa kuumba kitu kipitia kinywa chake
anaumba na anaharibu pia
Hilo wengi watakupinga sana dada yangu, lakini huo ndio ukweli,
God is a fastidious fad fueled by a fantastic foolhardy fading fast.
Fikra ya mwanadamu ni sumaku na hivyo ni kweli mwanadamu anao uwezo wa kukiita kifo na kikamjia; ila kinacho weza kucheleweza masaa kadhaa ndani ya uwezo wake ni namna gani kifo hicho kitatokea. Sumaku yake inapokivuta kifo nguvu za asili zinayachanganya mazingira yote yanayowezekana na kukusanya kimbunga za maguvu yatakayokifanya kifo kitokee kwa jinsi yake. Tembelea Home
Thank you Salim Kabora kwa mchango imara.
Mkuu huyu Yericko ni mwanasiasa tu, anaweka mastori ambayo hawezi kuyatolea ufafanuzi! Anajaribu kuzugazuga kama yupo siasani vile!
ukikaa njaa siku nyingi, bila kujinyonga ama kula sumu ama kujipiga risasi, au kuanguka kwenye gorofa, unaweza kuondoka..If that is the Case.Yericko tupo yako.
Mkuu fafanua basi japo kidogo! Hao watu walitumia vipi akili zao hadi wakafariki!
MPUMBA.VU amesema moyoni mwake hakuna Mungu~Holy Bible
Mwanangu juve2012 mi nipo sn Mkuu!
Sijafahamu Mkuu Yerico anataka kutuambia nini kwahiyo ngoja nione mada inavyoenda then tutaendelea na michango ya hoja!
MPUMBA.VU amesema moyoni mwake hakuna Mungu~Holy Bible
Yericko Nyerere, chama si binaadam, ikiwa mmeweza kuiua chadema kwa kuwaondoa binaadam makini kwenye chama usifikiri kuwa na binaadam ni vivyo hivyo.
Poleni sana naona mzimu wakujiua umewakaa.
Nimekwambia juu huko, jiue basi ili utuhakikishie kuwa kweli unaweza. Wacha blah blah blah.
Binadamu ni kiumbe wa pekee ulimwenguni anayeyatawala mambo yote yasiyoonekana na yanayooneka, mimi huamini binadamu ni kiumbe na muumbaji, kwangu Mungu ni dhana tu.
Binadamu anaouwezo wa kukata uhai wake bila kutumia zana,kuugua,sumu ama chochote kile chenye kudhuru mwili hata kufa.
Kwakutumia akili yake tu anauwezo wakukiita/kukikaribisha kifo na kikamfika ndani ya masaa yasiyozidi 24, Zingatia kwakutumia "akili" yake tu, sio elimu yake. Fikra ya mwanadamu ni sumaku na hivyo ni kweli mwanadamu anao uwezo wa kukiita kifo na kikamjia; ila kinacho weza kucheleweza masaa kadhaa ndani ya uwezo wake ni namna gani kifo hicho kitatokea. Sumaku yake inapokivuta kifo nguvu za asili zinayachanganya mazingira yote yanayowezekana na kukusanya kimbunga za maguvu yatakayokifanya kifo kitokee kwa jinsi yake. Tembelea Home
Haya sio ya leo bali tangu karne ya 5 mpaka karne hii ya 21 yanatukia katika maisha ya mwanadamu.
Jamii za kiafrika na Asia ndizo huitumia sana dhana hii.
Sijafahamu Mkuu Yerico anataka kutuambia nini kwahiyo ngoja nione mada inavyoenda then tutaendelea na michango ya hoja!
mkuu,Yericko keshatekwa na "hakuna Mungu".Au hujaona hapo juu anasema Mungu ni dhana tu?msiposimama mkapambana na hili wimbi watu wa Mungu mapadre kwa masheikh,kimaskhara hivi hivi imani hii ya "hakuna Mungu" itasambaa!halafu sijui "hakuna Mungu" ni imani au?
Mkuu Ntuzu...nimejaribu kufuatilia huu mnakasha takriban bayana kadhaa...lazim nikubali yakua nimevunjika mbavu mno kwa kucheka! Daaah! Teeeh! Teeeh! Teeeh!
Hata hivyo,ningefurahika zaidi kama ningaliona mchango wako japo kiduchu,au!?
Shukran Mkuu na tuko pamoja!
Ahsanta.