Binadamu: Kiumbe chenye chanzo kisichojulikana, yupoyupo tu hana mwanzo wala mwisho

Binadamu: Kiumbe chenye chanzo kisichojulikana, yupoyupo tu hana mwanzo wala mwisho

Umeme upo?.....[emoji12][emoji2957]
Je? Upepo???[emoji2957][emoji2957][emoji13]
Ukituma meseji kwenye simu yako,mbona hatuoni ikitoka na kuingia kwenye simu uliyotuma?[emoji10][emoji854]
Vp? Radio mtu yupo studio lakini dunia nzima twamsikia???[emoji13][emoji857][emoji2957][emoji2957]
HIYO NI TAFSIRI YA ULICHOHOJI.

Radio? Radio hazifanyi kazi bila minara na satelaiti, mbona hii inathibitishika kirahisi tu
 
Mimi naota hata vitu ambavyo sijawahi kuviona wala kuvisikia hapa duniani...
Ndio maana point yako nmeita ni uongo..

Yani umeandika tu ilimradi wala data hauna, kwa ufupi ni kwamba research hujawahi kufanya.
Eleza ndoto Moja uliwahi kuota tukwambie
 
Tatizo watu wengi hutaka kuonesha kwamba binadamu hana upekee wowote ule dhidi ya "wanyama" wengine kama yeye.

Wenye hoja hii Wanasema binadamu anajikweza tu, ila hana tofauti yoyote ile na chura au kunguru.
Upekee maana yake nini ? Hebu jiulize na kama upekee ni Unique hebu niambie ni kiumbe gani ni Unique kama Popo au Chura

Amphibians are vertebrates that require water to survive, are cold-blooded, and spend time both on land and in water. Though other animals only live on land or in the water, amphibians have the unique ability to thrive equally in both.

Kwahio naweza kusema hoja yako ni void ab initio....;

Kila kiumbe ana uniqueness yake uwezo wa mbwa kunusa harufu wewe hauna uwezo huo; wakati mbu anaweza kuona some infrared lights wewe huwezi....
 
Upekee maana yake nini ? Hebu jiulize na kama upekee ni Unique hebu niambie ni kiumbe gani ni Unique kama Popo au Chura

Amphibians are vertebrates that require water to survive, are cold-blooded, and spend time both on land and in water. Though other animals only live on land or in the water, amphibians have the unique ability to thrive equally in both.

Kwahio naweza kusema hoja yako ni void ab initio....;
Najua hamtaki kukubali kwamba binadamu ana upekee maana itavunja hoja yenu kwamba binadamu ni sawa tu na mjusi.

Waza itachukua miaka mingapi hao "amphibia" kufikia kiwango cha kuitia lijamu dunia na kuuongoza ulimwengu kama binadamu afanyavyo??

Upekee siyo kuishi na kutegemea maji pekee kama Perege, Lakini upekee ni kutokana na maisha nyumbulifu aliyonayo binadamu.

Huo upekee wa Amphibia ndiyo utaturudisha kule kule kwenye lile swali letu la msingi la imekuwaje wanaishi Majini wakati viumbe vingine haviwezi?

Jee ilitokea tu bila kuwepo Kwa mbunifu aliyepangilia mambo yote haya??

Jibu utasema ni "unicellular"
 
Sawa kabisa.

Sasa wewe nimegundua kuwa unawaza kwa mtizamo wa uwezo wako wa kibinadamu

Kwani mbunifu ni Lazima awe na sifa zinazofanana na alivyoviumba? Labda hatujui maana ya kuumbwa
Paragraph ya mwisho imenirudisha mchezoni aseee, Ahsante sana mkuu, wahuni walisha nichanganya [emoji16][emoji16][emoji16]
 
Najua hamtaki kukubali kwamba binadamu ana upekee maana itavunja hoja yenu kwamba binadamu ni sawa tu na mjusi.
Hoja yetu na nani ? Mimi sipo rigid mimi nafuata plausible and logical explanations hata kesho ukija na argument which holds water takubaliana na wewe nimekuuliza nini maana ya Upekee ?
Waza itachukua miaka mingapi hao "amphibia" kufikia kiwango cha kuitia lijamu dunia na kuuongoza ulimwengu kama binadamu afanyavyo??
Kwahio kuongoza wewe ndio unaona ni upekee ? Ulimwengu wanaongoza nini ? Mpaka leo watu bado wanapigana vita, watu badala ya kuhangaika na mazingira yao wanatafutana uchawi kwa imani za ajabu ajabu; badala ya kupambana na umasikini na maradhi wanapambana wenyewe kwa wenyewe na ku-justify unyonyaji kwamba kuna superbeing kawapendelea na wao wameumbwa kuongoza / kuwanyonya wengine....

