Mimi nataka unijibu wewe binafsi umevisoma ...mpaka kufikia hatua ya Kuvidadavua kimoja baada ya kimoja au Unafuata FALSAFA Mkumbo tu ?
Wengi wetu katika Binadamu ni wavivu wa Kusoma na Kufanya Research
Na tumuumbe MTU Kwa mfano wetu!!Ni kauli ya Mungu akiwa na akina nani?Mungu,alipokua nao na binadamu tuna mfanano gani?Simply Binaadam ni hiyo Logical-Sound inayounguruma vichwani mwetu !
Na Chimbuko lake ni "Mungu"
Uthibitisho uko kwenye Maandiko matakatifu!
Ushahidi katika Biblia
Mwanzo 1:26 .."Kisha Mungu akasema tumfanye Mtu kwa mfano wetu/kwa sura yetu" , atawale samaki wa baharini ,ndege wa angani ,Wanyama wa kufugwa Dunia yote na viumbe vyote vitambaavyo.
Pia shahidi za kwenye Qur'an Zipo kibao.
So kama Mungu ametumba kwa mfano wake ambao ni Spirit/Nuru/Energy ...basi Chimbuko letu sisi ni huko .
Users manual guide zipo kwenye michoro ya kale kama misri, Mexico na maeneo mengi duniani.Tukiweza kusoma na kutafsiri pengine tutapata jibu.Unataka Manual Guide zipi Tena !??
1.Zaburi
2.Torati
3.Injil
4.Qura'n
Ulishawahi kutenga Muda wako ukazisoma user guides zote hizi ukazimaliza mpaka ukasema hamna User manual guide?
Mbona same stafsiri Kwa kiasi kikubwa, na ikaja kugundulika kuna vitu kwenye Bible, Quran,torati zimekopi kutoka kwenye hizi early civilizationUsers manual guide zipo kwenye michoro ya kale kama misri, Mexico na maeneo mengi duniani.Tukiweza kusoma na kutafsiri pengine tutapata jibu.
Manual Guide ndiyo nini??Kama mungu angekuwepo basi angetupa manual guide
Wanashangaza sana Hawa Atheists!Unaposema Mwanadamu " hakuumbwa" Lakini hapo hapo unasema kuwa hakuna ajuaye Mwanadamu kawaje yupo duniani, unajichanganya!!
Kitabu cha muongozo kutoka Kwa munguManual Guide ndiyo nini??
Apewe nani Sasa wakati huyo Mungu huamini kama yupo!!??Kitabu cha muongozo kutoka Kwa mungu
Kuona hakuitaji manual guideApewe nani Sasa wakati huyo Mungu huamini kama yupo!!??
Kwani kuona kwa kutumia macho yako ulipewa Manual Guide na nani!!??
Kumetokeaje huko kuona!!Kuona hakuitaji manual guide
Kwani Mungu ni nani/Nini???Na tumuumbe MTU Kwa mfano wetu!!Ni kauli ya Mungu akiwa na akina nani?Mungu,alipokua nao na binadamu tuna mfanano gani?
Mungu yupi sasa? Huyo wa makanisan, wa msikitin, wa kwenye mahekalu ya wabudha, wahindu, au wale waabudu chini ya miti? Mungu yupi mnaemuongelea?Wanashangaza sana Hawa Atheists!
Wao wanaamini Kuunda ila hawaamini Kuumba [emoji38].
We are the Image of God
Mungu anaumba
Wanaadamu tuna Unda.
You can't Ignore God the Almighty!
Ni ufinyu wa Kufikiri
Kama unaamin uwepo wako upo sababu ya kuumbwa basi hata Mungu nae kaumbwa maana yupo na kawekwa na kitu ambacho kimemuumba, iko hivyo siku zote, uwezi kubali kuwa umeumbwa na ukatae kuwa Huyo aliyekuumba yeye hajaumbwa ikiwa tu huwezi kuthibitisha uwepo wake basi hata huko kuumbwa ni tendo la kusadikika tuKumetokeaje huko kuona!!
Kwa nini macho yapo hapo yalipo na yapo hivyo yalivyo.
Mnyumbuliko wote huo wa macho unawezaje kuwapo bila ya kuwa na mbunifu wake???
Fikiria macho "yangetokea" magotini sijui ingekuwaje?
Ukimwangalia binadamu unakuwa ni "ujeuri" tu kusema tu hakuna nguvu iliyotaka binadamu awe hivyo alivyo.
Anayezungumziwa hapa ni Mungu muumba wa vyote unavyovijua na Usivyovijua!Mungu yupi sasa? Huyo wa makanisan, wa msikitin, wa kwenye mahekalu ya wabudha, wahindu, au wale waabudu chini ya miti? Mungu yupi mnaemuongelea?
Kabla ya kusema jambo fulan kafanya Mungu basi tajeni ni Mungu yupi maana dunia ina jamii nyingi tofauti zenye miungu tofaut na kila jamii inamkweza na kumtukuza Mungu wao kuwa ndie sahihi je nyie wafia dini huyo Mungu aliyeumba dunia na wanadamu kwa mfano wake ni Mungu yupi??
Seek for a Spiritual mentor .Mungu yupi sasa? Huyo wa makanisan, wa msikitin, wa kwenye mahekalu ya wabudha, wahindu, au wale waabudu chini ya miti? Mungu yupi mnaemuongelea?
Kabla ya kusema jambo fulan kafanya Mungu basi tajeni ni Mungu yupi maana dunia ina jamii nyingi tofauti zenye miungu tofaut na kila jamii inamkweza na kumtukuza Mungu wao kuwa ndie sahihi je nyie wafia dini huyo Mungu aliyeumba dunia na wanadamu kwa mfano wake ni Mungu yupi??
Kama ulivyojaliwa ufahamu wa kuuliza na kujua lakini gari likanyimwa ufahamu wa kuuliza na kujua.Mkuu Kwanza wewe umejuaje kama yupo muumba?
Manual guide unayo ndio maana ukiumia unatafuta dawa kwa sababu hupendi kuumiaKama mungu angekuwepo basi angetupa manual guide
Ukiacha hizi mkuu akikaa akatulia na kujitafakari mbona anazo nyingi tu.Unataka Manual Guide zipi Tena !??
1.Zaburi
2.Torati
3.Injil
4.Qura'n
Ulishawahi kutenga Muda wako ukazisoma user guides zote hizi ukazimaliza mpaka ukasema hamna User manual guide?