Binadamu: Kiumbe chenye chanzo kisichojulikana, yupoyupo tu hana mwanzo wala mwisho

Okay, wewe unafahamu nini kuhusu chanzo cha binadamu ? Katokea tu ? Kaumbwa ?......
 
Okay, wewe unafahamu nini kuhusu chanzo cha binadamu ? Katokea tu ? Kaumbwa ?......

Know body knows mkuu


Binadamu wote tuliopo hai sasa hivi tunachojua ni kwamba tumezaliwa na wazazi wetu....... yani tumejikuta tumezaliwa, na sisi tutazaa halafu tutakufa...... vizazi vitaendelea hivyo na haijulikani mwisho wake

Vizazi vyako 10 nyuma huvijui, na wewe baada vizazi vyako kumi mbele hakuna atakaye kujua kama uliwa kuishi duniani.
Watajiuliza tumetokea wapi kama wewe ulivyo jiuliza au kama babu wa babu yako wa mababu zako walivyojiuliza baada ya kujikuta wamezaliwa na wazazi wao

Vyanzo vingine vyote ni blah blah zakutengenezwa za theory za wanasayansi na hekaya za mungu
 

Mkuu hata mimi naweza kusema nimetumwa na Mungu na nikaandika maandiko na kuyaita matakatifu kama ilivyo Quran na Bibilia

Unatakiwa uthibitisho thabiti na sio nikimuuliza muislam atasema Allah, akija mkristo atasema jehova, muhindu atakuja na wake mkorea wake
 
Majibu utayapata Siku Yako yakufa mkuu ! [emoji1787]

Pale ndio safari yako ya kurejea from your Origin itakudhihirikia usoni mwako live [emoji38][emoji38]!
 
Majibu utayapata Siku Yako yakufa mkuu ! [emoji1787]

Pale ndio safari yako ya kurejea from your Origin itakudhihirikia usoni mwako live [emoji38][emoji38]!

Mkuu wengi mnaogopeshwa na moto wa milele matokeo mnaamini bila kutumia akili

Kama ambavo unaona ukikata mti ndio mwisho wake au ukiua mbu au kuchinja kuku au kuvua samaki au ukimkanyaga sisimizi au ukiua vimelea vya malaria kwa dawa ndio inakua mwisho wa hivyo viumbe ndivyo itakavyo kuwa kwako...... hakuna kuku wala samaki wala mti wala mimi na wewe tutakao kwenda popote zaidi ya kurudi mavumbini na Hadithi yetu itakua imeishia hapo

Yaani Mungu aumbe ulimwengu huu wenye mabilioni ya galaxies ambapo binadamu ni kama kapunje kamchanga tu out ya mchanga wote duniani hala huyu mungu aanze kubaki anakomaa na haka kamchanga kakinya kanatawazaje, akizagamua hatakiwi kumwanje nje, anavaaje, asile nguruwe na upuuzi mwingi tu eti ni dhambi [emoji23]
 
Mimi sijiulizi, Jibu nnalo nmeumbwa na aliefanya ulimwengu wote ukawepo, namaanisha Mungu.


Kazi kwenu ambao mpo mpo hamuelewei mmetokea vipi duniani.
 
Akili ya binadamu iko limited kupata majibu ya vyanzo vya uumbaji. Mtakukuruka mtafanya nini ila mtaishia hakuna mwanzo Wala Mwisho. Kutopata mwanzo wa kitu Wala kujua mwisho wa kitu ni uthibitisho wa ukomo wa akili, no more no less.
 
Nakubaliana nawe, hususani hapa kwenye energy/spirit binadamu kabla hajatamka kitu huwa kinaanza kutamkwa kwenye nafsi.
Nimeshafanyaga jaribio Moja nitoa fursa kwa wengine ambao wanaundugu/jamaa au wanapata nafsi ya kukutana na watu wenye mapepo ya utambuzi ikiwa na kosa/uhalifu ulishawahifanya sehemu kimyakimya pasipo kumwambia mtu embu msogele huyu mtu aliepandisha Hilo dubwasha uone atakavyoanika kila ulichofanya au mtukane kimoyomoyo uone atakavyokumind na atasema uliyosema kimoyomoyo

Sent from my Infinix X689C using JamiiForums mobile app
 
Nafikiri hujamuelewa, hata huyo bubu kabla hajaonyesha kwa ishara nini anamaanisha tayari alishatamka kwenye nafsi kabla ya kupeleka kwenye ishara, kama alivyosema ni energy kwa hiyo vinafanyika kwa speed kubwa

Sent from my Infinix X689C using JamiiForums mobile app
 

Hivyo vitu vinauhusiano gani na chanzo cha binadamu?
 
Ndizi utumbo
 
Bahati ni nini ?
 
Kama mungu angekuwepo basi angetupa manual guide
Unataka Manual Guide zipi Tena !??

1.Zaburi
2.Torati
3.Injil
4.Qura'n

Ulishawahi kutenga Muda wako ukazisoma user guides zote hizi ukazimaliza mpaka ukasema hamna User manual guide?
 
Unataka Manual Guide zipi Tena !??

1.Zaburi
2.Torati
3.Injil
4.Qura'n

Ulishawahi kutenga Muda wako ukazisoma user guides zote hizi ukazimaliza mpaka ukasema hamna User manual guide?
Tunarudi kule kule

Hivyo vitabu vimeandikwa na watu na Sio mungu.

Kama hivyo vitabu vimeandikwa na mungu basi visingekuwa na kasoro,mapungufu, kiasi ya kwamba Hata mtoto wa Shule ya msingi anahoji maswali juu ya vitabu hivyo
 
Sawa kabisa.

Sasa wewe nimegundua kuwa unawaza kwa mtizamo wa uwezo wako wa kibinadamu

Kwani mbunifu ni Lazima awe na sifa zinazofanana na alivyoviumba? Labda hatujui maana ya kuumbwa
Nini maana ya kuumbwa? kwanini tuliumbwa.?
 
Tunarudi kule kule

Hivyo vitabu vimeandikwa na watu na Sio mungu.

Kama hivyo vitabu vimeandikwa na mungu basi visingekuwa na kasoro,mapungufu, kiasi ya kwamba Hata mtoto wa Shule ya msingi anahoji maswali juu ya vitabu hivyo
Mimi nataka unijibu wewe binafsi umevisoma ...mpaka kufikia hatua ya Kuvidadavua kimoja baada ya kimoja au Unafuata FALSAFA Mkumbo tu ?

Wengi wetu katika Binadamu ni wavivu wa Kusoma na Kufanya Research
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…