ZENJIBARIA
JF-Expert Member
- Feb 26, 2014
- 674
- 1,621
Mi nadhani we ndo ungefanya utafiti kabla ya Kujiona una ufahamu wa kila kitu kutoka vitabuni na tv na maigizo, sitarajii kama utakuwa na uwezo wa kufahamu kitu nje ya maandiko ya science.Umewaza kitoto sasa,ulimwngu mzima ni dunia tu?? Wakati kuna matilioni ya sayari,nyota zote zipo kwnye dunia? Wakati kuna manyota makubwa mara mabilioni ya dunia .fanya tafiti kabla hujaandika ujinga
Mimi nna zaidi ya miaka kumi ya utafiti wa uhalisi dunia na mambo tunayofundishwa na science na dini
Narudia tena hakuna nje ya dunia wala hakuna outer space na hata kama ipo sisi hapa duniani hatuwezi kujua, wala hakuna combo chochote kinachoweza kutoka nje ya dunia,ndio mana science inafanya maigizo ya rocket na kila mwaka kuna movie za outer space zaidi ya 5 ili kugandisha aidia za outer space akilini mwa watu
ifikirie hii dunia kama yai, ipo sealed kama yai, nothing comes in and nothing can go out. Kuingia duniani kuzaliwa tu na kuondoka ni kifo hakuna njia nyengine. Ina ukubwa gani? No one knows, ina umri gani? No one knows.
Wala dunia sio syari wala hairuki na kuelea wala haina mzunguko hata mmoja ipo tuli imetulia milele, lakini kila mtu Ana haki ya kupumbazwa na kuamini anachoona kinafaa kwa akili zake