rip faza_nelly
JF-Expert Member
- Feb 19, 2018
- 5,749
- 7,038
Umeme upo?.....[emoji12][emoji2957]
Je? Upepo???[emoji2957][emoji2957][emoji13]
Ukituma meseji kwenye simu yako,mbona hatuoni ikitoka na kuingia kwenye simu uliyotuma?[emoji10][emoji854]
Vp? Radio mtu yupo studio lakini dunia nzima twamsikia???[emoji13][emoji857][emoji2957][emoji2957]
HIYO NI TAFSIRI YA ULICHOHOJI.
Eleza ndoto Moja uliwahi kuota tukwambieMimi naota hata vitu ambavyo sijawahi kuviona wala kuvisikia hapa duniani...
Ndio maana point yako nmeita ni uongo..
Yani umeandika tu ilimradi wala data hauna, kwa ufupi ni kwamba research hujawahi kufanya.
Mbona hatuioni sauti minarani?Radio? Radio hazifanyi kazi bila minara na satelaiti, mbona hii inathibitishika kirahisi tu
Upekee maana yake nini ? Hebu jiulize na kama upekee ni Unique hebu niambie ni kiumbe gani ni Unique kama Popo au ChuraTatizo watu wengi hutaka kuonesha kwamba binadamu hana upekee wowote ule dhidi ya "wanyama" wengine kama yeye.
Wenye hoja hii Wanasema binadamu anajikweza tu, ila hana tofauti yoyote ile na chura au kunguru.
Najua hamtaki kukubali kwamba binadamu ana upekee maana itavunja hoja yenu kwamba binadamu ni sawa tu na mjusi.Upekee maana yake nini ? Hebu jiulize na kama upekee ni Unique hebu niambie ni kiumbe gani ni Unique kama Popo au Chura
Amphibians are vertebrates that require water to survive, are cold-blooded, and spend time both on land and in water. Though other animals only live on land or in the water, amphibians have the unique ability to thrive equally in both.
Kwahio naweza kusema hoja yako ni void ab initio....;
Paragraph ya mwisho imenirudisha mchezoni aseee, Ahsante sana mkuu, wahuni walisha nichanganya [emoji16][emoji16][emoji16]Sawa kabisa.
Sasa wewe nimegundua kuwa unawaza kwa mtizamo wa uwezo wako wa kibinadamu
Kwani mbunifu ni Lazima awe na sifa zinazofanana na alivyoviumba? Labda hatujui maana ya kuumbwa
Hoja yetu na nani ? Mimi sipo rigid mimi nafuata plausible and logical explanations hata kesho ukija na argument which holds water takubaliana na wewe nimekuuliza nini maana ya Upekee ?Najua hamtaki kukubali kwamba binadamu ana upekee maana itavunja hoja yenu kwamba binadamu ni sawa tu na mjusi.
Kwahio kuongoza wewe ndio unaona ni upekee ? Ulimwengu wanaongoza nini ? Mpaka leo watu bado wanapigana vita, watu badala ya kuhangaika na mazingira yao wanatafutana uchawi kwa imani za ajabu ajabu; badala ya kupambana na umasikini na maradhi wanapambana wenyewe kwa wenyewe na ku-justify unyonyaji kwamba kuna superbeing kawapendelea na wao wameumbwa kuongoza / kuwanyonya wengine....Waza itachukua miaka mingapi hao "amphibia" kufikia kiwango cha kuitia lijamu dunia na kuuongoza ulimwengu kama binadamu afanyavyo??
Nauliza tena Upekee ni nini ? Siafu wanaoishi socially kuliko hata binadamu na wakitaka kufuka maji siafu askari wana-sacrifice maisha yao kwa kujifanya daraja hao utaita sio pekee kwa muktadha wako wa kwamba binadamu ni social beings ? Au upekee wake ni nini Kujiua wenyewe kwa kuharibu mazingira yake mwenyewe na ku-shit where they eat ? (Sababu hakuna kiumbe destructive katika ecosystem kama Binadamu) Yaani to other species binadamu ni Kirusi mbaya kuliko Ukimwi au Corona....Upekee siyo kuishi na kutegemea maji pekee kama Perege, Lakini upekee ni kutokana na maisha nyumbulifu aliyonayo binadamu.
Hio mbona rahisi sababu tadpoles wana gills na wengine wana-breath kwa kutumia skin..., Kwahio they have adapted to leave in their surroundings hata leo maji yote yakiisha na oxygen kupotea kutabakia viumbe ambavyo vinaweza kuishi kwenye mazingira hayoHuo upekee wa Amphibia ndiyo utaturudisha kule kule kwenye lile swali letu la msingi la imekuwaje wanaishi Majini wakati viumbe vingine haviwezi?
Swali lako ndio hatari kubwa ya indoctrination ukishajibu kwamba kuna aliyepanga haya bila yeye kupangiwa sababu ni haiwezekani mtu kupanga haya kwanini usijiulize ni nani mwenye uwezo wa kumpangia aliyepanga ?Jee ilitokea tu bila kuwepo Kwa mbunifu aliyepangilia mambo yote haya??
Jibu utasema ni "unicellular"
Siwezi kuelezea kwakua havipo duniani,Eleza ndoto Moja uliwahi kuota tukwambie
Kujitokeza chenyewe kwaweza kuwa ndio chanzo chenyewe.Absolutely yes.