And in that front kwanini tusiseme bacteria ndio more unique sababu hata mwanadamu hamuwezi ?
Upekee siyo kuishi na kutegemea maji pekee kama Perege, Lakini upekee ni kutokana na maisha nyumbulifu aliyonayo binadamu.
Nauliza tena Upekee ni nini ? Siafu wanaoishi socially kuliko hata binadamu na wakitaka kufuka maji siafu askari wana-sacrifice maisha yao kwa kujifanya daraja hao utaita sio pekee kwa muktadha wako wa kwamba binadamu ni social beings ? Au upekee wake ni nini Kujiua wenyewe kwa kuharibu mazingira yake mwenyewe na ku-shit where they eat ? (Sababu hakuna kiumbe destructive katika ecosystem kama Binadamu) Yaani to other species binadamu ni Kirusi mbaya kuliko Ukimwi au Corona....
Huo upekee wa Amphibia ndiyo utaturudisha kule kule kwenye lile swali letu la msingi la imekuwaje wanaishi Majini wakati viumbe vingine haviwezi?
Hio mbona rahisi sababu tadpoles wana gills na wengine wana-breath kwa kutumia skin..., Kwahio they have adapted to leave in their surroundings hata leo maji yote yakiisha na oxygen kupotea kutabakia viumbe ambavyo vinaweza kuishi kwenye mazingira hayo
Jee ilitokea tu bila kuwepo Kwa mbunifu aliyepangilia mambo yote haya??

Jibu utasema ni "unicellular"
Swali lako ndio hatari kubwa ya indoctrination ukishajibu kwamba kuna aliyepanga haya bila yeye kupangiwa sababu ni haiwezekani mtu kupanga haya kwanini usijiulize ni nani mwenye uwezo wa kumpangia aliyepanga ?

Tukija hata leo ni kwamba binadamu anaanzia kwenye cell moja; kwa kuunganika na hizo cell zikiunganika kuna information DNA inayoelekeza nini kifanye nini..., Sasa sababu leo kwenye maabara watu wanaweza kucheza na DNA na wao wamekuwa Waumbaji ?
 
Eleza ndoto Moja uliwahi kuota tukwambie
Siwezi kuelezea kwakua havipo duniani,

Anyways achana na ndoto za vitu ambavyo nasema sijawahi kuviona

Leo kuna jamaa nmemuota ni wa mkoa,

Nmemuota kuwa amekuja yupo hapa dsm na nlikua sijawasiliana nae nna miezi...

Dk kadhaa baada ya kuamka ilibidi nimpigie cm ( baada ya kuikumbuka ile ndoto ) ananiambia yupo hapa dsm, sijashangaa sana kwakua sio mara kwanza kuota ndoto za namna hii...

Swali kwa nyinyi ambao hamuamini mambo ya kiroho unaweza kunielezea hili jambo ?
 
Absolutely yes.

Binafsi naamini kwamba Binadamu hana mwanzo wala mwisho, Yupo tu.

Ukianza kuweka ulazima wa kwamba kila kitu kilichopo lazima kiwe na chanzo, Basi hata
"chanzo cha vyanzo" lazima kiwe na chanzo chake,

Ili muundo ule ule wa ulazima huo ufuatwe. Pasiwepo kitu chochote kitakacho kwenda kinyume na ulazima huu kwa kujitokeza chenyewe tu pasipo mwanzo,

Maana kitavuruga muundo mzima wa ulazima huu na kuzua maswali mengi ya kimewezaje kuwepo bila chanzo.
Kujitokeza chenyewe kwaweza kuwa ndio chanzo chenyewe.
 
Ukiianglia vzuri Gods of Egypts utaona wanasapoti uwepo wa Roho ,nafsi mwili,shetani kwahy Mungu yupo na Miungu ipo
 
Ulijuaje hiyo nguvu ipo?
Ungekua muamini ungeelewa, Nguvu ya sisi tunaoamini Mungu tunaiona bila hata ya kupepesa macho....God is power ukimuamini unakua mtu mwingine kabisa...Kwanza unakua na amani moyoni, Mwisho kabisa tuna uwezo wa kutatua changamoto kwenye wakati ambao ni ngumu kutatua hiyo changamoto, ukimuomba Mungu gafla unapata nguvu ya kutatua changamoto inayokukabili.
 
Logikos na Infropreneur kuna Mahali naona kama kwenye hoja mmekwama.

Kwanza hoja yangu hapa si kama Mungu yupo ama hayupo, bali mambo ya Mungu yanaingia kwa kuwa tu baadhi yetu tunaamini kuna mungu ambaye ndiye amemuumba binadamu.