Binafsi naamini kwamba Binadamu hana mwanzo wala mwisho, Yupo tu.
Ukianza kuweka ulazima wa kwamba kila kitu kilichopo lazima kiwe na chanzo, Basi hata
"chanzo cha vyanzo" lazima kiwe na chanzo chake,
Ili muundo ule ule wa ulazima huo ufuatwe. Pasiwepo kitu chochote kitakacho kwenda kinyume na ulazima huu kwa kujitokeza chenyewe tu pasipo mwanzo,
Maana kitavuruga muundo mzima wa ulazima huu na kuzua maswali mengi ya kimewezaje kuwepo bila chanzo.
Kabla ya "kujitokeza chenyewe" kilikuwa wapi?Kujitokeza chenyewe kwaweza kuwa ndio chanzo chenyewe.
Ulijuaje hiyo nguvu ipo?LZM ukubali uelewa wko unapofika mwisho ipo nguv amby inamiliki kinachokusumbua.
Ungekua muamini ungeelewa, Nguvu ya sisi tunaoamini Mungu tunaiona bila hata ya kupepesa macho....God is power ukimuamini unakua mtu mwingine kabisa...Kwanza unakua na amani moyoni, Mwisho kabisa tuna uwezo wa kutatua changamoto kwenye wakati ambao ni ngumu kutatua hiyo changamoto, ukimuomba Mungu gafla unapata nguvu ya kutatua changamoto inayokukabili.Ulijuaje hiyo nguvu ipo?
Nani ameingia kwenye Imani yako mambo ya Imani nadhani tumuachie kila muumini sababu siwezi nikakupangia Imani yako; Imani sio factual hata wewe leo ukiamua kuamini kwamba tunaishi kwenye Matrix na hakuna kilichopo hio itakuwa ni Imani yako.....Logikos na Infropreneur kuna Mahali naona kama kwenye hoja mmekwama.
Kwanza hoja yangu hapa si kama Mungu yupo ama hayupo, bali mambo ya Mungu yanaingia kwa kuwa tu baadhi yetu tunaamini kuna mungu ambaye ndiye amemuumba binadamu.
Tangia nakwambia kwamba kila multicellular ametoka kutoka kwenye Unicellular hio inatoa shaka ? Deep down sisi zote ni atoms na ukiangalie viumbe hai vyote vina elements ambazo zinafanana..., sasa kama unashangaa inakuwaje unicellular akatoa multicellular hata wewe ni muunganiko wa cells ambazo ni sperms na an egg..., kwahio hakuna ajabu hapo..., na ni vipi information inasema huu uwe mguu na lile shingo ni DNA na sababu mimi leo naweza nikacheza na DNA na shingo lako likawa kwenye kiuno chako na mimi takuwa Muumba ?Nje ya kuamini kuwa kuna Mungu anbaye ndiye kamuumba binadamu, basi yanatakiwa maelezo yakinifu na bainifu ambayo bila ya kutia shaka yataonesha kuwa binadamu ametukiaje duniani.
Ni kipi ambacho hakijasemwa Binadamu ametokea kwenye unicellular (sio ajabu hata leo kuona multicellular zinatoka kwenye unicellular) na cell zote mwisho wa siku building blocks ni elements amabazo kila kiumbe hai anazo; na hizo elements zinaweza kuform hata kwenye maabara kukiwa na favorable conditions sasa labda cha kujiuliza zile favorable conditions mfano mlipuko ulitokeaje au ulitokea wapi angalau hapo tutakuwa kwenye mzizi na sio kudeal na vitu ambavyo hata wewe leo unaweza kuumba mwanadamu kama vile tu unavyopanda maharage....Kusema Kila kitu kina chanzo bila ya kuonesha hivyo kwenye binadamu, ni kutokuitendea haki nadharia yenu mnayojaribu kuitetea.
Kwanini Nyoka yupo hivyo alivyo na yupo tofauti na viumbe wengine ? Mbona swali lako halina mwisho michicha na mimea yote ingekuwa kama bindamu mwisho wa siku wote tukawa cannibals baada ya kufa huenda tusingeoza na hii dunia ingekuwa imejaa maiti.....au vinyesi vya kula maiti za wanyama wengine.... na ingekuwa hivyo nature inge-collapse na leo tungekuwa hatuongei tunachoongea sababu tungekuwa hatupo (Utaona kwamba Nature balances itself)Hebu elezeeni kwa mfuatano na muoneshe mtiririko mzima ikawaje binadamu kuwa hivyo alivyo na kwa nini yupo hivyo alivyo tofauti na viumbe vingine!!
Hii ndiyo nadharia inayosemwa inatakiwa kukubaliwa na kila binadamu na ndiyo nadharia inayoitwa na baadhi ya watu kuwa ni kamilifu na timilifu.
Kuwa hakuna ajue wewe binadamu umetokea wapi na kwa nini upo ivo ulivo. Kuwa Binadamu hana kusudio lolote lile la kuwepo kwake duniani.
Na haileweki imekuwaje binadamu kuna mambo anayoyaita mema na mengine anayaita mabaya.
Hitimisho ni kuwa binadamu ni kiumbe kisichoelezeka.
Unadhani binadamu anaishi Kwa slika bila ya kuwa na utashi kama Tembo??Kwa mfano Tembo anaelezekaje ? Ukilipata jibu ni the applies kwa Binadamu
Tuelezee vizuri habari ya hekaya za mudi na allah tupate somo mkuu