Nje ya kuamini kuwa kuna Mungu anbaye ndiye kamuumba binadamu, basi yanatakiwa maelezo yakinifu na bainifu ambayo bila ya kutia shaka yataonesha kuwa binadamu ametukiaje duniani.

Kusema Kila kitu kina chanzo bila ya kuonesha hivyo kwenye binadamu, ni kutokuitendea haki nadharia yenu mnayojaribu kuitetea.

Hebu elezeeni kwa mfuatano na muoneshe mtiririko mzima ikawaje binadamu kuwa hivyo alivyo na kwa nini yupo hivyo alivyo tofauti na viumbe vingine!!
 
Nani ameingia kwenye Imani yako mambo ya Imani nadhani tumuachie kila muumini sababu siwezi nikakupangia Imani yako; Imani sio factual hata wewe leo ukiamua kuamini kwamba tunaishi kwenye Matrix na hakuna kilichopo hio itakuwa ni Imani yako.....
Nje ya kuamini kuwa kuna Mungu anbaye ndiye kamuumba binadamu, basi yanatakiwa maelezo yakinifu na bainifu ambayo bila ya kutia shaka yataonesha kuwa binadamu ametukiaje duniani.
Tangia nakwambia kwamba kila multicellular ametoka kutoka kwenye Unicellular hio inatoa shaka ? Deep down sisi zote ni atoms na ukiangalie viumbe hai vyote vina elements ambazo zinafanana..., sasa kama unashangaa inakuwaje unicellular akatoa multicellular hata wewe ni muunganiko wa cells ambazo ni sperms na an egg..., kwahio hakuna ajabu hapo..., na ni vipi information inasema huu uwe mguu na lile shingo ni DNA na sababu mimi leo naweza nikacheza na DNA na shingo lako likawa kwenye kiuno chako na mimi takuwa Muumba ?
Kusema Kila kitu kina chanzo bila ya kuonesha hivyo kwenye binadamu, ni kutokuitendea haki nadharia yenu mnayojaribu kuitetea.
Ni kipi ambacho hakijasemwa Binadamu ametokea kwenye unicellular (sio ajabu hata leo kuona multicellular zinatoka kwenye unicellular) na cell zote mwisho wa siku building blocks ni elements amabazo kila kiumbe hai anazo; na hizo elements zinaweza kuform hata kwenye maabara kukiwa na favorable conditions sasa labda cha kujiuliza zile favorable conditions mfano mlipuko ulitokeaje au ulitokea wapi angalau hapo tutakuwa kwenye mzizi na sio kudeal na vitu ambavyo hata wewe leo unaweza kuumba mwanadamu kama vile tu unavyopanda maharage....
Hebu elezeeni kwa mfuatano na muoneshe mtiririko mzima ikawaje binadamu kuwa hivyo alivyo na kwa nini yupo hivyo alivyo tofauti na viumbe vingine!!
Kwanini Nyoka yupo hivyo alivyo na yupo tofauti na viumbe wengine ? Mbona swali lako halina mwisho michicha na mimea yote ingekuwa kama bindamu mwisho wa siku wote tukawa cannibals baada ya kufa huenda tusingeoza na hii dunia ingekuwa imejaa maiti.....au vinyesi vya kula maiti za wanyama wengine.... na ingekuwa hivyo nature inge-collapse na leo tungekuwa hatuongei tunachoongea sababu tungekuwa hatupo (Utaona kwamba Nature balances itself)
 
Hii ndiyo nadharia inayosemwa inatakiwa kukubaliwa na kila binadamu na ndiyo nadharia inayoitwa na baadhi ya watu kuwa ni kamilifu na timilifu.

Kuwa hakuna ajue wewe binadamu umetokea wapi na kwa nini upo ivo ulivo. Kuwa Binadamu hana kusudio lolote lile la kuwepo kwake duniani.

Na haileweki imekuwaje binadamu kuna mambo anayoyaita mema na mengine anayaita mabaya.

Hitimisho ni kuwa binadamu ni kiumbe kisichoelezeka.

Kwa mfano Tembo anaelezekaje ? Ukilipata jibu ni the applies kwa Binadamu
 
Tuelezee vizuri habari ya hekaya za mudi na allah tupate somo mkuu

Anyway tuachane na hekaya za maandiko matakatifu ya mungu...... twende na Logic

Unaposema tu “Mungu yupo” hapo tayari umetembea na space na matter.
Mungu ni matter
Yupo means yupo mahali ni space
Na yupo wakati gani? Hiyo ni time

Kitu chochote ambacho hakipo kwenye space time matter maana yake hakipo

Msimfiche mungu huko asipo exist..... mthibitisheni
 
Back
Top Bottom